maphie
Senior Member
- Jul 28, 2011
- 174
- 47
Eti wamasi watu walipata scholarship ya kwenda kusoma Nethaland. Wakiwa kwenye degewawili kati yao walianza kucheza mpira. Yule wa tatu akawambia eneo humu ndani halitoshi ngoja niwarishie nje.
Baada ya muda rubani akaona yupo mmoja tu na kumuuiza wenzako wako wapi? Mmasai akajibu: Wako huko nje wanacheza!:yell::yell:
Baada ya muda rubani akaona yupo mmoja tu na kumuuiza wenzako wako wapi? Mmasai akajibu: Wako huko nje wanacheza!:yell::yell: