Hujui unayemtetea kama ungejua ni nani ... Ungeanza maandamano leoNyie wakenya tunawasubiri.
Tukana sana hapa lkn tarehe 9 usithubutu kutoka nje .
Utakiona
As long as tuna huu utawala tutachoma bandariWale wanaodai wanataka kukomboa nchi tarehe 9 hatutosubiri askari . Tumejipanga kweli kweli.
Safari hii mtaita babaaa.
Sasa njooni nyie wakenya muone akhera kukoje.
Ok.As long as tuna huu utawala tutachoma bandari
Ustadh mzima unashabikia mauaji? Sheikh Sharif Majini aliuwawa na hao hao unaowatetea humu? Sijaona popote ukidai haki yake Sheikh yule.Wale wanaodai wanataka kukomboa nchi tarehe 9 hatutosubiri askari . Tumejipanga kweli kweli.
Safari hii mtaita babaaa.
Sasa njooni nyie wakenya muone akhera kukoje.
Unamtisha nani wewe? Badala uhubiri amani na upatanisho unatishia watu, kisa umejificha na ID feki? Taja hapa real ID yako kama we kweli mwanaume. Acha kuhubiri mauaji maana utashangaa wewe mwenye kiherehere ndio utadunguliwa na hao hao unaowateteaOk.
Njoo uchome bandari inayo tuletea mafuta, Pembejeo, mbolea na madawa kisha uone kitakacho kukuta.
Km wewe kweli hupendi huu utawala kwanini usiende IKULU pamoja na hilo kundi lako la wezi?
Jeuri hio huna. Wala moyo huo huna.
Mnakimbilia kwenye miundo mbinu inayo tufaa sisi maskini sababu ipo karibu na kila raia.
Safari hii SISI WAZALENDO WENYE WE tumejipanga.
Njooni muone sarakasi
Vipi hao mafisadi ni marafiki au maadui?Natetea taifa langu kusambaratishwa na maadui.
Hilo sio swali unaweza kumuuliza mzalendo hata siku moja.Vipi hao mafisadi ni marafiki au maadui?
Vitisho ni kauli zinazotumika kutia hofu . Mimi sitishi mtu bali naeleza HALI HALISI.Unamtisha nani wewe? Badala uhubiri amani na upatanisho unatishia watu, kisa umejificha na ID feki? Taja hapa real ID yako kama we kweli mwanaume. Acha kuhubiri mauaji maana utashangaa wewe mwenye kiherehere ndio utadunguliwa na hao hao unaowatetea
Kabisa. Tena sana tu.Kwa wanaoharibu miundombinu ni sahihi kabisa kufumua ubongo.....
Ok.
Njoo uchome bandari inayo tuletea mafuta, Pembejeo, mbolea na madawa kisha uone kitakacho kukuta.
Km wewe kweli hupendi huu utawala kwanini usiende IKULU pamoja na hilo kundi lako la wezi?
Jeuri hio huna. Wala moyo huo huna.
Mnakimbilia kwenye miundo mbinu inayo tufaa sisi maskini sababu ipo karibu na kila raia.
Safari hii SISI WAZALENDO WENYE WE tumejipanga.
Njooni muone sarakasi
Wapi nimeshabikia watu kupoteza uhai wao.? Acha unafiki wa kubandika waungwana sifa wasizo kuwanazo.Ustadh mzima unashabikia mauaji? Sheikh Sharif Majini aliuwawa na hao hao unaowatetea humu? Sijaona popote ukidai haki yake Sheikh yule.