Watanzania Milioni 61 wote wanashangaa ripoti ya CAG

Watanzania Milioni 61 wote wanashangaa ripoti ya CAG

CCM inajua kuiba kura tu. Subiri uchaguzi ufike wanavyokimbizana na jeshi na kueungua wapinzani ili waibe vizuri. CCM ni laana kwa nchi hii. Seema Raia bado wanaiabudu CCM pamoja na ujinga wote.
 
Kwani wakati wa Magufuli kuna mtu aliwajibishwa kwa ajili ya ripoti chafu. Tukumbushe..... Binafsi sikumbuki yeyote zaidi ya CAG mwenyewe kutumbuliwa.
Prof Muhongo ulimuondoa wewe wizarani? Wale wafanyakazi wa wizara ya madini uliwashushia wewe mishahara na kuwaondoa kwenye nafasi zao.
 
Back
Top Bottom