Ina wenyewe na wenyewe ndio wao. Huu wimbo huukumbuki?Ni mambo ya kusikitisha lakini ndio ukweli.
Watanzania hatuna uzalendo kabisa.
Kila mtu anawaza ubinafsi wa kiwango cha juu sana.
Hatuko kitu kimoja.Adui akiingia,atafanikiwa kama M23 wanavyofanikiwa kuiteka Congo wapendavyo
.Tumekuwa kama wacongo,hatuna uzalendo kabisa.
Jambo hili ni hatari.
Sijui nini kifanyike maana nikipita vijijini,watu wanayoongea utadhani sio watanzania bali sana nchi nyingine ya kufikirika.
Mungu ibariki Tanzania
Walimpindua Nyerere sembuse haka karembo cha pembaMzalendo namba moja huwa ni jeshi tuu , pote unapoona machafuko ni matokeo ya jeshi kugawanyika , jeshi likipishana hamna kitu wananchi mtafanya mtatafutana mno , as long as jeshi lipo imara nothing can happen with in , hyo ndo nguzo pekee ya usalama wa nchi
Karibu Caanda. Tuliona mbali kuhamisha Familia.Ni mambo ya kusikitisha lakini ndio ukweli.
Watanzania hatuna uzalendo kabisa.
Kila mtu anawaza ubinafsi wa kiwango cha juu sana.
Hatuko kitu kimoja.Adui akiingia,atafanikiwa kama M23 wanavyofanikiwa kuiteka Congo wapendavyo
.Tumekuwa kama wacongo,hatuna uzalendo kabisa.
Jambo hili ni hatari.
Sijui nini kifanyike maana nikipita vijijini,watu wanayoongea utadhani sio watanzania bali sana nchi nyingine ya kufikirika.
Mungu ibariki Tanzania
Hakuna watu hao kwa sasa. Kwa sasa kila mtu anaangalia tumbo lakeWalimpindua Nyerere sembuse haka karembo cha pemba
Suluhu tena….. ooh please usitaje hilo jina nasikia kutapikaKulalamika bila kutafuta suluhu ya kudumu kwa tatixo lile lile kila siku ni ujinga.
Kiufupi hakuna jirani ambaye yuko serious na kutaka au kuvamia maliasili zilizo ndani ya mipaka yetu, vinginevyo watanzania wangekuwa radhi kumuunga mkono huyo mvamizi ili tu utawala wa CCM upate shidaNi mambo ya kusikitisha lakini ndio ukweli.
Watanzania hatuna uzalendo kabisa.
Kila mtu anawaza ubinafsi wa kiwango cha juu sana.
Hatuko kitu kimoja.Adui akiingia,atafanikiwa kama M23 wanavyofanikiwa kuiteka Congo wapendavyo
.Tumekuwa kama wacongo,hatuna uzalendo kabisa.
Jambo hili ni hatari.
Sijui nini kifanyike maana nikipita vijijini,watu wanayoongea utadhani sio watanzania bali sana nchi nyingine ya kufikirika.
Mungu ibariki Tanzania
uzalendo wakati Abdul anaendesha Rolls Royse ya 2 billions tsh!Ni mambo ya kusikitisha lakini ndio ukweli.