Watanyoooka tu

Watanyoooka tu

Kwa sasa ndo naamini kuwa picha za mitandaoni sio kabisa hata kwenye tv napo wanadanganya,ukweli haikuwa hivi na nilikuwepo eneo hilo kumsikiliza Magufulu.Huu utaalam wa kuongeza watu katika eneo sijui inafanyika vip ningependa nijifunze pia.

ungesimama kwajuu,na wewe ungeona kama hiyo camera ilivyonasa.....
hata hivyo usife moyo sana,hata kama lowasa atashindwa sio mwisho wa dunia
 
attachment.php

Hebu nipe hint moja ya editing hapo.

Iangalie vizuri hii picha,halafu uje tena.
 
Hii si Mbarali-Rujewa ya pale uwanja wa barafu alipofanyia mkutano.NIMEKATAA KABISA

Ukitaka kujua angalia taswira ya Mkutano,mihemuko ya watu,iddleness ya washangiliaji,na pia rangi.Watu wana nguo zile zile,halafu haiwezekani watu wakawa na wingi sawa mikoa yote jamani,lazima kuna utafauti wa upokeaji mgombea.

Mfano Samia alienda Hai,alikutana na viongozi tu mpaka kushurutisha wanafunzi watoke madarasani,alipokuja Mwenyekiti wa Mkoa akakasirika sana na kuwarudisha wanafunzi wale madasani,jioni ikaonyeshwa NYOMI siyo ya kawaida najiuliza wanamdanganya nani???Na kwanini???
 
Kwa sasa ndo naamini kuwa picha za mitandaoni sio kabisa hata kwenye tv napo wanadanganya,ukweli haikuwa hivi na nilikuwepo eneo hilo kumsikiliza Magufulu.Huu utaalam wa kuongeza watu katika eneo sijui inafanyika vip ningependa nijifunze pia.

kwahiyo hao watu wameongezwa kwa utaalamu au?
 
Hata mie mwenye elimu ya KATA naona hapo kuna editing ya kutosha kabisa.Pole mwaka huu naona simu zote hampokei,basi SMS inakuja,mmetupa number subirini tutawapigia soon

Mbumbumbu lofa pumbavu
 
kwahiyo hao watu wameongezwa kwa utaalamu au?

Sio kuongezwa,bali picha siyo ya Mbarali,labda kama ni Mafinga kwasababu mandhari sio ya Mbarali ile labda mtoa taarifa kajichanganya kaweka ya Mafinga maana alifanya mkutano jana pia.
 
Sio kuongezwa,bali picha siyo ya Mbarali,labda kama ni Mafinga kwasababu mandhari sio ya Mbarali ile labda mtoa taarifa kajichanganya kaweka ya Mafinga maana alifanya mkutano jana pia.
labda amejichanganya kutoa taarifa. kingine siku hazifanani
 
Sio kuongezwa,bali picha siyo ya Mbarali,labda kama ni Mafinga kwasababu mandhari sio ya Mbarali ile labda mtoa taarifa kajichanganya kaweka ya Mafinga maana alifanya mkutano jana pia.

Afadhali wewe uliesema hio picha ni ya sehemu ingine sio huko mbarali...hao wanajidai wataalam wa picha na kusema editing, hamna hata mmoja alieweza kutoa hints au kielelezo chochote cha editing au photoshop
 
blah blah blah....toa hints za editing hapo ziko wapi???

Nimekwambia hivi rudi uangalie,kwanza hilo eneo tunaolijua siyo RUJEWA..upo???Pole hata geographical area ya mahali nayo unauliza jamani???

Wenyeji tupo wa eneo husika ndiyo maana tunasema.
 
Back
Top Bottom