Watanzania,CCM na serikali yake tuichukulie kwa tahadhari

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,994
144,329
Juzi baada ya Raisi Magufuli kuzuia wamachinga wasibughudhiwe, nilipost uzi hapa mtandaoni nikihusishe agizo hilo la raisi na uchaguzi mdogo wa madiwani utakaofanyika January mwakani na ambao kampeni zake zitaanza tarehe 22 mwezi huu mpaka tarehe 21 January kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi la hivi karibuni.

Katika uzi huo nilisema wazi kabisa hata ajira zinaweza kutangazwa na watumishi kuahidiwa kulipwa madai yao na leo hii tunasikia ajira 70,000 kutolewa. Hivyo basi ni wajibu wa kila mmoja wetu kujiongeza.

uzi wenyewe huu hapa:

Wapinzani mna kazi kubwa ya kuwaelimisha watanzania

Akili ya kuambiwa changanya na yako.
 
Yani inaelekea kila jambo hii serikali kwa sasa inafanya kwa mkakati.
Inashangaza hizo ajira 70,000 zimeibuka vipi.
 
Ndio maana nilisema wapinzani wana kazi kubwa ya kuelimisha raia vinginevyo kila siku tutakuwa watu wa kulalamika.

Sidhani kama CCM watakuwa tayari kupata aibu ya kushindwa katika kata zote hizo hivyo lazima tu wajipange watakavyoweza ili kushinda viti hivyo vya udiwani.
 
Huyu bwana anafanya siasa kwa mwamvuli wa taasisi ya u raisi huku akiwanyima wanasiasa kufanya shughuli za ki siasa. We fuatilia anachokifanya yy pamoja na baadhi ya watendaji wake ktk majiji makubwa Kama Dsm Arusha na Mwnz ndo utaielewa movie abayotuchezea wtz.. Upinzani wana kazi ngumu kweli kuwaelimixha wananchi asee...
 
Wameshajua issue ya ajira ndio ingetawala katika kampeni za udiwani hivyo wametangaza nafasi hizo 70,000 kama mkatati wa kukabiliana na hoja za wapinzani majukwaani kampeni zitakapoanza.
 
Anajitekenya na kucheka mwenyewe!!!
Hajatekenywa bado!!!!!
Wananchi wanaichukia ccm kuliki unavyodhania, imesababisha maisha kuwa magumu kupindukia, hawaambiwi bali wameishi kushuhudia wao wenyewe.
Subirini kipyenga kipulizwe ndio mtaitambua hasira ya wenye nchi.
Huyu bwana anafanya siasa kwa mwamvuli wa taasisi ya u raisi huku akiwanyima wanasiasa kufanya shughuli za ki siasa. We fuatilia anachokifanya yy pamoja na baadhi ya watendaji wake ktk majiji makubwa Kama Dsm Arusha na Mwnz ndo utaielewa movie abayotuchezea wtz.. Upinzani wana kazi ngumu kweli kuwaelimixha wananchi asee...
 
Wameshajua issue ya ajira ndio ingetawala katika kampeni za udiwani hivyo wametangaza nafasi hizo 70,000 kama mkatati wa kukabiliana na hoja za wapinzani majukwaani kampeni zitakapoanza.
Security ya ajira haipo kabisaaaa
Hata wakitangaza ajira kwa watanzania wote haitaeleweka.
 
Back
Top Bottom