MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 561
kajalA. maimatha.dida. yan na wale malaya wabongo movie mbona sana tu
kuna ukweli mkubwa juu ya waafrika kujiuza china na si watanzania tu. Tembelea Guanzhou usiku pale Xiaobei Luo uone kulivyochangamka, uone dada zetu wa kiafrika wanavyojiuza kwa bei rahisi. Hoteli kama Dong Feng zimejaa weusi kibao pale Xiaobei Luo wengi ukiwaona wanasingizia eti wameweka oda viwandani wanasubiri mizigo yao , kumbe ni wauza nyuc.h.i tu. Wapo hata ndugu zetu wa bongo muvie hutafta hela ya usafiri tu na kuja china, kisha hela ya mtaji huitafuta kwa kujiuza...its shame!! Utawakuta wengine wakizurura masoko kama Kanaan na Daxiato utadhani ni wanunuzi kumbe wako mawindoni. Shame on u shame on their customers too
Wakati jirani zetu hao Kenya tu, wanavuma kwenye teknolojia, riadha, muvi, rugby n.k....sisi tunavuma kwenye madawa ya kulevya, ujangili, ukahaba.........
Taifa linahitaji maombezi.
kuna ukweli mkubwa juu ya waafrika kujiuza china na si watanzania tu. Tembelea Guanzhou usiku pale Xiaobei Luo uone kulivyochangamka, uone dada zetu wa kiafrika wanavyojiuza kwa bei rahisi. Hoteli kama Dong Feng zimejaa weusi kibao pale Xiaobei Luo wengi ukiwaona wanasingizia eti wameweka oda viwandani wanasubiri mizigo yao , kumbe ni wauza nyuc.h.i tu. Wapo hata ndugu zetu wa bongo muvie hutafta hela ya usafiri tu na kuja china, kisha hela ya mtaji huitafuta kwa kujiuza...its shame!! Utawakuta wengine wakizurura masoko kama Kanaan na Daxiato utadhani ni wanunuzi kumbe wako mawindoni. Shame on u shame on their customers too
unayahifadhi kwa maslahi ya nani mkuu? Wewe mwaga mtama tu hapa usiogope kuku wengi...BAADHI ya MAJINA YA WATANZANIA WANAOJISHUGHULISHA NA UKAHABA CHINA WANATOKA KINONDONI NA KURASINI , MAJINA YAO YALE YA HALISI ( SIYO HAYO YA KITAPELI WANAYOJITAMBULISHA NAYO ) TUNAYO LAKINI KWA SASA YANAHIFADHIWA .
unayahifadhi kwa maslahi ya nani mkuu? Wewe mwaga mtama tu hapa usiogope kuku wengi...
Mkuu ijnawezekana hao madada ni wataalam na wawekezaji wa ngono huko China.Mara kwanza nilitonywa kuhusiana na kushamiri kwa biashara ya ukahaba inayofanywa na Watanzania nchini China. Sikuchukulia seriously juu ya hili suala, lakini inaonekana kweli lisemwalo limo. Lakini bado najiuliza inawezekanaje Watanzania 40 kukutwa katika hoteli moja nchini China kwa wakati mmoja huku kila mmoja akiwa na mitikasi yake Halafu kati yao, 38 ni wanawake. Kwani kuna mkutano mwingine wa wanawake Beijing huko China?
Hii imetokea huko Macau nchini China ambapo polisi wamewakamata makahaba wa Kitanzania baada ya kutonywa kuwa kulikuwa na makahaba waliokuwa wakifanya biashara za kuuza miili yao kwenye hoteli moja iliyopo mji wa Central District. Baada ya kuwakamata makahaba wanne wa Kitanzania, polisi walianzisha msako hotelini hapo ambapo walikuta wanawake wengine 38 na wanaume wawili ndani ya vyumba vitano vya hoteli hiyo. Ajabu wote walikuwa ni raia wa Tanzania wenye umri kati ya miaka 19 na 38.
Hata hivyo, wengi wa Watanzania hao walikanusha kujihusisha na ukahaba. Wengi wao walidai kuwa walikuwa wanasubiri kuingia China au kurudi nyumbani Tanzania. Hata hivyo, kulikuwa na mwanamke mmoja wa Kitanzania ambaye aliiambia polisi kuwa alilazimishwa kufanya biashara ya ukahaba nchini China. Mwamanke huyo alidai kuwa alipewa ofa ya kufanya kazi kama mchuuzi jijini Guangzhou lakini baadae alilazimishwa kuwa kahaba. Kipato chake chote cha ukahaba kilikuwa kinachukuliwa na mwanamke mwingine. Amedai kuwa alienda Macau kwa ajili ya kuongeza visa yke.
Mwanamke huyo aliendelea kuimambia polisi kuwa Aprili 3 mwaka huu aliwambia wengine hakutaka kuendelea kuwa kahaba na kuwa alitaka kurudi nyumbani lakini akakamatwa chumbani kwake na kupigwa. Baadae polisi walimkamata mwanamke anayedaiwa kuchukua kipato chake chote na kumkuta akiwa na aina mbili za nyaraka zinazoonyesha dalili za kufanya biashara ya ukahaba. Nyaraka ya tatu ilikutwa mikononi mwa mwanamke mwingine.
[video=youtube_share;ANkRsmQcxBA]http://youtu.be/ANkRsmQcxBA[/video]
BAADHI ya MAJINA YA WATANZANIA WANAOJISHUGHULISHA NA UKAHABA CHINA WANATOKA KINONDONI NA KURASINI , MAJINA YAO YALE YA HALISI ( SIYO HAYO YA KITAPELI WANAYOJITAMBULISHA NAYO ) TUNAYO LAKINI KWA SASA YANAHIFADHIWA .