Watanzania kwa mapenzi tunatisha.

Watanzania kwa mapenzi tunatisha.

Hahahahahahaha,,, kiongozi huu ukweli mtupu, kuna siku nlisikia mama mmoja anamwambia mwanae "liangalie sura mbaya kama ya baba yako"

Hahhaaa....sipati picha. Kuna sehemu moja kwa ndgu zangu mama kamuambia mtoto mbele ya baba yake.
Mama: Hili toto lina tabia mbaya kama shangazi zake
Baba: hizi tabia kwetu hakuna, zitakuwa za wajomba zake.
 
Angalia wananvyotupiana mpira,, hivi sijui hawajuagi kama maneno yanaumba......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom