Watanzania mngependa Paul Makonda Ateuliwe na Rais Samia Katika nafasi ipi ya uongozi katika serikali ijayo 2025-2030

Ujio wa Bashite (na harakati za kumrudisha Ole Sabaya) ni kipimo cha ujinga wa wananchi!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kutokana na uchapa kazi wa Mheshimiwa Makonda,uzalendo wake, ujasiri wake katika kufanya maamuzi na kuchukua hatua ,bidii katika kazi ,ubunifu katika kazi,kasi yake kiutendaji,maono ya mbali kiuongozi,uzoefu wake katika uongozi,uchungu wake katika maisha ya watu,upendo wake kwa Taifa na watanzania wanyonge.je Watanzania wenzangu mngependa kuona Rais Samia akimteua Mheshimiwa Makonda katika nafasi ipi ya uongozi?

Mngependa kumuona Mheshimiwa akipewa nafasi ipi ambayo itampatia meno,mamlaka na nguvu zaidi ya kuwachukulia hatua moja kwa moja watumishi ,watendaji na viongozi wazembe,wala rushwa,mafisadi,wanaofanya kazi kwa mazoea,wanao wadhulumu na kupindisha haki za wanyonge? Mngependa kuona Mheshimiwa akiapishwa na kushika nafasi ipi katika serikali ya Rais Samia.

Mnafikiri kwa aliyoyabaini na kuyakuta huko mikoani na namna anavyoongea kwa uchungu na maumivu makali mpaka kusema kuwa anatamani angemchapa mtu makofi .mnafikiri hali ingekuwaje kama angekuwa na mamlaka mkononi mwake ya walau hata kumsimamisha mtu uongozi papo kwa papo kwa ajili ya hatua za kiuchunguzi? Mnafikiri katika ziara zake hizi wakuu wangapi wa wilaya au wakurugenzi au ma ocd au rpc au mameneja wangesombwa na upepo? Mnafikiri ni viongozi wangapi wangeng'olewa huko papo kwa papo?

Maana kwa sasa anaendelea na ziara na kinachofuata utakuwa ni kupeleka ripoti kwa Mheshimiwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Dr Mama Samia Suluhu Hasssan juu ya kile alichokibaini huko katika ziara zake ,ikiwa ni pamoja na watu gani anaona ni kikwazo katika kuchochea maendeleo maeneo yao,kuchelewesha miradi ya maendeleo,kuwaonea wananchi,kudhulumu na kuchelewesha haki za watu.

Kwa sasa angalieni namna mikutano yake inavyofurika na kumiminika maelfu ya watu,angalieni namna anavyogusa maisha ya watu,angalieni namna anavyokubalika kwa watu,angalieni namna watu wenye kero na shida wanavyomlilia na kumng'ang'ania ili awasaidie kero zao. Kwa Sasa nimeshuhudia hadi watu wa upinzani wakihudhuria kwa wingi katika mikutano yake kumsikiliza ,lakini pia hata wale wapinzani walio mbali ambao hawafanikiwi kufika kwenye mikutano yake unaona namna walivyo Bize kumfuatilia kupitia mitandao ya kijamii.

Ndio maana hata ukipita kwenye kurasa za mitandao za viongozi wa CHADEMA na wafuasi wao unaona wakiwa wamepost na kujadili habari za Mheshimiwa Makonda katika kuonyesha kuwa macho na masikio yao yote yameelekezwa katika kufuatilia ziara zake pamoja na hotuba zake na kile kinachojili huko mikutanoni. Kwa sasa Mheshimiwa Makonda kateka habari zote za kisiasa hapa nchini,yeye ndiye habari kuu iliyoteka habari zote katika vyombo vyote vya habari na mitandao yote ya habari.yeye ndiye habari kuu hapa Nchini. ukifungua redio au Tv au magazeti au kuingia mitandaoni lazima ukutane na habari zake tu.angalia hata hapa jukwaani tu ni habari ngapi kwa siku kuhusu mh Makonda zinaletwa?

Kazi iendelee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.View attachment 2899289View attachment 2899290View attachment 2899291View attachment 2899292View attachment 2899294View attachment 2899295View attachment 2899296
Nje ya mada...hivi ni mpumbavu gani aliyeasisi kamfumo ka kuwaita wanasiasa waheshimiwa
 
Hapo tulipigwa!
 
Umegeuka kuwa chawa wake?
Mtu anayefanya vyema usione aibu kumpongeza na kumtia nguvu.siyo kazi nyepesi kuwapata wachapakazi aina ya Mh Makonda waliojitoa na kujitolea kwa ajili ya watu. Nitaendelea kumuunga mkono Mheshimiwa kwa nguvu zangu zote.
 
Back
Top Bottom