Watanzania bwana.........Wee acha Tu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania bwana.........Wee acha Tu!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Katikomile, Jun 1, 2010.

 1. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2010
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Dear all Tanzanians,
  I, as a Tanzanian am proud to have achieved another milestone...The Tanzanian Shilling is now equal to more than 1,450 to 1 USD$!!!! Congratulations to all of us Tanzanians for:
  1) Using Chinese toilet paper rather than Rexa or Tanpack...
  2) Buying ice cream made in South Africa rather than Azam
  3) Using Omo rather than Foma
  4) Eating Heinz baked beans rather than Dabaga or Red gold
  5) For using Shop-rite as your favourite shopping destination since "expired" South African goods are better than fresh Tanzanian products
  6) For using Blue band margarine and Anchor butter/cheese on your bread rather than ASAS or Serengeti
  7) For using Colgate and Close up as they make your teeth brighter rather than White dent
  8) For drinking Heineken and Red Bull rather than a good old Kili....itÂ’s a matter of image in it!
  9) For drinking St. Anne, Namaqua and Overmeer rather than Dodoma wine
  10) For using Farmer's choice sausages rather than Beef Vienna from Arusha
  11) For using Kangaroo matches from china rather than KIBO match..... And the list goes on....
  Come on guys wake up....Its time for a change...... BE TANZANIAN BUY TANZANIAN.... And a request to the expatriate community...especially South Africans...please change your mind set and help Tanzania grow...
  Pass it on to all your true Tanzanians.....
   
 2. K

  Kabengwe JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2010
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 242
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Serikali ndio inatakiwa iwe ya kwanza kununua bidhaa za ndani waanze na furniture tu
   
 3. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Hi imeshakuwa "posted" mara mia moja humu ndani ya JF!

  Hivi hizi product ulizotaja hapo RAW MATERIAL yake inatoka Tanzania 100%?

  Whitedent?
  Foma?
  Blue Band (Unilever )?
  Kilimanjaro?

  Inawezekana hao ndio wanaangusha thamani ya Shilingi kuliko unavyodhani!
   
 4. masharubu

  masharubu Senior Member

  #4
  Jun 2, 2010
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Inawezekanaje waziri mmoja awe wa fedha pia wa uchumi atashauriwa na nani ukitilia maanani wasaidizi wa viongozi wetu wa awamu ya nne na wao ndi viongozi wa mawizara na idara, sasa hivi zimbabwe tutaifikia, ka rwanda kamepigana vita tumeamulia wao wapo juu sie bado shimoni
   
 5. masharubu

  masharubu Senior Member

  #5
  Jun 2, 2010
  Joined: May 5, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mtu mmoja asimamie fedha (Mapato na Matumizi) pia asimamie Uchumi
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Jamani msilaumu tu uongozi. hata watanzania wenyewe tuna kasumba ya kuamini products za nje hata kama sio bora kama za kwetu.
   
 7. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Nataka kununua laptop made in Tanzania. pia na sindano ya kushonea
  show me the duka nikanunue
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Jun 2, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Kweli tuna kasumba ya kununua bidhaa za nje kuliko za ndani. hii inatokana na kutokuwa na matangazo ya bidhaa zetu, hii inapelekea watu kutojua ubora wa bidhaa zinazozalishwa hapa nchini.
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Jun 2, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  We kweli msanii!!
   
 10. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  natamani kuongea kwa vitendo mkuu.
  kuna vitu haviwi promoted na sisi wenyewe ndo maana hatujui kama vipo.

  Hivi mnajua wanasayani wa marekani wamegundua how to create uhai? DNA za viwandani zitatoka sooon.
  sisi hata sindano hatutengenezi.
  wazimu mtupu
   
 11. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #11
  Jun 2, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  mimi nafikiri, uwanja ulitarajia watu wajadili tufanye nini tutoke hapo kwenye imbalance of trade. tunauza kidogo sana tunaIport zaidi ya 80% ya mahitaji yetu.
  ili uchumi wetu uimarike lazima kama taifa tuboreshe na kufufua sekta ya viwanda ili uzalishaji ukue. kama uzalishaji utakua wa Kiwango cha chini hivi sahau kuhusu mabadiliko na msisimko wa haraka wa uchumi wetu.
  viwanda ambavyo vitatumia raslimali za ndani, tupunguze kuuza Raw materilal kwend a kwenye masoko yao, tufungue viwanda vya kueleweka vya kukata madini yetu, usindikaji wa samaki ufanyike humuhumu badala ya kuuza mamia ya minofu kwenda EU na Asia. tupiga Tarrif kubwa kwa imported products ambazo viwanda vya ndani vinaweza kuzalisha. hii itasaidia kutuvusha salama Kiuchumi.
   
 12. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #12
  Jun 2, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,784
  Likes Received: 1,970
  Trophy Points: 280
  yale yale tu mjomba, bongolala hii
   
 13. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #13
  Jun 2, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  nani aanzishe hivyo viwanda ? tuupanue uwanja wa mjadala, ni kweli hatuundi hata midoli ya watoto sembuse sindano, lakini tutoe mapendekezo ninikama taifa tunahitaji ili kuweza kusonga mbele.
  mazingira yapi kama taifa tukuyajenga tutaweza kufungua milango ya uwekezaji wa ndani wenye tija.
  Mbona Chibuku inatengenezwa kwa bidhaa za ndani tangu miaka ya 80 , na badi inanywewa, tunaweza.
   
 14. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Kikwete katika majadiliano pale kwenye world Economic Forum alikumbuka somo alilofundishwa akiwa UDSM na marehemu mmoja wa waalimu wake kuwa " WE CONSUME WHAT WE DO NOT PRODUCE AND WE PRODUCE WHAT WE DO NOT CONSUME" Sasa kama anajua hii anomaly kwenye uchumi wetu,for heaven's sake why does't he rectify it so that the Tanzanian economy becomes self-sustaining. It is high time the guy walked the talk; there is too much bluh bluh and no action out there!
   
Loading...