Mbahili
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 296
- 547
Kabla sijazungumzia chochote tengeneza picha ya beberu (mbuzi dume) kichwani. Fikiria anapewa pumba, majani ya kutosha na mwishowe maji ila mwisho wa siku nini? kisu shingoni.
Hili tukio completely na nyie Watanzania (mimi nimejitoa kwa kukosa hivyo vigezo vya beberu).
Hivi unadhani kwanini Lema aliwatukana madreva bodaboda? Kwanini anatukana na kudhalilisha kipato cha chini? Jibu ni moja, amegundua Watanzania ni beberu utawatukana, watakasirika, utaenda nunua pumba na majani, utawapa kisha watasahau.
Hali ya uchumi ilivyo nchini sio ya kuongea chumbani, maisha yamekuwa magumu mtaani, tunashuhudia kampuni nyingi zikihamisha biashara zao kupeleka nchini Kenya, tunaona wawekezaji wakitoa negative comments kwenye mazingira ya uwekezaji nchini.
Serikali haina wasiwasi wala panik yeyote ile kwasababu inaongoza watu variety ya beberu.
Kuna mtu kaingia dukani na elfu kumi, kanunua unga, dawa ya meno, na nini amekaa anasubiri change.... kaambiwa na mangi ndo imeisha hiyo.
Cha ajabu huyu beberu anatoa uchambuzi yakinifu lema 😂😂😂... yani hali mbaya kiuchumi, hamna ela... unatoa story za lema?
Utofauti ya wananchi na beberu, angalia mfano wa nchi kama Kenya... Mambo yakienda ndivyo sivyo wananchi wanaongea, wanaipush serikali physically, wanahoji... nyie beberu ni lema, sijui gwajima, sijui mama...
MTAKUFA NA UMASKINI WENU.