capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,268
Tuache kama tulivyo mkuu.Nisikitike sana SANA! Mambo ninayoyaona kwa Watanzania wengi hapa Nchini na hata nje ya TZ ni ASANTE kwakweli. Tabia zenu HAZIELEZEKI, hazieleweki! Yaani ikitokea nimeishi na Mtz ama kufanyakazi na MTz hua ni changamoto kwelikweli!
Binafsi si mchangiaji sana hapa JF cuz most of your posts sio maisha ya ulimwengu huu kidogo twitter ina reflect life lkn hapa JF .. bla bla bla nothing serious. Huwa nafurahia sana ku- socialise na watu wa nje kuliko watu hapa Tz. Kama nakosea samahani sana ila nayasema tu kwa nia nzuri. Zungumzia U - Great thinker utabaki kwa MAX na crew yake, kidogo Biashara uchumi na ujasiriamali alikuepo Ontario wengine wooote, ni ASANTE kwa kweli. HAMNA KITU
Nikifikiria kuhusa hapa nyumbani styl ya maisha mlionayo kwa ujumla hua nachoka, wakati mwingine nakosa usingizi kabisaa .. tunajivunie nini TZ? Yan ni aibu (kitu sipendi maisha yangu yote). Entertainment hakuna, Siasa safi hakuna, Uadilifu zero, Uchapakazi hakuna, Time management zero! Yani ni changamoto!! You are not existing in reality, You are not existing in this world life.
Franky, nmeishi na kufanya kazi na Nigerians, Rwandese huko nje, And am not sorry to say I envy these Ppl.
Et kwani Watz mnajionaje?
Kila watu na tabia na tamaduni zao, huwezi kulazimisha Watanzania waishi kama Wanyarwanda kwavile umependa mfumo wao wa maisha. Tanzania tuna namna yetu ya kuishi na pengine hii ndio inatutofautisha na raia wa nchi nyingine, hatuwezi kuishi maisha ya kuigiza ili tumfurahishe kama sio kumvutia mtu au kundi fulani la watu.Nisikitike sana SANA! Mambo ninayoyaona kwa Watanzania wengi hapa Nchini na hata nje ya TZ ni ASANTE kwakweli. Tabia zenu HAZIELEZEKI, hazieleweki! Yaani ikitokea nimeishi na Mtz ama kufanyakazi na MTz hua ni changamoto kwelikweli!
Binafsi si mchangiaji sana hapa JF cuz most of your posts sio maisha ya ulimwengu huu kidogo twitter ina reflect life lkn hapa JF .. bla bla bla nothing serious. Huwa nafurahia sana ku- socialise na watu wa nje kuliko watu hapa Tz. Kama nakosea samahani sana ila nayasema tu kwa nia nzuri. Zungumzia U - Great thinker utabaki kwa MAX na crew yake, kidogo Biashara uchumi na ujasiriamali alikuepo Ontario wengine wooote, ni ASANTE kwa kweli. HAMNA KITU
Nikifikiria kuhusa hapa nyumbani styl ya maisha mlionayo kwa ujumla hua nachoka, wakati mwingine nakosa usingizi kabisaa .. tunajivunie nini TZ? Yan ni aibu (kitu sipendi maisha yangu yote). Entertainment hakuna, Siasa safi hakuna, Uadilifu zero, Uchapakazi hakuna, Time management zero! Yani ni changamoto!! You are not existing in reality, You are not existing in this world life.
Franky, nmeishi na kufanya kazi na Nigerians, Rwandese huko nje, And am not sorry to say I envy these Ppl.
Et kwani Watz mnajionaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuache kama tulivyo mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuache kama tulivyo mkuu.
Hilarious comments are always there[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najiona tofauti kidogo na Watanzania wengi.. Kama yupo Mtz makini kama me ataungana na mimi kuuliza, mnajionaje??Tuanzie kwako. Unajionaje? Wewe umefanya kipi cha maana kaisi cha kuona wengine hamna kitu?
Ukijibu hapo tutaendelea.
[emoji122][emoji122][emoji122]Nisikitike sana SANA! Mambo ninayoyaona kwa Watanzania wengi hapa Nchini na hata nje ya TZ .. Dah! ni ASANTE. Tabia zenu HAZIELEZEKI, hazieleweki! Yaani ikitokea nimeishi na Mtz ama kufanyakazi na MTz hua ni changamoto kwelikweli!
Binafsi si mchangiaji sana hapa JF cuz most of your posts sio maisha ya ulimwengu huu kidogo twitter ina reflect life lkn hapa JF .. bla bla bla nothing serious. Huwa nafurahia sana ku- socialise na watu wa nje kuliko watu hapa Tz. Kama nakosea samahani sana ila nayasema tu kwa nia nzuri. Zungumzia U - Great thinker utabaki kwa MAX na crew yake, kidogo Biashara uchumi na ujasiriamali alikuepo Ontario wengine wooote, ni ASANTE kwa kweli. HAMNA KITU
Nikifikiria kuhusa hapa nyumbani styl ya maisha mlionayo kwa ujumla hua nachoka, wakati mwingine nakosa usingizi kabisaa .. tujivunie nini TZ? Yan ni aibu (kitu sipendi maisha yangu yote). Entertainment hakuna, Siasa safi hakuna, Uadilifu zero, Uchapakazi hakuna, Time management zero! Yani ni changamoto!! You are not existing in reality, You are not existing in this world life.
Franky, nmeishi na kufanya kazi na Nigerians, Rwandese huko nje, And am not sorry to say I envy these Ppl.
Et kwani Watz mnajionaje?
If relatives help each other, what evil can hurt them?Tuache kama tulivyo mkuu.
You are dead wrong,waafrika wote tofauti yetu ni mipaka ya kijiografia tu.
The old woman looks after the child to grow its teeth and the young one in turn looks after the old woman when she loses her teeth.Kila watu na tabia na tamaduni zao, huwezi kulazimisha Watanzania waishi kama Wanyarwanda kwavile umependa mfumo wao wa maisha. Tanzania tuna namna yetu ya kuishi na pengine hii ndio inatutofautisha na raia wa nchi nyingine, hatuwezi kuishi maisha ya kuigiza ili tumfurahishe kama sio kumvutia mtu au kundi fulani la watu.
Changamoto kubwa kwenye maisha ni pale unaposhindwa kuishi na watu wenye tabia tofauti na kwenda nao sawa, jitahidi kuwazoea Watanzania na mifumo yao ya maisha... kama inakuwia ugumu kufanya hivyo basi nenda ukaishi Rwanda au Nigeria.
tunapishana ukubwa wa kiwango cha udhaifu.You are dead wrong,