Kaka Povu ni lile alilokuwa anatoa msemaji wenu kwa Press,halafu kihalisia kabisa huwezi kumlinganisha Worgu aliyekuwa kinara wa mafanikio ya Enyimba miaka ile imechukua ubingwa wa Africa mara 2 na Okwi wa mafanikio ya Simba ya kupigwa mwaka (12) kule Shandy,halafu nikukumbushe tu El-Mereikh waliingilia kati deal ya Worgu kwenda kuchezea team ya Ligi kuu ya Ufaransa kwa kupanda dau zaidi ndo maana deal ikafikia pale,pia ilichangiwa na mafanikio ya mchezaji katika ngazi ya Club (Enyimba) na team ya Taifa ya Nigeria.[/Q
kweli goli tano nyingi......bado zinawalevya tu!!??unaujua mpira vizuri kabisa naamini,so naamini pia kuwa unajua aggregate ilikua 3-3..na baada ya hapo penati zikamuondoa Mnyama mashindanoni,ila unajaribu kujifariji kwa kuunganisha penati za kutafuta mshindi na magoli ya regulation time ili tu ikupe amani ya moyo toka zile tano!!mkuu hutakuja lipa zile tano any time soon na zaidi Okwi atakupeni kichapo kingine kikali kagame hii,ndo muuane kabisa!....inawezekana kabisa kuuza kwa bei hiyo!