Watanzania Mungu atupe nini tena?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,949
141,929
Tumelalamika kwa muda mrefu sana kama wananchi juu ya utendaji wa viongozi wetu, Mungu amesikia maombi. Tunapoelekea uchaguzi Mungu anawaanika viongozi hao kwa ndimi na sura zao wakitudhihirishia udhaifu wao. Watiania Urais tumeujua udhaifu wao vya kutosha, wabunge ndio hao nao Ramadhani na jumapili hii waendelea kutapanya. Lakini hata huko UKAWA Msigwa na Selasini 'sura' zao halisi zimedhihirika! Wadau acheni Mungu na aitwe Mungu maana hadi oct 25 hakuna siri ya uovu itabaki mioyoni mwa waovu!!!
 
Back
Top Bottom