Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 10,521
- 18,215
Inferiority complex inakutafuna, unawaonea gere watangazaji wa BBC kwa vile wao wanafanya blue collar jobs. Endelea kupiga box. Halafu hujielewi na psychologically Ile give up. Yaani mkeo akufananishe na Chimpanzee/ Gorilla bado unamchekea.? Halafu eti unatuandikia humu ujinga wako. Pumbaf kabisa wewe,mwanaume rijali wa kiukweli angechukua hatua hata ya divorce kama kupiga ni kosa la jinai. Yaani unadhalishwa unafurahi? Sijui unatoka sehemu gani ya Tanzania?. Ila siyo Mara, Mbeya wala Arusha. Wewe waweza kuwa unatoka Dodoma tuAngalia CNN International, BBC World na DW Internatinal, lakini sio idhaa hizi za kiswahili vya akina Zuhra Yunus, Mery Mgawe, Salim Kikeke na wengineo. Hayo yote ni majasusi tu hayo. Wewe unafikiri mzungu ana usamalia gani mwema wa kutuwekea sisi idha za kiswahili bure? Mzungu sio mjinga kiasi hicho. Kuta kuwa kuna kitu anakusudia.
Ebu jaribu mwenyewe kutumia akili yako. Wazungu mda wote kwenye mazungumzo yao ya ndani na ya nje katika familia na kadhali kila mara wanapendelea kusema maneno kama; waafrika ni masikini, Afrika kuna njaa na hatuwezi kujilisha sisi wenyewe, hatujui kusoma na kuandika, tuna magonjwa na ni wachafu, tunanuka na hatujui hiki wala kile. Haya sio maneno tu bali ni tabia ambayo wamezaliwa nayo. Wana amini hivyo kuwa sisi kweli ni masokwe na hatuwezi kitu aidha unataka au hutaki kusikia hayo!
Kwa hili naomba nikupe mfano; kuna siku mimi na mke wangu mzungu wakati tuko vijana bado, tulikaa sebuleni na mtoto wetu wa miaka matatu, kama ilivyo kawaida ya wazungu kuangalia vipindi vya wanyama kwenye TV au nyie wenyewe siku hizi mnaziita Runinga. Kuna scene moja kwenye hicho kipindi sokwe mkubwa yanatokea kweye screen. Mke wangu bila kufikiri akanyosha kidole kuelekea TV na kuniuliza mimi kwa sauti kubwa "Maneno unafanya nini kwenye TV?" Any way, sikuchukulia maanani sana kwa action hiyo. Niliona wife a anafanya utani na tukacheka kwa pamoja.
Baada ya mda tukio kama hilo lilitokea tena. Na mtoto wangu wa akawa wa kwanza kumwambia mama yake angalie kwenye Runinga na hapo hapo akamwuuliza mama yake, nina quote; "Mami mami guck mal im Fernsehen ... Was macht der Papa denn dar? Akimaanisha "Mama mama angalia kwenye Runinga... Baba ana fanya nini humo? Mimi na wife tulibaki kuangaliana tu. Lakini mesage was sent. Mtoto wangu ambaye hata mwenyewe hakuwa mweupe sana kama wazungu walivyo, aliniona mimi mtu mweusi ni sokwe.
Nilimwambia wife awe careful! Asifanye tena vitu kama hivyo. Kwa hiyo utaona vitu kama hivi hutokea mara kwa mara kwa wazungu. Sasa unafikiri mtoto anaye kua katika mazingira kama haya atawa-respect watu weusi kweli? Sidhani!
Naomba angalilia hii clip ya
Tukirudi kwenye mada, sasa kama sisi ni masikini na hatuwezi kusoma na kuandika inakuwaje tena wanatumia gharamia kubwa kuturushia sisi matangazo kwa lugha yetu bure? Wanafaidika na nini?
Nikuulize wewe mwenyewe kama unaweza kupoteza hela nyingi kumsomesha mtoto ambaye hawezi kusoma? Au unaweza ukampigia mbuzi Gita akakusikiliza? Ukiweza pata majibu ya maswali yangu hayo ndipo hapo utagundua mchezo wanao ucheza wazungu kwetu wa kutu manipulate sisi tusiwe na mawazo ya kuangalia au kusikiliza ya kwetu bali ni yao tu. Yakwetu wakiyarusha ni yale mabaya ya kutu discourage sisi. Lakini yote yanayo toka kwao ni mazuri.
Umesha msikia Zuhra Yunus au Salim Kikeke siku ameelezea mambo mabaya ya UK au ya Waziri wao kichaa Boris Johnson? Thubutu! Wajaribu kufanya hivyo kama hujawaona wakitoweka kwenye jukwaa la utangazaji.
Hata kwenye mitandao yao huko Ulaya, hasa hasa wajerumani, wakiwa wanazungumzia maswala yanayo husu waafrika utawaona watu wanaojiita ma-expertise wa Afrka kibao, ambao ni wenyewe, humwoni mwafrika hata mmoja. Unajua kwa nini? Kwa sababu wao wanataka kuwajaza watu wao uwongo wa Afrika, hawata ruhusu msemaji wa kiafrika ambaye ataeleza ukweli na kukosoa au kuweka bayana matendo yao ya unafiki.
BBC World kidogo wanajitahidi latika baadhi ya vipindi, japokuwa sio sana.
Hii miradi yetu ya SGR na Stieglers Gorge kwa mfano, sijawahi sikia kwenye TV za wajerumani wakatoa habari yeyote yakinifu jinsi miradi hiyo inavyoendelea. Nachokumbuka tu ni mwaka juzi kabla ya mradi wa Umeme kuanzishwa, wali debate kidogo kwenye Bunge lao na wakatoa kwenye TV zao kama News na baada ya hapo husikii kutoa chochote kutoka Tanzania, Isipo kuwa mambo ya Makonda na Mashoga, hiyo ilikuwa Story kubwa kwao.
Mambo ya utwala bora wa Rais Magufuli au kudhibiti Rushwa hiyo huwezi kabisaa kusikia wakizungumzia. Habari kamanhii ita divert perception yao ya kuwa Afrika ni rushwa tu. Bila rushwa hakuna kinaendelea.
Hawawezi wakasifu juhudi na jitihada za Rais Magufuli za kuleta maendeleo kwa wananchi wake. Hiyo sahau. Wanajaribu kuzuia kila kitu kizuri kinacho husu Afrika!
Sent using Jamii Forums mobile app