Kumezuka mtindo Wa watangazaji Wa redio vipindi vya Asubuhi, wanachekacheka bila sababu, hata hawaeleweki, point hawana, wanatangaza kitu hakichekeshi wao wanacheka tu....its boring....naomba watangazaji wajifunze kutafuta facts kabla ya kingia studio na topic zao za Siku na waache kujichekesha....vipindi vya redio asubuhu sikuizi ni pumba tupu, kelele mwanzo mwisho, Kwa baadhi ya redio stations lakini