Watani zangu wachaga, Je! hii ni kweli?

Nadiriki kusema hilo suala ni la kweli.
attachment.php



...SALAAAM......
Wakuu kuna rafiki yangu nafanya nae kazi hapa ofisini...mkewe kajifungua mtoto wa kiume
Sasa anasema kwa mila za kwao ni mkosi kwenda kumuangalia mtoto
bila ya hela, eti kwa kuwa utamtia mtoto mikosi
anasema at least hata elfu tano tu umshikishe mtoto mkononi.....
JE WATANI ZANGU WACHAGA NI KWELI HIII MILA IPO...AU FIX TU....???
 

Attachments

  • Mchaga.jpg
    Mchaga.jpg
    32.3 KB · Views: 425
ukitaka kujua nyumba ya mchaga hapa mjini lazima inakuwa na hilo jani pita mitaa ya kinondoni au kimara mbezi lazima utaliona mkuu(note.Lina siri kubwa sana mkuu)

hata kwetu lipo mkuu
 
huyo alitaka mchango wa kulea mzazi,ndo kaamua kukusany indirectly..hahah
 
Back
Top Bottom