Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
Huna uhakika wa kula na elfu moja pekee uliyonayo unaamua kuinywa kiroba-Ni maamuzi magumu.
Huna kitanda na unaamua kuoa-Hayo pia ni maamuzi magumu.
Huna uwezo wa kumlisha mkeo na unampa ujauzito-Ni maamuzi magumu.
Shule haina waalimu unampeleka mwanao-Pia ni maamuzi magumu.
Daladala imejaa mpaka mlangoni na unaamua kupanda-Ni maamuzi magumu.
Unalipwa laki mbili unamhonga binti laki moja-Hayo ni maamuzi magumu.
Kama maamuzi magumu ni kigezo cha urais karibu Watanzania wote wanafaa kuwa marais.