canular
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 1,068
- 1,268
CCM, Samia na wahuni wote watanzania tumewakataa hatuwataki
Mnataka watanzania tufanye nini ili msikie kwamba hatuwataki tuachieni taifa letu hamna cha kutudangaya watanzania sasa hivi tumejitambua
Samia achia nchi yetu hatukutaki, hatuwapendi, hatujawachagua tokeni msituletee machafuko kwa roho zenu mbaya za chuki wivu na kiburi
Badala ya kutumia akili kuliongoza taifa mnatumia mabavu na bunduki, watanzania hatutaki kuongozwa na wasiojitambua.