Dr.Mengi anafaa,kuliko babu Slaa katibu wa CDM saccos
2010 was 70!, 2015 will be 75!, this is the age of the beginning of "mind incapacitation!"
Do we real need a president this old?, nadhani age ya EL is the last we can accommodate!.
Pasco
Kama sikosei changamoto kubwa inayoikabili nchi yetu ni Uchumi dhaifu usio endelevu pamoja na deni la taifa.Kwa hali hii basi Kiongozi anayetakiwa kuiongoza nchi hii ni muhimu akawa na ufahamu mkubwa wa masuala ya kiuchumi.Namkubali Mengi anafaa kutuongoza,Kwa hali ya Uchumi wa Tanzania jinsi ilivyo na kwa kuwa Mengi ni Mfanyabiashara huu ni muunganiko bomba sana.Tofauti na Wanasiasa wasio na business background wanaopenda kuahidi kuleta neema lakini hawajui namna ya kuitengeneza hiyo hiyo neema (maisha nafuu) matokeo yake hujikuta wakiharibu hata hiyo neema ndogo iliyosalia,Mengi kama mtu mwenye uzoefu na mambo ya biashara anajua jinsi ya kutengeneza neema.Anajua ubaya wa kuwekeza fedha nyingi kwenye miradi isiyofaa,anajua ubaya wa matumizi ya makubwa ya fedha,anajua ubaya wa mfumuko wa bei,anajua ubaya wa kodi kubwa na holela,anajua umuhimu wa umeme
Mkuu Dalai, Ni mimi mwenyewe, kwani vipi?. Walipatanishwa!. Ila pia kila mfanyabiashara makini lazima amkubali EL, because you never know!.Hivi Pasco hii ni ID yako ama imeingiliwa...ila cku izi mengi zinapanda na LOWASSA.
Naona mnatafuta mbadala wa Lowassa!
Mshaona maji yamezidi unga eeh!
This time hata muazime shetani kutoka kuzimu kama mgombea wa CCM mtajuta mbele ya Dr W.P.Slaa!
Mtafuteni Salary Slip atawasimulia!
Hapa tunawazungumzia "presidential materials" na sio "presidential hopefully"Kwa hili la umri unamzumziaje Slaa?
Mpaka amechomoka, hajapendekezwa!.Kesho mtu mwingine atampendekeza Mzee Sabodo!
RIP Sabodo 🙏Mpaka amechomoka, hajapendekezwa!.
BILIONEA SABODO AFARIKI DUNIA..
Bilionea na Mchumi maarufu nchini, Mustafa Jaffer Sabodo amefariki Dunia leo alfajiri akiwa nyumbani kwakwe, Masaki jijini Dar es Salaam.
"Mzee amefariki leo alfajiri akiwa nyumbani. Taratibu za mazishi zinaendelea na atazikwa katika makaburi yaliyoko mtaa wa Bibi Titi Mohamedi karibu na CBE," amesema Danstan.
Marehemu Sabado alizaliwa mkoani Lindi na alikuwa akifanya biashara katika nchi za Ufaransa, India, Kenya, Sudan, Nigeria, Zimbabwe na Tanzania.
Atakumbukwa kwa mchango wake ulioanzisha Mwalimu Nyerere Foundation National Lottery alipotoa msaada wa Sh milioni 800. Alihusika katika utoaji wa misaada kadhaa iliyohusisha kilimo, ujenzi wa visima na kusaidia wenye uhitaji.
Sabodo atazikwa leo saa 4:30 usiku.
Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un.
“We surely belong to Allah and to Him we shall return”
"Sisi sote ni wa Mola, na kwake tutarejea".
Paskali pia anakuaga!.
RIP Jaffar Sabodo.
P