ikiwezekana sheria ichukue mkono wake nitafurahi sana, mungu jalia hilo . kwanini wanataka kuiangamiza dunia? unajua ninachukia sana inatakiwa wote tuwe na sheria kama za china ukikamatwa ni byebye nahisi kusingekuwa na uchafu huu tanzania , ila kwakuwa sheria zetu ndiyo hivyooo na rushwa kibao hali itakuwa mbaya sana , na wengine tutaponza na kufungiwa hata kusafiri. tunaweza kuwa magaidi wa mihadarati, mwisho watu hata wakisafiri itakuwa issue airport. siku siyo nyingi walikamatwa zimbabwe