Watanzania chagueni Lissu au Membe kuwaongoza 2020-2025 kwa maslahi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Nilitaka kusema naamin harakati za Don ila baada yakupitia nyuzi zake mbili tatu naona kuna kitu hakipo sawa.
Anaonekana mtu poa mwenye jitihada ila aende taratbu kichwa inapata moto
 
ACT waungane na CDM visiwani na Kusini waachiwe ACT bara yote waachiwe CDM hili kupata ushindi ndio njia sahihi ya kumuondosha mdudu huyu aletae umasikini.
Kama unaamini umaskini ulionao umeletwa na chama una fikra nyembamba. Hao matajiri waliopo wamefanikiwaje?
 
nimegundua huyu jamaa yuko vizuri sana upstairs, basi tu
 
WATANZANIA CHAGUENI LISU au MEMBE KUWAONGOZA 2020-2025 KWA MASLAHI YA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

MAGUFULI yeye ana Serikali binafsi isiyo ya WATANZANIA (SERIKALI YA MAGUFULI), hatuwezi kuongozwa na Serikali ya Mtu binafsi, tunataka
MUMAFI iunde SERIKALI YA WATANZANIA nasio Serikali ya Mtu binafsi. Don Nalimison nawasilisha.

View attachment 1527712View attachment 1527713
Mami Nalimison
Nakuunga mkono 100%
 
Tukirudia kosa Tena tumekwiishaa, awamu ya pili atavurunda zaidi kwani haitaji Tena kura zetu
 
WATANZANIA CHAGUENI LISU au MEMBE KUWAONGOZA 2020-2025 KWA MASLAHI YA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

MAGUFULI yeye ana Serikali binafsi isiyo ya WATANZANIA (SERIKALI YA MAGUFULI), hatuwezi kuongozwa na Serikali ya Mtu binafsi, tunataka
MUMAFI iunde SERIKALI YA WATANZANIA nasio Serikali ya Mtu binafsi. Don Nalimison nawasilisha.

View attachment 1527712View attachment 1527713
Nakumbuka zile post zako za kipumbavu fb zilizopelekea ukala mvua. Nashangaa hakimu aliyekuhumu kama yupo sawa. Maana huwezi kumfunga mtu ambae ni insane.
 
Sera zako wewe mwenyewe ndio mbovu, hakuna tatizo la Sera. JPM ni jembe chapakazi ametekeleza na tunampa tena nafasi.
akishughulikiwa tajiri anayeumia ni masikini kwa kukosa ajira,alipoingilia zao la korosho wakulima ndo wameathirika,alipomshughulikia Manji zao la mbaazi likakosa soko,alipofunga burea de change ajira zimekosekana,wenye malori yao walipoyahamishia zambia,congo na nchi jirani madereva gereji zimekosa kazi.Wenzetu huwa awaokoti yeyeto tu na kumpa leseni ya udereva ili asiuwe uchumi.
 
Huu ni Ukweli mtupu.

Jana Kamwelwe alikuwa Bunda, Mbarawa alikuwa Lindi.

Siyo KAMPENI?

Mbarawa alitia Nia URAIS wa Zanzibar, kwa nini ameruhusiwa kuingia Ofisini na kufanya ziara za KIKAZI na kupata POSHO?

Kamwelwe hatetei kiti chake?

Wote wanaoingia kwenye kinyang'anyilo cha URAIS au Ubunge WAACHIE NYADHIFA ZAO.
 
WATANZANIA CHAGUENI LISU au MEMBE KUWAONGOZA 2020-2025 KWA MASLAHI YA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

MAGUFULI yeye ana Serikali binafsi isiyo ya WATANZANIA (SERIKALI YA MAGUFULI), hatuwezi kuongozwa na Serikali ya Mtu binafsi, tunataka
MUMAFI iunde SERIKALI YA WATANZANIA nasio Serikali ya Mtu binafsi. Don Nalimison nawasilisha.

View attachment 1527712View attachment 1527713
Magu hafai.
 
kula kulala ujui chochote kuhus = uchumi
Wewe unajua zaidi. Naapa kamwe Raisi wa kuongoza nchi hii hatatoka upinzani. Haita simama bendera ya chama kingine kamwe. Jikiteni kujenga chama kiwe imara na madhubuti bado hatujawaamini kiasi cha kuwapa dhamana kubwa kiasi hicho.
 
zambia,malawi,kenya nk nao walisema hivo hivo kimazoea.huki sio kizazi cha zidumu fikra za mwalimu
 
Wewe unajua zaidi. Naapa kamwe Raisi wa kuongoza nchi hii hatatoka upinzani. Haita simama bendera ya chama kingine kamwe. Jikiteni kujenga chama kiwe imara na madhubuti bado hatujawaamini kiasi cha kuwapa dhamana kubwa kiasi hicho.
nchi sio chama bali ni katiba yeyeto anayo equal chance ya kuaminiwa na hakuna chama chenye hatimliki na nchi hayo ni mawazo mgando,watz wa leo sio wa jana
 
Back
Top Bottom