Da Vince Leofric
Member
- Oct 15, 2013
- 9
- 2
kuwa mzalendo! kwanini unajenga 'inferiority complex'.. ingekuwa vizur kama ungesema kipi kifanyike badala la kuponda...
[/B]
Nitaongezaje speed? Atakuta nimeshafika tunakoelekea au nimesharudi home!
Kuwa mzalendo basi! Japo kidogo!
In U.S....this is my lovely wife.
When a student fails an exam, the father says,
In the UK- you can still do better darling,
In the US. Yes you can, I know you can,
In Tz- kumbe niliuza ngo'mbe na nikapeleka ng'ombe nyingine shule.....
Dah!!! hapa umeniacha hoi kiongozi but kuna ukweli flani hivi, wazazi wengi wa kibongo kumencourage mwanae wanaona kama ni kumdekeza so wao wanakimbiliaga kwenye lawama tu..
Sawa kabisa. Sijui kama nikiisifia FC barcelona na kuiponda yanga ndio nakosa uzalendo (samahani lakini).
pamoja kwamba ni chungu, ila ni dawaHahahaaa! Mwenyewe nimeona! Jamaa anamwaga sumu! Hahaha! Ila fresh tu! Huenda tukaachana na hizo tabia!
Na sio lawama tu na ubabe juu. Nimezoea kumuona baba ana ndita tu. Akitoa story hata kama ni za kuchekesha unacheka kwa nukta nukta na wasiwasi kibao. Ukifanya makosa tu utasikia 'mama nanii umeliona toto lako'?
Tena anaweza ukashangaa anakuambia "unacheka cheka nini?? kwanza muda wa kusoma huu nenda ndani kasome"
Hahaha..hatari kweli kweli. Na ndio itokee sasa unatumika kama tusi.
Mama akiwa hayupo;
Baba: liangalie..akili mbovu kama mama yako.
Baba akiwa hayupo
Mama: hebu lione,..mjinga kama baba yako.