Au kuna ule msemo “mwisho wa mwaka wanachukua kafara zao”Utaskia kazi ya mungu haina makosa.
Haya bhana, wewe wasemaWabishi Hadi wafe...ndo wengine wanaelewa
Kisheria hiyo barabara ilitakiwa ifungwe kwa muda, hadi maji yatapopungua au kuisha kabisa hapo juu ya daraja.Maji ni hatari sana..tuache kushupaza shingo
Ubishi usio na akiliWabongo bado ni wabishi, hawasikii. Eneo lishaonesha kuwa na madhara. Wao wanapita tu, hivi hapo gari ikisombwa na maji watailamu serikali.
Siku zote nasemaga madereva wengi sahvi ni viherehere tu. Usalama wowote unaanzia kwake.
Ova
View attachment 2836433
Mshana Jr
FRANCIS DA DON
Extrovert
MamaSamia2025
😁😁Au kuna ule msemo “mwisho wa mwaka wanachukua kafara zao”
Mkuu kangesa,Hi dunia ase,mtu unakuwa na akili ya kuweka akiba ya kununua gari ya zaidi ya sh.mil.200 lakini unakosa akili ndogo ya kuchukua tahadhari kama hyo?
Kuhusu bajaji na bodaboda najua ni njaa tu,kwahyo ni haki yao kufanya hayo