Watangazaji wetu kwanini hamjifunzi majina/maneno fulani yanatamkwaje?


RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Messages
35,329
Points
2,000
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2010
35,329 2,000
Unakuta mtangazaji Kwa kujiamini kabisa anatamka BALE(Kiswahili) badala ya beil. Au Lesesta(Leicester) badala ya kusema leista.

Leo nimemsikia mtangazaji gwiji wa michezo anatamka Brighton HoVE Kiswahili hove. Hii timu inaitwa Brighton & Hove(inatamkwa hov(u).

Hii timu ipo mji unaitwa Brighton and Hove City mji uliopatikana Kwa kuunganisha mji wa Brighton na Hove.
 
Mkwawe

Mkwawe

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2016
Messages
1,560
Points
2,000
Mkwawe

Mkwawe

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2016
1,560 2,000
Boss nimegundua watu wana uelewa mdogo sana. Kuna mpumbavu mwingine eti kafungua thread kujibu nilichoandika.
Duuh nisamehe mzee kwa kujaribu kutoa changamoto tu sikutegemea ungejazibika hivi na kunitusi

Samahani sana kama nimekuudhi kwa mimi kufungua uzi ule
 

Forum statistics

Threads 1,296,486
Members 498,655
Posts 31,249,948
Top