Watanzania mumerogwa na nani?

Watanzania mumerogwa na nani?

holygrail

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2012
Posts
1,303
Reaction score
597
yani hii mzigo east africa hamuko na kitu munajua ni uvivu tu munajua, mujirekebishe ama mutazidi tu kutuchukia wakenya,alafu mufanye kazi sio muda wote munadiscuss nyuchi zenyu. hope mumeelewa na mutajirekebisha juu nimetumia kiswahili.
 
Hiki sio kiswahili hata kidogo.., sijui umeongea kijaluo labda au ndio umekunywa chang'aa sielewi.., haya nenda kalale.
 
Mleta mada sijui una matatizo gani ya kichwa? Nini chanzo cha haya uliyo ya andika hapa. Nimeshindwa kukuelewa.

Tiba
 
juu nimetumia kiswahili bado hukuelewa!!!funda!!
 
Kwani nani kakwambia watanzania tunawaogopa wakenya? Kwa lipi? Ukabila?
 
Kama hautajali andika kwa kingereza maana ulichoandika unakijua mwenyewe. Mp.uuzi wewe!!!
 
Huyu mleta mada ndiye karogwa, hasa hapo kwenye uandishi!!!
 
Acha kutukosea heshima Watanzania, una ushahidi gani kua tumerogwa?
Inaonyesha wewe si mtanzania, ulijuaje muda mwingi tunaongelea ivo vitu kama hukuusika kuviongelea pia? Unadhani wakati unaandika huu upuuzi wako, hukupoteza muda?
Kama unataka kushauri kitu, tumia maneno yenye heshima please.
 
Mimi ni mtanzania na nimemuelewa.Ni kweli tunapenda kujadili sana viungo vyetu vya uzazi na maeneo yaliyo jirani yake.

Umaarufu wa mwanaume umekuwa ni katika uwezo wake wa kufanya ngono na siyo ubunifu wa kisayansi nateknolojia!Angalia tu majukwaa husika uone ushiriki wetu.

Tunapenda sana pesa kwa ajili ya starehe lakini hatupendi kazi!

Tuache kutukana kwani maoni ya mleta uzi yanaweza kuwa yana maana kwetu iwapo tutajitazama wenyewe kuona kama taswira hiyo ni ya kweli basi tuichukue kama changamoto kwetu,tuifanyie kazi bila kelele,siku moja utawaona wakitoa maoni tofauti na hayo.
 
umeongea ukweli ila umetumia maneno makali sana.na nyie wakenya mjifunze kiswahili fasaha.
 
yani hii mzigo east africa hamuko na kitu munajua ni uvivu tu munajua, mujirekebishe ama mutazidi tu kutuchukia wakenya,alafu mufanye kazi sio muda wote munadiscuss nyuchi zenyu. hope mumeelewa na mutajirekebisha juu nimetumia kiswahili.

pumbaaaafu
 
WaTanzania hebu tujadili yetu, Tupo hapa http://bongopilot.phn.me. Tuachane na hao wa Kenya.mbona sisi tunaweza tu.
 
Angesema tunajadili posho ningemuelewa lakini nyuchi, akafie mbele.
 
Issue sio lugha issue ni msg aliyoitoa,kweli watz tunajidai wajuaji lkn ukweli wa mambo wengi ni vilaza kwa mambo mengi
 
Mimi ni mtanzania na nimemuelewa.Ni kweli tunapenda kujadili sana viungo vyetu vya uzazi na maeneo yaliyo jirani yake.

Umaarufu wa mwanaume umekuwa ni katika uwezo wake wa kufanya ngono na siyo ubunifu wa kisayansi nateknolojia!Angalia tu majukwaa husika uone ushiriki wetu.

Tunapenda sana pesa kwa ajili ya starehe lakini hatupendi kazi!

Tuache kutukana kwani maoni ya mleta uzi yanaweza kuwa yana maana kwetu iwapo tutajitazama wenyewe kuona kama taswira hiyo ni ya kweli basi tuichukue kama changamoto kwetu,tuifanyie kazi bila kelele,siku moja utawaona wakitoa maoni tofauti na hayo.

wewe na ukoo wako pamoja na huyo mleta mada ndo mmelogwa acheni kujumuisha watz wote
 
Back
Top Bottom