WATANI WANGU WAMAKONDE NA WAHEHE KARIBUNI TUMPIKE TUPATE KULA

Hivi nyoka, 'ngu....' na mbwa ni kipi kinaleta kichefuchefu zaidi...
Mimi nimetoa hisia zangu binafsi kuhusiana na kula nyama ya mbwa. Wewe unaleta malumbano, siyataki mie! Wanaokula mbwa waendelee, wala nyoka waendelee, wala kitimoto waendelee ila mie kwa mbwa aka babu!
 
Back
Top Bottom