makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 28,271
- 81,310
Kispanyola j inatamkwa h.. Sasa kwa brazil sijui km kireno na kispain vinafanana........wabrazil wao herufi "J" humaanisha "H"..mfano yule mchezaji nafikiri alikuwa Manchester United..Jesus..wao wanatamka Hesus!
Tunapata wakina huan mata, hames Rodriguez etc