wasi wasi wangu ni mmoja tuu. Rushwa ndani ya ccm , ni Ishara ya kupata raisi Kibaraka wa nchi za kiarabu. UVCCM uchaguzi wa rishwa! UWA uchaguzi wa Rushwa! Wazazi, UChaguzi wa rushwa! hizi jumuia zitakaa pamoja kumuenzi god father wao ambaye ndiye atakaye wakilisha CCM uchaguzi mkuu 2015! Hapo ni kupata raisi kibaraka wa either IRan, Saudi Arabia au Oman.
mambo kama haya siyo mageni kutokea ndani ya CCM. Mwaka 1995 yalipotokea yalidhaminiwa na serikali ya Iran na waasia wengi sana walijitokeza kugombea ubunge huko mikoani mapka jimbo la kawe lilichukuliwa na muasia. Lakinimwaka huo mzee Nyerere aliokoa taifa kwa kumtaja hadharani kibaraka wa Iran.
Nyerere kaondoka, je TAKURU wana ubavu huo wa kumlipua kibaraka hadharani? Hii rushwa na ukosefu wa maadili, havikuja bure, ni lazima vina ujumbe wa kuwa kuna mtu tayari kashanunuliwa na waarabu na taifa kutawaliwa upya na mataifa ya kiarabu. sasa jiulize, kwa nini wantoa rushwa ili wapite? hizo pesa wamatoa wapi na nani mdhamini wao?
kugombea uchaguzi ni kama kamali. Hivyo hakuna mtu hata mmoja atakubali kutumia pesa zake za mfukoni au kutoka katika biashara zake akitegemea kuwa , kushinda au kushindwa vibaya kupo ktk uchaguzi. watu washawaahidi waarabu kuwauzia ardhi na watafanya juu chini kutumia nafasi ya kushinda ubunge na uraisi ili kutekeleza azma zao.
sisi tunataka katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu na azabu ya kifo kwa wahujumu uchumi nchi au wasaliti.
21.kimeweka misukule hapa jamii forum kineutralize mapungufu yao,kama unabisha subiri utaisikia sasa hivi
TUNTEMEKE
25th November 2012 23:47
#38 Report Post
TUNTEMEKE's Avatar
JF Senior Expert Member
Re: DKT. SLAA ziarani ukaguzi uhai na ujenzi wa chama Dar Es Salaam
UZURI WA KIKAO CHA LEO PALE MWEMBE YANGA NILIKUWEPO TENA MEZA KUU
BABU ANAFANYA ZIARA YA KUTENGENEZA MTANDAO WA KE WA KICHAMA
BABU ANATENGENEZA UONGOZI WAKE(CHAIN OF COMMAND YAKE)
ANAPANDIKIZA UONGOZI USIO TAKIWA NDANI YA CHAMA,MGOGORO UNAOFUKUTA TEMEKE NADHANI IPO SIKU BABU ATARUDI KWA MCHUMBA WAKE AKIWA HOI
LEO WAZIWAZI ANAMLAZIMISHA MZEE URIO(HUYU NI MZEE ALIYEJENGA JENGO LA OFISI ZA CHAMA PALE TEMEKE-MWEMBE YANGA) ANAMLAZIMISHA AONDOKE KWENYE CHAMA KISA AMESHAZEEKA
SWALI::AR SLAA WEWE SI UPO KWENYE KOMA???VERY SAD NIMEONA LEO ALIVYOKONGOROKA AFYA YAKE,SIJAJUA MCHEZO GANI JOSEPHINE ANAUFANYA KWA BABU.
ZIARA YAKE HIYO TUTASIKIA MENGI HASA IKIFIKIA KULE MAENEO YA KAWE KWNEYE JIMBO LA HALIMA MDEE AMBAYE YUPO KWENYE UGOMVI MKALI SANA BAADA YA BABU KUNYIMWA PENZI NA HALIMA
BABU AMEUNDA ZENGWE AKISAIDIANA NA JANET YULE DIWANI WA KAWE ILI WAPANDIKIZE MAJUNGU NA FITINA KWA HALIMA ASIKUBALIKE NDANI YA CHAMA
I MEAN ANACHOKIFANYA BABU NI KUBOMOA CHADEMA NA KUJENGA CHADEMA YAKE BINAFSI
HALI HIYO YA HALIMA MDEE KUHALIBIWA JIMBONI KWAKE ILIJIDHIHIRISHA PALE BI.JOSEPHINE ALIPOWAANDAMANISHA WANAWAKE HADI MAKAO MAKUU YA KATIBU MKUU KWA MADAI KWAMBA HAWAMTAKI HALIMA MDEE(Nadhani Dr.slaa analo jibu,Tumain makene unalifahamu hatakama utakataa hapa)
SWALI HALIMA MDEE NA UJASIRI WAKE WOTE ULE WA KUKITETEA CHAMA LEO DR.SLAA ANAMUUNDIA ZENGWE AFUKUZWE????? ETI MWAKA 2015 BI.JOSEPHINE AGOMBEE KAWE.

#38
Report Post

ANAPANDIKIZA UONGOZI USIO TAKIWA NDANI YA CHAMA,MGOGORO
UNAOFUKUTA TEMEKE NADHANI IPO SIKU BABU ATARUDI KWA MCHUMBA WAKE AKIWA
HOI
LEO WAZIWAZI ANAMLAZIMISHA MZEE URIO(HUYU NI MZEE
ALIYEJENGA JENGO LA OFISI ZA CHAMA PALE TEMEKE-MWEMBE YANGA)
ANAMLAZIMISHA AONDOKE KWENYE CHAMA KISA AMESHAZEEKA
SWALI::AR SLAA WEWE SI UPO KWENYE KOMA???VERY SAD NIMEONA LEO
ALIVYOKONGOROKA AFYA YAKE,SIJAJUA MCHEZO GANI JOSEPHINE ANAUFANYA KWA
BABU.
ZIARA YAKE HIYO TUTASIKIA MENGI HASA IKIFIKIA KULE MAENEO
YA KAWE KWNEYE JIMBO LA HALIMA MDEE AMBAYE YUPO KWENYE UGOMVI MKALI
SANA BAADA YA BABU KUNYIMWA PENZI NA HALIMA
BABU AMEUNDA ZENGWE AKISAIDIANA NA JANET YULE DIWANI WA KAWE ILI
WAPANDIKIZE MAJUNGU NA FITINA KWA HALIMA ASIKUBALIKE NDANI YA CHAMA
I MEAN ANACHOKIFANYA BABU NI KUBOMOA CHADEMA NA KUJENGA CHADEMA
YAKE BINAFSI
HALI HIYO YA HALIMA MDEE KUHALIBIWA JIMBONI KWAKE ILIJIDHIHIRISHA PALE
BI.JOSEPHINE ALIPOWAANDAMANISHA WANAWAKE HADI MAKAO MAKUU YA KATIBU MKUU
KWA MADAI KWAMBA HAWAMTAKI HALIMA MDEE(Nadhani Dr.slaa analo
jibu,Tumain makene unalifahamu hatakama utakataa hapa)
SWALI HALIMA MDEE NA UJASIRI WAKE WOTE ULE WA KUKITETEA CHAMA LEO
DR.SLAA ANAMUUNDIA ZENGWE AFUKUZWE????? ETI MWAKA 2015 BI.JOSEPHINE
AGOMBEE KAWE.
Aliyekuwa diwani wa Chadema, Rehema Mohammed ambaye amehamia CCM, akibubujikwa machozi jukwaani wakati akitangaza kuhamia CCM wakati wa mkutano huo.
CCM wanaweza kumuhurumia wakampa kitengo cha kuwahudumia waheshimiwa katika mikutano. Ana njaa sana. Tena mwanamke huyu hajui hatima yake huko ndio maana analia kama mbwa anayejipeleka kwenye mdomo wa chatu.Aliyekuwa diwani wa Chadema, Rehema Mohammed ambaye amehamia CCM, akibubujikwa machozi jukwaani wakati akitangaza kuhamia CCM wakati wa mkutano huo.
Kweli ni heri giza la nje kuliko mwanga wa gerezani