usawa wa kulia
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 454
- 154
unaona demu ana mtu au unajua huyu ni mke wa mtu UNAMFUATA NA KUMTONGOZA hayo ni maamuzi magumu
uNAAMBIWA NA MANGI JUMLA YA BEI YA VITU NI 65000 wewe unataka upunguziwe hadi 1000 hayo ni maamuzi magumu
uNAAMBIWA NA MANGI JUMLA YA BEI YA VITU NI 65000 wewe unataka upunguziwe hadi 1000 hayo ni maamuzi magumu