Watanzania kwa mapenzi tunatisha.

Watanzania kwa mapenzi tunatisha.

M.E.M.A

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
1,373
Reaction score
472
In U.S....this is my lovely wife.
In Britain..this is my lovely queen.
In Tz...huyu ndo mama watoto

In USA, when going to work, wife says 'have fun at work hunie'
In UK, wife says 'see you later sweery'
In Tz, wife says 'Chelewa na leo tena utaona'

In US husband tells her wife, you look smart in that new dress.
In UK, i miss to walk with you in that dress my dear.
In Tz, inaonekana manager ameanza kukutolea macho.... ukitoka na hiyo nguo tafuta kwako

In the US..dear, i enjoy this walk (walking hand in hand, to bus stage)
In the UK..it's my turn to drive
In Tz...Mama Mwita, tangulia nikukute stand

When a student fails an exam, the father says,
In the UK- you can still do better darling,
In the US. Yes you can, I know you can,
In Tz- kumbe niliuza ngo'mbe na nikapeleka ng'ombe nyingine shule.....
 
Eti Heaven on earth, ni kweli ayasemayo huyu kijana?
 
ndivyo kweli au umeamua utudhalilishe wazee wako...?
 
Lkn kweli... we litoto gani nimeuza ng'ombe wangu wote lenyewe limeishia kuvuta mibange na hatimaye kufeli? Mi siliachi katu
 
Nyingine kwa wanaume:
Unatembea na mpenzi wako mmeshikana mikono. Ukikuta kundi la wakina dada linakuja upande wenu, unaachia mkono wa mwenzako, na kama mlikuwa na story zinakata.
 
Hahahahaaaa!
Hapa umenigusa!

Nitaongezaje speed? Atakuta nimeshafika tunakoelekea au nimesharudi home!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom