Watani zangu wachaga, Je! hii ni kweli?

Ahaha mila nzuri sana, unamfundisha mtoto hela tangu utotoni hapo. Kuna baadhi ya jamii hela ndo heshima ndugu yangu.
 
...SALAAAM......
Wakuu kuna rafiki yangu nafanya nae kazi hapa ofisini...mkewe kajifungua mtoto wa kiume
Sasa anasema kwa mila za kwao ni mkosi kwenda kumuangalia mtoto
bila ya hela, eti kwa kuwa utamtia mtoto mikosi
anasema at least hata elfu tano tu umshikishe mtoto mkononi.....
JE WATANI ZANGU WACHAGA NI KWELI HIII MILA IPO...AU FIX TU....???
Ajaribu kumdondoshea sakafuni sh mia moja' na aone kama atalia au atacheka!
 
Ni kweli utaendaje kumuona mtoto mikono mitupu? Yesu mwenyewe alipelekewa zawadi mle zizini alimozaliwa sembuse binadamu wa kawaida.

Sio lazima hela , lakini ukipeleka hela ndo inakua poa.
 
...SALAAAM......
Wakuu kuna rafiki yangu nafanya nae kazi hapa ofisini...mkewe kajifungua mtoto wa kiume
Sasa anasema kwa mila za kwao ni mkosi kwenda kumuangalia mtoto
bila ya hela, eti kwa kuwa utamtia mtoto mikosi
anasema at least hata elfu tano tu umshikishe mtoto mkononi.....
JE WATANI ZANGU WACHAGA NI KWELI HIII MILA IPO...AU FIX TU....???

Hata wahaya ni hivyo. Mtoto bila hela huwezi kumbeba
 
...ki mila hili suala halipo, lakini limejengeka sana katika mazoea, na siyo kwa wachaga tu maana mimi nimeliona sehemu nyingi tofauti na uchagani.

Poa mkuu, nkaona niwatafute wenyewe kwasababu wengine wananjibu wanaweza kuwa hata sio wachagga
 
Wachaga mwisho wana wimbo wao maarufu kwenye maharusi sijui unaitwa aye aye wanashikana mikono kuzunguka wanaogopa kuibiana ha haa haaa
 
Kwa maana hiyo hawa matapeli na wezi wa kichagga ambao ni wengi mno wamekuwa na mikosi sababu hawajawahi kushikishwa pesa walipozaliwa au?
 
Back
Top Bottom