Watanzania msikubali Tapeli wa mtandaoni awe kiongozi wenu...

Status
Not open for further replies.
alafu hii familia ina matatizo ya mitandaoni sana kwani hata mmiliki wa website ya Ze utamu ni binamu wa huyu Le Tapeli a.k.a Le kibonge.
Jamaa anamtia aibu Waziri Mkuu mstaafu Mh. John Malecela.
CCM ni mkusanyiko wa wahalifu wa kila aina.

eeh! Halafu yeye ndo alivujisha info kwa Kikwete mpaka akakamatwa!
 
mimi naheshimu na namkubali sana taaluma ya Yo Yo. sina shaka hadi Yo Yo anapost hapa kashamjua ni nani na yupo wapi. asante sana Yo Yo kwa kutumia taaluma yako kuwasaidia watanzania wenzio. Hongera sana. kama vipi wakupe umoderator. mia

Yo Yo akipewa umod mademu watachezea sana ban akipigwa kibuti.
Le Mutuz The Big Show mutoto ya Tabata upo wapi papaa?
 
Last edited by a moderator:
Huyo Le Mutuz mwenyewe alikuwa analelewa na mkewe huko marekani. Kazi yake ya kulenga madaraja{udereva} tena wa malori haikuwa inamsaidia kupata hata hela ya kulea.. Amekimbia marekani kukwepa child support.. Sasa watoto wake wanalelewa na mama tu.. Ni Kubwa jinga kwa kweli. Kula, kulala kwa baba {K.K.B}. Sea view Upanga.
 
Bila shaka mkuu. Unless ajitokeze akanushe.

Asije akasema "wapinzani wake wa kisiasa" wanataka "kumchafua" we have nothing to do with his 'career' ila ni wajibu wetu kulinda kizazi kijacho kwa kujenga misingi ilio bora.Hivi watoto wetu na wajukuu utawaambia nini ukiwaambia ulikuwa jukwaa moja na mtu kama huyu wakati huo akiwa kiongozi mwenye mamlaka serikalini.....sana sana watatuona baba/babu zao hamnazo......

Si vema hata kidogo ma balaa, nuksi,mkosi, bahati mbaya, uzembe, utumbo, ubadhirifu, rushwa, ufisadi utokee tena kwa vizazi vijavyo ila tu tukilala na kuangaliaa matapeli kama hawa wawe wenye dhamana serikalini maswahibu yote hayo wajukuu zetu watalia nayo
 
Leaders kids of africa are bizzare, hawajui kitu wanaota wizi tu hawajiulizi kwanini watoto wa pele sio wachezaji?
baba zao wana penshen na wana contact kibao pamoja na wizi mkubwa tu hasa Malecela alikuwa close na wahindi kwanini asianzishe undustries akaajiri wagogo na kulipa kodi serikalini ili kuendeleza Taifa lake aakacha utapeli na madaraka ya rushwa anayoyataka?
 
alafu hii familia ina matatizo ya mitandaoni sana kwani hata mmiliki wa website ya Ze utamu ni binamu wa huyu Le Tapeli a.k.a Le kibonge.
Jamaa anamtia aibu Waziri Mkuu mstaafu Mh. John Malecela.
CCM ni mkusanyiko wa wahalifu wa kila aina.

Mkuu hao cha mtoto, kuna mwingine nilisoma nae Galanos Boys form six 2006.......huyu alikuwa kiumbe cha ajabu kabisa, alikuwa anawagonga masaburi watoto wa watu......ajabu hata yeye alikuwa anagogwa pia. Ilikuwa kashfa ''Mjukuu wa Malechela??''

Hatari.....Weka mbali na Masaburi
 
Du Makubwa..! Huyu Tapeli naye eti anasaka madaraka?

WanaJF tumzomee huyu Tapeli kila akiposti ujinga wake humu JF.
 
Asije akasema "wapinzani wake wa kisiasa" wanataka "kumchafua" we have nothing to do with his 'career' ila ni wajibu wetu kulinda kizazi kijacho kwa kujenga misingi ilio bora.Hivi watoto wetu na wajukuu utawaambia nini ukiwaambia ulikuwa jukwaa moja na mtu kama huyu wakati huo akiwa kiongozi mwenye mamlaka serikalini.....sana sana watatuona baba/babu zao hamnazo......

Si vema hata kidogo ma balaa, nuksi,mkosi, bahati mbaya, uzembe, utumbo, ubadhirifu, rushwa, ufisadi utokee tena kwa vizazi vijavyo ila tu tukilala na kuangaliaa matapeli kama hawa wawe wenye dhamana serikalini maswahibu yote hayo wajukuu zetu watalia nayo

Mpwa Yo Yo hii makitu haina mkono wa kisiasa kweli? I mean hujiandai kweli kuchukua jimbo la Mtera 2015? Arif nione mchango wangu wa kampeni
 
Last edited by a moderator:
Watu wakisema ccm kimepoteza mwelekeo wanaona wanapondwa, sasa akina William eti ndo makada wa chama, na watakuja hapa pro ccm watamtetea sana kisa ni mwanachama wao, kazi ipo bongo
 
alafu hii familia ina matatizo ya mitandaoni sana kwani hata mmiliki wa website ya Ze utamu ni binamu wa huyu Le Tapeli a.k.a Le kibonge.
Jamaa anamtia aibu Waziri Mkuu mstaafu Mh. John Malecela.
CCM ni mkusanyiko wa wahalifu wa kila aina.

Huyu Tapeli amenisikitisha sana.Ndiyo maana kuna mtu mmoja alisikitika akasema wakati watu wengine wanazaa watoto mzee Malecela alizaa kituko.
 
kwa hiyo field marshall ES ndo le mutuz?

Mkuu kwani wewe ndo unajua leo, nashangaa sana mtu mmoja anamiliki username zaidi ya moja halafu mods kimya, si ajabu tunasema kuwa registered members wa jf tupo zaidi ya laki moja lakini ukifuatilia umaweza ukute hata hatifiki elfu kumi
 
Kwa nini serikali isimtie mbaroni Tapeli hatari kwa viwango hivi? Hii aibu kubwa hasa kwa mtoto wa waziri mkuu mstaafu kuwa Tapeli la kimataifa.Masikini William.
 
Field Marshall ES 02:48 8th August
2009

- Mtu mmoja unahangaika thread
nzima kama unataka kutaga mayai na ID kibao unasumbuliwa na nini mkuu? Sasa unasema huu ni uongo mbona wewe ndiye wa kwanza kunitumia PM
na E-mail?
- Mkuu take a break sio lazima ulale
humu na kusumbua watu, dola 30 za maremeta umelia huku PM kila mahali usaidiwe, 300 utazitoa wapi? Tulia kama unanyolewa mkuu, ume-gogle
kila mahali hakuna unafikiri nilizaliwa jana mkuu, unafikiri google ina kila jibu?
- Ndio maana nimekataa kuweka habari zote, maana kuna watu kama wewe wenye roho kama ya nyoka, utaishia kuharibia wanaotaka kujaribu kwa sababu za ubinafsi wako, kaa pembeni mkuu acha longo longo, toka jana umeshupalia kila mahali na mi-ID yako, vipi huna kazi bro zaidi ya JF? Duh! i mean unatia kinyaa eti! Wizi ni tabia ya kuzaliwa nayo, sasa hebu kuwa mkweli zikichunguzwa background yangu na yako nani atakutwa na utapeli bro? Unafikiri ninaweza kuuza utu wangu kwa ajili ya dola 300 au something
ambacho siamini kabisa kwamba
kipo?
- Wewe una umalaika gani hasa? Mtu msamaria mwema amekuonyesha anaponunua ndizi za kwenu Bukoba huko majuu tena kwa nia njema sana,
wewe ukarudi kesho yake na
kununua zote pale dukani na kutaka kumuuzia tena yule yule msamaria mwema aliyekuonyesha duka, sasa wewe ni mtu gani? Ndio maana umeshupalia weee na hii thread ni kwa sababu unataka info, halafu uwatafute ukaharibu!
- Acha wewe huu utoto wako peleka huko mbele unachefua sana, unachohangaikia ni nini hasa, I mean hulali toka jana unahangaika kila kona, mara hivi mara vile nini shida yako mkuu sema usaidiwe, wananchi
genuine na wenye shida
wanashindwa kuuliza valid questions hapa kwa sababu yako wewe mtu mmoja tu, unawashwa na nini mkuu? Jaza fomu mimi nitakulipia hiyo 300
kama kweli una shida ya hii kitu, lakini usiharibie wengine wanaotaka kujaribu bahati zao mkuu, ninamini this thing kwamba ni for real tena kwa 100%, na tena ninazo all the info, namba za simu, fax, e-mail, na hata majina ya wahusika, sasa wewe hizi
info huna ni mpaka niamue kukupa otherwise, utaendelea kupiga piga kelele forum nzima kama kichaa na sitakupa maana hizi e-mail zako na pm
zako zote ninazijua, mkuu kacheze na watoto wako sio hapa kwenye
watuwazima! maana unachefua sana!
Respect. Field Marshall Es!

Cheki povu lilivyomtoka Le Mutuz baada ya kukutana na GT ambaye anafahamu utapeli wake.
 
Ule ukoo sijui una tatizo gani tu. Vipi na yule mdogo wake wa ule mtandao uliokuwa maarufu sana "Ze Utamu", yuko wapi nae?
 
Kinachonishangaza zaidi eti kwenye Profile ya William Malecela Professional yake amejaza kwamba ni Politician.

Ukiona mtoto wa kigogo wa CCM kwa enzi za kina Malecela anafaya kazi ya ukuri melini basi ujuwe darasani alishashindikana.

Ushahidi angalia Watoto wa vigogo kama Hussein Mwinyi wala hawatumii nguvu nyingi na misuli kupata madaraka, maana Shule zao hazina mawaa kama huyu aliyesomea Polisi Jamii ili mradi anaonekane na yeye ana Degree.

Ndio maana tunaposema CCM ni kichaka cha majambazi huwa hatukosei, na kama nilivyoahidi jana nita print thread zote za huyu jamaa alivyokuwa anamtukana Kikwete na leo anajifanya ni kipenzi cha CCM.

Nina rafiki yangu yupo Idara ya Uhasama wa Taifa nitamkabidhi huu unafki wa huyu Mzee wa Totoz ili wajuwe wenyewe kwa Mkwele wakakuchongee vipin na Mkwele alikuwa hamjui huyu jamaa kama anamlamba kisogo, Guess what next.
 
Watu wakisema ccm kimepoteza mwelekeo wanaona wanapondwa, sasa akina William eti ndo makada wa chama, na watakuja hapa pro ccm watamtetea sana kisa ni mwanachama wao, kazi ipo bongo
Mbaya zaidi hata mwenyekiti wao anawasifia kwa kuwashughulikia wapinzani...ina maana mwenyekiti wao hayajui haya? au usalama wa taifa hawajafanya kazi yao vizuri?....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom