Watangazaji waiponza Times FM

Times ni majanga, kuanzia Dida hadi kina misana. Mi mwenyewe kipindi cha pillow talk nasikia kukereka nikikisikiliza. Dida nae anatukana mchana kweupe. ana hasira sana na watu fulani yaelekea

Times hawana ubavu wa kumletea kibesi Dida, Kipindi chake ndo kinachosikilizwa na watu wengi zaidi na kina matangazo mengi ya biashara...nani hataki pesa?

Ila yule kapinda...
 
Hizi sheria za nchi yetu zinakengeza kweli kwa mamlaka gani TCRA ina-entertain kesi jamani, hata kama ime-act kama tribunal yawezekanaje mshitaki ndiye awe jaji tena, kuna ukiukwaji wa sheria na kanuni asilia(@Principle of Natural Justice) Hakuna uvunjaji wa the so-called Nemo Judex in @Causa sua. Hebu vijana wa Othman Chande njooni huku i.e sambai, mselewa Kilaza Rutashobolwa VUTA-NKUVUTE and the like
 
radio free africa,mthe sound of africa, kati ya radio zangu bora kabisa, angalia vipindi vyao.
si hao wengine saa12-4, PB, 4-7, leo tena, 7-10, xxl, 10-1 jahazi, 1-3 amplifer, kila siku hivyo hivyo tu bire kabisa.
 
Clouds Fm the people station number 7 the best radio in Africa
 
TCRA isiishie Radio kuna magazeti ya udaku yanaweka picha chafu tena front page waingie mtaani watayaona.

magazeti nadhan yapo chini ya idara ya habar au waziri husika,nani alilifungia Gazeti la KuHbenea la MwanaUlisi??Mwananchi?Mtanzania????
 
Times hawana ubavu wa kumletea kibesi Dida, Kipindi chake ndo kinachosikilizwa na watu wengi zaidi na kina matangazo mengi ya biashara...nani hataki pesa?

Ila yule kapinda...

dida ndo kila kitu anawashika mbaya wamama wa mjin
saa sita ngiiiiiii
kitu kimeanza DAR NZIMA
MI dida namkubali mwanamke kujiamini
 
radio free africa,mthe sound of africa, kati ya radio zangu bora kabisa, angalia vipindi vyao.
si hao wengine saa12-4, PB, 4-7, leo tena, 7-10, xxl, 10-1 jahazi, 1-3 amplifer, kila siku hivyo hivyo tu bire kabisa.

ha ha ha ha,clouds redio ya watoto,kuna umr ukifika hupasw kuskiliza,sio kwamba utalazimishwa hapana,naturally hutapenda kuiskiza maana si ya kada yako,redio ambayo kuna uwezekano asbui mpaka usiku usipate kitu cha kujifunza si redio hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…