TURUFUDUME
Member
- Dec 14, 2014
- 70
- 39
Ama kweli watanzania alieturoga sasa ni marehemu na alituroga kwa mzizi mkavu, baada ya watanzania kulalamika sana kupanda kwa dola dhidi ya shilingi yao, serekali sikivu ya ccm ikajuwa km afae kwa shira huna haja ya kumpa sumu, ndipo walipo amuwa kuja porojo la msururu wa watngazania mpaka wanafunzi wa sekondari wanautaka urais hivo chama kimewaruhusu kutangaza nia, jambo lililopelekea watanzania wote kusahau kuhusu kuporomoka kwa shilingi yao dhidi ya dola ya Obama, hata thredi zilizokuwa zinalalamikia kuhusu dola hapa jf pia zimeptea zimebaki za ndege ya member kugongana na ndege ya abiria, mara Carina ya makongoro imepata ajali, mara wasira kasema hivi mara muhongo anataka kupeleka kila nyumba bomba la gesi na maji .ili mradi disko limengia mmasai. KWELI KUIONGOZA TANZANIA NI KAZI RAHISI KULIKO KULA ICKREM YA AZAM.