Watanzania Intelligence haiwahusu?

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,413
8,913
Hivi ni kwa nini karibia kila intelligent and high IQ black man hapa Tanzania watasema siyo Mtanzania? Je, sifa ya utanzagiza ni low IQ , underachieving, low self esteem and backwardness?

Kila black man anayefanya vizuri watamzushia Mkenya, utasikia mrwanda mara hata kongo, kwa nini ? kwa ninj mnaogopa challenge besides mnataack only black men, huwezi kisikia wakisema mtu kama Shivji siyo mtanzagiza, huwezi sikia watu kama dewjis, wamanga wa gsm au akina manjis wakishambuliwa siyo watanzagiza, why black on black?
 
Akili kubwa hubebwa na mazingira mtu anayoishi.

KAMA UNAISHI MAZINGIRA YALIYOZUNGUKWA NA MAMBUMBU BASI NAWEWE UTAHESABIKA KUWA NI MBUMBUMBU.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Hivi ni kwa nini karibia kila intelligent and high IQ black man hapa Tanzania watasema siyo Mtanzania? Je, sifa ya utanzagiza ni low IQ , underachieving, low self esteem and backwardness?

Kila black man anayefanya vizuri watamzushia Mkenya, utasikia mrwanda mara hata kongo, kwa nini ? kwa ninj mnaogopa challenge besides mnataack only black men, huwezi kisikia wakisema mtu kama Shivji siyo mtanzagiza, huwezi sikia watu kama dewjis, wamanga wa gsm au akina manjis wakishambuliwa siyo watanzagiza, why black on black?

kwaiyo wewe ndio unajifanya una akili kuliko Kitengo cha usalama??
Wamewez kuiweka salama nchi miaka zaidi ya 50 ww umekunywa mbege unakuja kuandika utoporo
 
Tunajipanga saizi tunaanza na tunao waweza tutakuja waarabu na wahindi
 
kwaiyo wewe ndio unajifanya una akili kuliko Kitengo cha usalama??
Wamewez kuiweka salama nchi miaka zaidi ya 50 ww umekunywa mbege unakuja kuandika utoporo

salama against who? nchi giza over 24 hrs halafu unasifia nchi iko salama?
 
Inferiority complex. Mitanganyika inaamini wao ni wajinga, watu wa kuibiwa na kuburuzwa. Hawaamini kama wanaweza kushindana na watu wengine ndo maana wanaogopa wageni na uraia pacha kwa kisingizio cha kuibiwa. Wamekubali ni wajinga na wanaukumbatia kwa nguvu zote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom