Watanzania na CCM: Vipi, Dr.Regnald Mengi Urais 2015?

Watanzania na CCM: Vipi, Dr.Regnald Mengi Urais 2015?

gongo mbaya sana unamjua kweli mengi wewe au unamsikia kwenye redio tu.

Siku ya kwanza kulala pale Magogoni tu kesho yake utasikia Yanga m/kiti kakimbia akiambatana na wenzake wakazi wa Upanga,mnazi mmoja,k/koo,na town Na Siku inayofuata Makao Makuu ya Nchi yanahamia Kilimanjaro toka Dodoma huku Viongozi wa CDA wakishitakiwa kwa kushindwa kuwezesha Mji wa Dodoma Kuwa kivutio muhimu na kupelekea watu kuhamia kwa wingi Dodoma
 
Lowassa ana vigezo vyote vya kutuongoza watanzania, kuhusu candidate wa urais 2015 hakuna haja ya kujadili tena, tunasubiri taratibu zikamilike tumpe kura zetu, atuvushe salama. cc: Pasco
 
Last edited by a moderator:
Kauli mbiu ya Dodoma ni mji Mkuu itafutwa na Mji Mkuu utakuwa Kilimanjaro kisa Dodoma wamechemsha Miaka kibao hawasogei kokote Viongozi wote wataishi Kilimanjaro kwa nguvu Hakuna kukaa Dsm ofisi Kilimanjaro kisha ukisafiri unalipwa posho Foleni itakwisha jijini kwani gari zote za Serikari zitahamia huko pamoja bajaji zao mpaka pikipiki
 
Siwezi kumuunga mkono mfanya biashara katika siasa, mwanasiasa ni mwana philosophia, ila mfanya biashara ni capitalist, huo utofauti wa mawazo, ni utofauti wa maamuzi pia, kila mtu yuko kwa maslai yake, lakini mfanya biashara anaangalia maslai yake tu, kila mtu ana kiwango cha ukichaa wake, ila usije ukampa kichaa rungu!!
 
ni mmojawapo ya watanzania ambao CCM inaratimu kwa umakini sana Ndoto zao..na siku akiota bila CCM kuambua huwa CCM wanaweweseka sana..
 
Reginald Mengi ni Nduma kuwili!!
1. Anampinga Waziri Mhongo lakini anampenda Kikwete Kuliko Watanbzania.
2.Amepiga marufuku magazeti yote kuandika habari za upungufu wa Kikwete huku yeye akiwa wa Kwanza kutetea uhuru wa vyombo vya habari
3. Anataka wazawa wamiliki mali wakati yeye mwenyewe viwanja vyake amemuuzia Shubashi Patel alipatwa kutajwa kuwa fisadi papa na Mengi huyo huyo.
4 Mengi alikuwa mzee wa kanisa la KKT Azania Front lakini wakati huo huo anaingia misikini na kuswali kama muislamu kutafuta uaris unaosema wewe.
5.Anajifanya yupo CHADEMA lakini kapewa kibali na CCM kiasi cha kuaminika kuongea na mabalozi wa nchi mbalimbali kama raisi.
6.Hapo utagundua kuwa Mengi ana kaserikali kake!!
7.Ulisha wahi kuona wapi mpinzani ana aminika na CCM???
Hiyo number 5, unamsingizia, huyu ni kada wa Chama cha Mapinduzi, ila dada yake toka nitoke ndie mama yake yule M/kiti wa ile "saccos!".
hivyo kumsupport jombaa ni halali yake!.
Pasco
 
Tusipoteze muda. Mengi is not a Presidential Material. Hata yeye mwenyewe anajua!!!
 
Kwa mazingira ya siasa za Tanzania kwa sasa, Dr. Mengi sio 'Presidential Material' Kama sikosei hata yeye mweneywe anajua!
 
sasa huku ni kutudharau watanzania kikwete umefanya urais uonekane sehemu ya fied sasa si ajabu bado kumsikia
philipo mlugo
adam malima
sophia simba
kasimu mjaliwa
shukuru kawambwa hao wote tusije tukaambiwa wanautaka urais
 
Heshima kwenu.

Tanzania kwa awamu ijayo ili kusababisha ukuaji wa Uchumi kuwafikia Wananchi wa kawaida au wakipato cha chini.

Na ili kuweza kutoa ajira kwa vijana ambao ndo wengi kwa mujibu wa sensa

Na ili kuweza kusababisha Uvunaji wa Rasilimali hasa Gesi kuwanufaisha wananchi wa kawaida

Na vilevile kuleta ustawi wa Jamii

Nitoe hoja kuna umuhimu wa Dr. Reginald Mengi akatuongoza ktk kuzitatua Changamoto zinalokabili Taifa letu.

1,Anauwezo wa kuitoa jamii from zero to hero.
2.Ana busara ya hali ya juu hana utani kwa maamuzi ya maslahi ya wengi.
3.Anawapenda watanzania kile anachopata kimevuka mipaka ya ndugu, jamaa na kuwafikia watanzania bila ubaguzi wowote.
4.Amethibitisha ni problem solver wa jamii.
5.Amewatoa watanzania mbali wakawa na matumaini

Itoshe kusema waliokaribu wamsihi kwa niaba yangu yetu tunaoamini uongozi ni kuonyesha njia sio kuchekacheka, utani na kujilimbikizia mali WAMSIHI ajiandae na CCM waache utani tulitazame taifa letu tumwombe atuongoze kupambana na umaskini, ujinga na maradhi

We unadhani kuongoza nchini ni sawa na kutengeneza sabuni za mkorogo?? Na kuweka miziki ya kwasakwasa kwenye runinga??

Au kuvaa suti nyeupe Christmas? ?
 
Kichwa kama hichi ingetakiwa tukitumie. Lakini kwasababu silaha kubwa ya CCM ni umaskini hawawezi kukubali.
 
Bila shaka mleta mada ni mdogo wake na K-lyn anampigia debe bana shemeji
 
nasikia na wassira naye anataka kugombea uraisi 2015
 
Hiyo number 5, unamsingizia, huyu ni kada wa Chama cha Mapinduzi, ila dada yake toka nitoke ndie mama yake yule M/kiti wa ile "saccos!".
hivyo kumsupport jombaa ni halali yake!.
Pasco
Hivi Pasco hii ni ID yako ama imeingiliwa...ila cku izi mengi zinapanda na LOWASSA.
 
Lowassa ana vigezo vyote vya kutuongoza watanzania, kuhusu candidate wa urais 2015 hakuna haja ya kujadili tena, tunasubiri taratibu zikamilike tumpe kura zetu, atuvushe salama. cc: Pasco
Wewe unaangalia ujazo wa tumbo lako ndo uchangie,hatusikilizi ushauri wa MZIGO unaopita ktk ofisi za uma kulialia ada ya watoto..ndugu fanya kazi!

NAJITOLEA EKARI 10 na trekta mlime huko GALAPO wewe na Chabruma maana naona mna hali ngumu kimaisha
 
Last edited by a moderator:
Kwa mazingira ya siasa za Tanzania kwa sasa, Dr. Mengi sio 'Presidential Material' Kama sikosei hata yeye mweneywe anajua!

Kama sikosei changamoto kubwa inayoikabili nchi yetu ni Uchumi dhaifu usio endelevu pamoja na deni la taifa.Kwa hali hii basi Kiongozi anayetakiwa kuiongoza nchi hii ni muhimu akawa na ufahamu mkubwa wa masuala ya kiuchumi.Namkubali Mengi anafaa kutuongoza,Kwa hali ya Uchumi wa Tanzania jinsi ilivyo na kwa kuwa Mengi ni Mfanyabiashara huu ni muunganiko bomba sana.Tofauti na Wanasiasa wasio na business background wanaopenda kuahidi kuleta neema lakini hawajui namna ya kuitengeneza hiyo hiyo neema (maisha nafuu) matokeo yake hujikuta wakiharibu hata hiyo neema ndogo iliyosalia,Mengi kama mtu mwenye uzoefu na mambo ya biashara anajua jinsi ya kutengeneza neema.Anajua ubaya wa kuwekeza fedha nyingi kwenye miradi isiyofaa,anajua ubaya wa matumizi ya makubwa ya fedha,anajua ubaya wa mfumuko wa bei,anajua ubaya wa kodi kubwa na holela,anajua umuhimu wa umeme
 
Akikubali kugombea..nitakuwa na Furaha ya ajabu.namkubali 2000% ni jembe Huyu Mzee.kwa Furaha nitakayokuwa nayo nitasherehekea kwa kuvua Nguo kariakoo.baba tunakuomba uchukue Mawazo hay a kama ombi rasmi.
 
Back
Top Bottom