Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,048
- 144,454
Juzi baada ya Raisi Magufuli kuzuia wamachinga wasibughudhiwe, nilipost uzi hapa mtandaoni nikihusishe agizo hilo la raisi na uchaguzi mdogo wa madiwani utakaofanyika January mwakani na ambao kampeni zake zitaanza tarehe 22 mwezi huu mpaka tarehe 21 January kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi la hivi karibuni.
Katika uzi huo nilisema wazi kabisa hata ajira zinaweza kutangazwa na watumishi kuahidiwa kulipwa madai yao na leo hii tunasikia ajira 70,000 kutolewa. Hivyo basi ni wajibu wa kila mmoja wetu kujiongeza.
uzi wenyewe huu hapa:
Wapinzani mna kazi kubwa ya kuwaelimisha watanzania
Akili ya kuambiwa changanya na yako.