Watanzania mnajionaje?

They are useless at all kama kufanikiwa mbona watanzania wengi wamefanikiwa kuhusu mapungufu yapo kila sehemu ndio maana kuna msemo No one is perfect .
Hiyo kasumba tunayo wabongo tuu dunia nzima mtu akisha panda ndege na kuongea ongea inglish basi ana dismiss wengine wote as failures.
Utaskia watanzania hawaajiriki sjui hawafanyi nini khaa!
Ni roho mbaya tu znakuwaga
 
Kanuni moja ya maisha ninayotaka kuifuatilia kwa ukaribu sana ni kutojishughulisha sana na maisha ya watu wasionihusu.

Wao wana uhuru kuishi wanavyotaka, na mimi nina uhuru wa kuishi ninavyotaka.

Na hata kama sifurahii wanavyoishi, maadam hawajaniingilia katika maisha yangu, nitatetea uamuzi wao wa kuishi wanavyotaka, na nataka wao pia waheshimu mimi uamuzi wa kuishi ninavyotaka.

Hususan kama ni watu wazima wenye akili zao.

Ukiishi namna hii headaches nyingi zisizo za lazima unaziepuka.
 
Hiyo kasumba tunayo wabongo tuu dunia nzima mtu akisha panda ndege na kuongea ongea inglish basi ana dismiss wengine wote as failures.
Utaskia watanzania hawaajiriki sjui hawafanyi nini khaa!
Ni roho mbaya tu znakuwaga
Fact mkuu Nigger's always wanajiona wao ni bora kuliko wengine asa wakiwa na vitu ambavyo kwenye jamii inayomzunguka hawana.

Jiulize amefanya nini cha kumtofautisha na wengine au chenye maendeleo chanya katika dunia hii kama walivyo wachache Eg.
Newton
Zukerberg


Kwa hiyo tunabaki pale pale binadamu wote ni sawa maana kila mtu ana mapungufu yake.
 

Hii comment aisome pia mwalimu wangu Inna.

Shukrani mkuu.
 
Hahahaha
Sja wahi ona eti mkenya ana waponda wenzie ana wavalue wa Rwanda ila wabongo wachache wana ulimbukeni huo
Halaf kama ulivo sema una kuta hajawahi hata kuachieve jambo la maana at least awe wa mfano basi
 
Waswahili wanasema fata mambo yako.. Yasiyokuhusu wala usiwe na time nayo, waachie wenye nayo wa deal nayo
 
Hapo kwenye bold .... usilaumu bali tafuta chanzo cha tatizo ...

Mfumo wa maisha ya watanzania ulivurugwa tangu awali na unaendelea kuvurugwa tu ...
Siasa ya kujitegemea ... ni mfumo gani tena huo ulimwenguni

Ruksa ... ilitusaidia nini?

Ubinafsishaji ... ilikuwa kama kuuza mali za nchi kwa bei ya kutupa ...

Maisha bora kwa kila mtanzania... yalikuwa wapi?

Sasa viwanda .... viko wapi?

Hatuko well organized na hii ni sera ya chama tawala ili kiendelee kuwa madarakani.

Watu hawajitambui kabisa! Ila safari hii tutawabadilisha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…