Watangazaji wa idhaa za Kiswahili wa BBC, VOF na DW shame in you!

"Shame in you" ujinga mnasomea wapi

Ni ajabu na kweli hasa unapomwona mkulu akihangaika kuweka majengo ya kiingereza hali ni wazi naye anajua hii lugha imempitia pembeni.

Ongeeni t
Jana Rais Magufuli Jembe letu la Tanazania kutoka Chato ameshuhudia historia kubwa ya kutia saini ya mkataba wa makubaliano kati ya Tanzania na Barrick Gold wa kuendesha kampuni ya pamoja ya kuchimba dhahabu nchini, TWIGA MINERALS COOPERATION.

Na juzi tarehe 23 mwezi huu Rais Magufuli amevunja recorde katika Afrika ya kuyafanya mashirika na Taasisi zote za Umma kwa mara ya kwanza kutoa gawiwo serikalini. Hiyo nayo kwenu sio historical sensation.

Lakini nyinyi kwa kuogopa kupoteza kazi zenu mmeamua habari hizo kuzikaushia kwasababu zitampa Rais Magufuli ambaye kwa wengine wenu ni Rais wa nchi mliyotoka umaarufu na hivyo kuondoa kusudio la mabeberu wenu la njama zake za kuendelea kuliangamiza bara la Afrika kwa Propaganda zake ambazo nyie vibaraka wao mnazitoa lila siku ya mungu. Nyie mko tayari kushirikiana na hao mabeberu kuona sisi Maniger tuna baki kuwa chini na wao juu. Kwa sababu wanawalipa pesa nyingi.

Ni aibu kubwa sana kwenu na kwa waswahili ambao tunawasikiliza kwa kushindwa kutoa habari kubwa ambayo inavuka mipaka. Kwa vitendo vyenu hivyo sijui kama watoto wenu na vijukuu vyenu vitakuwa na amani hapo baadae na pia kuwa proud of you?

Mungu awabariki sana maniger katika matendo yenu ya kuwasaliti maniger wenzenu. Kuwaona waafrka wenzenu wakinyanyasika huku kuendelea kuchochea moto wa vurugu. Hivyo nyie ni binadam kweli kama sisi?

Nawaomba mtambue kuwa ulimwengu ni mmoja na sisi sote tu pamoja na tuna vuta hewa hiyo hiyo ambayo nyie na vibaraka wenu huko Amerika na Ulaya mnaivuta.

Nyie watangazaji wa idhaa za kiswahili ndiyo wapiga Propaganda wakubwa tukija katika maswala ya kutetea haki za binadam na "Freedom of Speech". Sasa niwaulize; haki zipi za binadam na Freedom of speech gani mnazitetea wakati tukio kubwa la kihistoria ya haki ya binadam ulimwenguni jana lilitokea?

Udaku wa kutumbuliwa kwa Waziri wa Mambo ya ndani wa Tanzania Mh. Kange Lugola na kamishna wa jeshi la Zimamoto mlikuwa wa kwanza kuwahabarisha waswahili ulimwenguni, lakini tukio la kihistoria ulimwenguni mlijifanya kama haliko. Hamjui kwa vitendo vyenu vya kisaliti kama hivi mna iua credibility yenu ya kuwa ni idhaa ambazo zina toa genuine taarifa za habari?

Hata hivyo msikonde ndugu zetu sisi tunajua kuwa nyie ni vibaraka ambao mnatumiwa tu na hayo mataifa ya kibeberu kutuangamiza sisi maniger wa Afrika. Lakini hata hivyo mkae mkijua kuwa hayo mataifa ya kibeberu mnayo yasaidia kutuangamiza sisi wanyonge, siku zake za kuonyesha makucha yao kwetu sisi siku hadi siku zina tokomea.

Amerika sio world power any more na Europe ndiyo kabisaa! Mziki hivi sasa uko China. Na kama nyie hamtaki kuamini ukweli wa mambo basi nawaomba angalieni hii clip hapa chini.

Huko ndiko mambo makubwa yanatokea. Endeleeni tu kuwasaidia mabeberu wanu. Iko siku mtaumbuka vibaya! Kama sio nyie basi jueni watoto wenu au vijukuu vyenu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaonyesha ulikuwa unaota. BBC dira ya Dunia walitangaza habari hii. Au wewe ulitaka watangaze je?
 
Ni kweli brother P uliyoyasema sisi ngumbaro wa tasnia ya habari tunapaswa kukubaliana nawe. Maana sisi ni nani hadi tukubishie.
Lakini lazima tukubaliane kuwa vyombo hivi vimekuwa vikilishadidia jambo hili tangu lilipoanza na kwa kila hatua na hata yalipotoka Yale makubaliano ya last year Zitto aliyoyaita Changa la Macho BBC nakumbuka walishadidia Sana tena in a negative way. Sasa ili kuwatendea haki wadau wa vyombo baada ya Sakata kufikia hatua hiyohilo, walipaswa kutoa habari hiyo kuonyesha hitimisho lake maana ninmoja ya masuala ambayo kwa muda mrefu Newaroom zao hazikuchoka kuyafatilia.
Mnajiitaga mhimiri wa Nne "sijui wa nini maana kwenye Katiba hamumo" basi kama ni hivo mnawajibika kwa Umma, mnapaswa kuutendea haki Umma. Ukweli hawa Mabeberu Weusi hapa wameyumba!
Mkuu Kajekudya, kwanza nakubaliana na wewe, hivi vyombo vyote ulivyovitaja ni vyombo vya mabeberu, vinashadadia kuripoti only the negatives about Africa.

Darasani tulifundishwa tusiripoti kitu kinaitwa "morbid curiosity", kama kuonyesha dilapidated human bodies lakini kwenye Rwandan Genocide, CNN ilionyesha floating dilapidated bodies iliyodonolewa na samaki kwenye
Ziwa Victoria, minofu yetu ya Samaki ikapigwa marufuku soko la Ulaya.

Lakini wakati wa shambulio la 9/11, hakuna mwili wowote wa binadamu ulionyeshwa kwenye shambulio hilo zaidi ya black body bags!.

Hivyo their reportage on Africa is biased on negatives, niliwahi kuuliza hivi humu

P
 
BBC walitangaza mbona mnaongea bila kuwa na uhakika. Precisely sikiliza hapa kama siku huyo ijumaa haukuwa na wasaa:

Tusijitafutie visababu vya kuzalisha visivyokuwapo.
 
Jana Rais Magufuli Jembe letu la Tanazania kutoka Chato ameshuhudia historia kubwa ya kutia saini ya mkataba wa makubaliano kati ya Tanzania na Barrick Gold wa kuendesha kampuni ya pamoja ya kuchimba dhahabu nchini, TWIGA MINERALS COOPERATION.

Na juzi tarehe 23 mwezi huu Rais Magufuli amevunja recorde katika Afrika ya kuyafanya mashirika na Taasisi zote za Umma kwa mara ya kwanza kutoa gawiwo serikalini. Hiyo nayo kwenu sio historical sensation.

Lakini nyinyi kwa kuogopa kupoteza kazi zenu mmeamua habari hizo kuzikaushia kwasababu zitampa Rais Magufuli ambaye kwa wengine wenu ni Rais wa nchi mliyotoka umaarufu na hivyo kuondoa kusudio la mabeberu wenu la njama zake za kuendelea kuliangamiza bara la Afrika kwa Propaganda zake ambazo nyie vibaraka wao mnazitoa lila siku ya mungu. Nyie mko tayari kushirikiana na hao mabeberu kuona sisi Maniger tuna baki kuwa chini na wao juu. Kwa sababu wanawalipa pesa nyingi.

Ni aibu kubwa sana kwenu na kwa waswahili ambao tunawasikiliza kwa kushindwa kutoa habari kubwa ambayo inavuka mipaka. Kwa vitendo vyenu hivyo sijui kama watoto wenu na vijukuu vyenu vitakuwa na amani hapo baadae na pia kuwa proud of you?

Mungu awabariki sana maniger katika matendo yenu ya kuwasaliti maniger wenzenu. Kuwaona waafrka wenzenu wakinyanyasika huku kuendelea kuchochea moto wa vurugu. Hivyo nyie ni binadam kweli kama sisi?

Nawaomba mtambue kuwa ulimwengu ni mmoja na sisi sote tu pamoja na tuna vuta hewa hiyo hiyo ambayo nyie na vibaraka wenu huko Amerika na Ulaya mnaivuta.

Nyie watangazaji wa idhaa za kiswahili ndiyo wapiga Propaganda wakubwa tukija katika maswala ya kutetea haki za binadam na "Freedom of Speech". Sasa niwaulize; haki zipi za binadam na Freedom of speech gani mnazitetea wakati tukio kubwa la kihistoria ya haki ya binadam ulimwenguni jana lilitokea?

Udaku wa kutumbuliwa kwa Waziri wa Mambo ya ndani wa Tanzania Mh. Kange Lugola na kamishna wa jeshi la Zimamoto mlikuwa wa kwanza kuwahabarisha waswahili ulimwenguni, lakini tukio la kihistoria ulimwenguni mlijifanya kama haliko. Hamjui kwa vitendo vyenu vya kisaliti kama hivi mna iua credibility yenu ya kuwa ni idhaa ambazo zina toa genuine taarifa za habari?

Hata hivyo msikonde ndugu zetu sisi tunajua kuwa nyie ni vibaraka ambao mnatumiwa tu na hayo mataifa ya kibeberu kutuangamiza sisi maniger wa Afrika. Lakini hata hivyo mkae mkijua kuwa hayo mataifa ya kibeberu mnayo yasaidia kutuangamiza sisi wanyonge, siku zake za kuonyesha makucha yao kwetu sisi siku hadi siku zina tokomea.

Amerika sio world power any more na Europe ndiyo kabisaa! Mziki hivi sasa uko China. Na kama nyie hamtaki kuamini ukweli wa mambo basi nawaomba angalieni hii clip hapa chini.

Huko ndiko mambo makubwa yanatokea. Endeleeni tu kuwasaidia mabeberu wanu. Iko siku mtaumbuka vibaya! Kama sio nyie basi jueni watoto wenu au vijukuu vyenu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaelewa lugha gani umetumia kuandikia
maniger,mungu,n.k
Acha kutumia simu za mabeberu mkuu tumia zetu ili kuonyesha uzalendo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila BBC wanatumika vibaya sana habari za Ebola kuingia Tanzania walizitangaza kwa mbwembwe utafikiri walikuwa na uhakika wa asilimia mia moja. Habari zao kwa Tanzania zina walakini mkubwa na wanatoa habari zenye upande mmoja tu. Rushwa katika vyombo vya habari ni janga kubwa.
Mwezi mzima sijaona TBC ikitangaza habari za Uingereza...hivi kwanini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wewe unauliza uhusiano wa Rina Quint survivor wa Auschwitz na Tanzania? Anyway nitakujibu kistaarabu kwa kuwa yawezekana A-level ulisoma combinations za Science au hizi EGM.

Kwa aliyesoma Histrory A-level kuna Paper II ambayo ina cover World History from 1945 to current affairs. Kwenye hiyo Paper tunasoma mambo ya namna Adolf Hitler alivyo rise, atengeneza philosophy yake ya meinkampf, akaanzisha chama chake cha Nazi. Akapata madaraka, aka provoke vita vya dunia vya 2. Akafanya mauaji ya Wayahudi zaidi ya Milioni 6. Akateka sehemu kubwa ya Ulaya Mashariki. Then aashindwa vita baada ya kivamia Russia.

Sura ya mtangamano wa dunia wa sasa kisiasa, kiuchumi na kisiplomasia ni matokeo ya vita vikuu vya 2. Bila vita hivyo tusingekuwa na kambi 2 kubwa za vita baridi. Hata sera za kifedha za IMF na World Bank zinaanzia hapo. UN yenyewe nayo ilibadili jina toka League of Nations na kuwa UNO baada ya WW II. Kwa hiyo kwa historians kusikia BBC inarusha taarifa za Rina Quits kama manusura wa Auschwitz inatoka reflection kutoka kwa mtu aliyeshuhudia na siyo kusimuliwa.

Tunajifunza haya matukio dunia nzima siyo Tanzania tu ili kulaani vita au chuki hizi zisitokee tena dhidi ya binadamu. Naamini hii summary itakutosha Maneno Meier
Interesting! Aisee, umejitahidi sana. Hongera kwa hilo. Kwa hiyo unajivunia kwa hilo tu la
Kujua history ya Hitler na vita vya World War II. peke yake au kuna jingine ambalo unataka kunikoga nalo?

Je, ya Napoleon Bonaparte wa Korzika huyajui? Wala ya vita vya waingereza chini ya Queen Elizabeth I., Virgin Queen, na King Philip's wa Spain huyajui? Na Queen Victoria je? Asili ya King George III na pia mliisoma shuleni? Je tukija kwa akina Alexander The Great wa Ugiriki na wengine wote kama King Leopold II, King Henry VIII., Queen Cleopatra wa Egypt na wengineo wote?

Sikiliza msomi wetu wa history ya mabeberu, historia kama hizi hata wenyewe wazungu hawasomi mashuleni mwao, wanazita kupitia TV zao. Naomba nikuulize, hivi unafanya kazi gani sasa?

Kwa haya naomba acha ku debate na mimi kuhusu mambo ya historia ya mabeberu wako. Sikiliza mkuu mimi hata kama sijasoma mambo ya Auschwitz kwenye history ya A-Level na kuiandikia mtihani naweza kukuthibitishia kuwa ninayajua mengi kuhusu Hitler na World War II. pengine kuliko hata wewe unavyo dhani. Na kwa bahati mbaya au nzuri jana wakati unarusha hoja yako jamii Forums kuhusu Auschwitz, nilikuwa naangalia documentary moja kuhusu mambo hayo hayo ya Auschwitz kwenye Station moja ya TV ya wajerumani ijulikanayo kwa jina la Phoenix kwenye Ghetto langu. (Angalia picha)

Mimi sina mpango mkubwa wa ku debate na wewe kuhusu Auschwitz wala Hitler na maovu aliyo yafanya na mengineyo. Ila kama unataka naweza kukudokeza kitu kidigo kuhusu Hitler na world War II.

Naomba utambue kuwa mimi nimesoma na kuishi Ujerumani zaidi ya miaka 33. Nimeishi Berlin kwenye mtaa mmoja unaitwa Leipziger Strasse katikati ya Potsdamer Platz na Alexander Platz kama mita 500 hivi kutoka sehemu moja maarufu sana katika hiyo historia yako ya World War II. kwa jina la Checkpoint Charlie. Potsdamer Platz na Alexander Platz ni maeneo kama huko kwetu Mnazimoja au Kariakoo. Eneo ambalo mimi nilikuwa naishi na ambako hiyo sehemu Checkpoint Charlie iko ni Berlin Mitte. Kwa maneno mengine tuna weza tafsiri "Berlin Center." au "Berlin City Center."

Kwa hiyo mkuu ninaijua historia hiyo ya Hitler kiundani zaidi na kwa lugha yao na hata mwanzo wake na kadhalika. Madudu kama hayo ambayo wewe mwenyewe unayaita history, kwenye mitandao ya kijerumani yana rusha karibu karibu kila siku ya mungu mpaka yana tia kichefuchefu. Isitoshe kwenye live stream na social Media kama YouTube na kadhalika yamejaa kibao.

Kitu kingine ambacho inabidi ukizingatie ni kuwa Hitler hakushindwa vita baada ya yeye kuwawavamia Warusi, bali Hitler alishindwa vita na majeshi ya nchi ambazo zili form alliance wakiwemo Warusi. Nchi za Ulaya karibu zote isipokuwa Switzerland, Amerika, Canada na Australia zili participate kwenye hiyo vita against Hittler. Waitaly chini ya Rais wao Mussolini mwanzoni walikuwa upande wa Hitler, lakini baada ya Mussolini kuuawa na watu wake nao wakawa against Hitler na wajapan nao hivyo hivyo mpaka Waamerika walipo angusha Atomic Bomb huko Hiroshima na Nagasaki na kumlazimisha Emperor Akihito ku surrender.

Waamerika infact mwanzoni hawakutaka ku participate kwenye hiyo vita Kuu ya Pili ya Dunia, lakini baada ya wajapan kuvamia na kuharibu bandari na manowari zao za kijeshi kwenye kisiwa cha Pearl Harbor ndiyo nao wakaona umuhimu wa kujiunga kwenye hiyo vita against Hinler na Marafiki zake.

Kama mlisoma kwenye hiyo history yenu, waingereza, wafaransa, warusi, waitaly na baadhi ya nchi nyingine za Ulaya hawakutaka ujerumani iwe nchi tena. Walitaka hiyo nchi isi exist tena. Wajerumani wawashukuru waamerika. Waliweka kifua kwa sababu ya ukubwa wake wa majeshi.

Warusi na nchi za Ulaya peke yao bila Amerika wasinge mshinda Mjerumani. Mjerumani alikuwa na dhana za kijeshi kali sio mchezo.

Kitu kingine cha kuzingatia katika hiyo historia yako ya Hitler na World War II, pia ni kuwa Hitler hakutaka kuivamia England wala ku destroy England. Hitler aliipenda England. Angetaka, kwa dhana alizo kuwa nazo ingekuwa just a Matter of second angekwisha ichukua. Mpaka sasa haieleweki kwanini Hitler alistopisha majeshi yake yasichuke Starlingrad, kwani nako ilibakia kidogo tu waichukue.

Na kama haitoshi Hitler alikuwa ni Symptoms tu, asili ya vita kuu ya pili ya Dunia ilikuwa matokeo ya ya vita kuu ya kwanza ya dunia.

Kwa kifupi tu wajerumani walikuwa na Concentration camps nyingi sana za kuwasulubu na kuwa ua watu; Aushwitz peke yake zilikuwa tatu nyingine ni Buchenwald, Dakau, Lebenau, Sachsenhausen na kadhalika na kadhalika.

Kwa hiyo naomba tuachane na hayo na turudi kwenye mada yetu nisije nikakuchosha bure na somo la history paper II.

Mkuu ina niwia vigumu sana kuamini kuwa historia ya bibi mzee ya mwaka 1945 ina weza ikawa top News siku hiyo kuliko kutia saini mikataba ya makubaliona kati Serikali ya Tanzania na BARRICK GOLD, wakati waswahili ulimwenguni walikuwa wanasubiri kujua the outcome yake?

Je, mlitakiwa history hiyo lazima mwiirushe hewani alhamisi ya tarehe 24 mwezi wa kwanza wakati kulikuwepo na top News ya historical Moment ya kutia saini ya mikataba kati ya serikali ya Tanzania na Kampuni namba two ulimwenguni ya kuchimbaji dhahabu ya BARRUCK GOLD? Haukuwepo uwezekano wa Story hiyo kuirusha siku nyingine?

Sasa ngoja nikupe picha kamili ya jinsi nyie watu wa BBC mnavyo jaribu kutumanipulate sisi. Msikilize kwenyie hii clip jinsi gani Zuhura Yunus anavyo wapotosha watazamaji na wasikilizaji.

Zuhura Yunus mtangazaji wa BBC Swahili News ana tilia mashaka ya ugawanyaji wa profit wa nusu kwa nusu kwa share ya 16/84%. Badala ya kumwuliza mwuhusika yeyote yule katika government au participant yeyote wa BARRICK GOLD kwenye mjadala huo ili tukapata ukweli wa mambo, yeye ana divert deliberately mahojiano na kumwuliza mtu ambaye hajui lolote kuhusu makubaliano ya huo mkataba ambaye kwa maelezo yake ni mtaalam wa uchimbaji wa madini huko Denemack na kwa wakati huo akiwa London.

Katika mahojiano hayo unaona dhahiri jinsi gani Zuhura Yunus anavyo mdirect huyo mtu anaye jiita mtaalam wa utafiti na ushauri wa uchimbaji wa madini na rasilimali za mafuta na gas wa chuo kikuu kimoja huko Denmark ambaye kwa kipindi hicho alikuwa katika chuo kikuu cha Sheffield mjini London.

Katika uulizaji wa maswali yake ili apate kusikia kile anachontaka kutoka kwa mwalikwa. Ana mwuuliza maswali ambayo yeye majibu yake tayari anayajua.
Hiki ni kitu cha kushangaza sana. Sidhani kama kweli huo ni u-journalism mnaouita.
Ninavyo jua mimi ni kwamba ma journalist wanauliza taff questions ili ukweli ujulikane na sio kuwababaisha wasililizaji.

Swali lake la kwanza ni kuhusu madai ambayo serikali ya Tanzania yalikadiria kuidai kampuni ya ACACIA mwaka 2017, Mr Jacob mtaalam wake alijaribu kumpa jibu ambalo yeye mwenyewe asingeweza lijibu kwani hajui walitumia Methodes gani mpaka kuja na amount hiyo ya $190 bilioni. Hili swali Mr thabiti asingeweza lijibu kisahi kwani hajui serikali na BARRICK GOLD wamekubaliana vipi? Maswali kama haya yana direct kwenye "Absurdum," kwani hakuna ambaye angeweza litolea jibu sahihi. Simply hawakuhusika

Swali la pili kuhusu haki ya watanzania kupata $ 300 milioni, hilo nalo kwa mtazamo wangu sio justifiable question. Huyo mtaalam hakuwa na jibu wala hakujua hiyo amount imetokana na majadiliano yepi? Matokeo yake ana conclude kuwa gawio la 50/50 kwa share ya 16/84 haiwezekani. Yeye ndiyo mhusika katika makubaliano hayo? Kina principle yoyote ya magawio ya share?

Swali la tatu la kuhusu wahusika au washiriki wa kampuni ya BARRICK GOLD kuwa ni wale wale. Come on Zuhura! Maswali kama haya yana lengo moja tu, la kuwafanya watanzania wawe na hasira na chuki na serikali yao ili wasiwe na imani nayo. Yaani utaona jinsi gani hawa majournalist wanauliza maswali ya uchochezi.

Ni kitu cha kushangaza sana; wa East African wanachochea vurugu itokee kwenye jamii yao iliyo walea na kuwasomesha? Watakuwa binadam kweli hawa kama sisi? I doubt!

20200126_182947.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana Rais Magufuli Jembe letu la Tanazania kutoka Chato ameshuhudia historia kubwa ya kutia saini ya mkataba wa makubaliano kati ya Tanzania na Barrick Gold wa kuendesha kampuni ya pamoja ya kuchimba dhahabu nchini, TWIGA MINERALS COOPERATION.

Na juzi tarehe 23 mwezi huu Rais Magufuli amevunja recorde katika Afrika ya kuyafanya mashirika na Taasisi zote za Umma kwa mara ya kwanza kutoa gawiwo serikalini. Hiyo nayo kwenu sio historical sensation.

Lakini nyinyi kwa kuogopa kupoteza kazi zenu mmeamua habari hizo kuzikaushia kwasababu zitampa Rais Magufuli ambaye kwa wengine wenu ni Rais wa nchi mliyotoka umaarufu na hivyo kuondoa kusudio la mabeberu wenu la njama zake za kuendelea kuliangamiza bara la Afrika kwa Propaganda zake ambazo nyie vibaraka wao mnazitoa lila siku ya mungu. Nyie mko tayari kushirikiana na hao mabeberu kuona sisi Maniger tuna baki kuwa chini na wao juu. Kwa sababu wanawalipa pesa nyingi.

Ni aibu kubwa sana kwenu na kwa waswahili ambao tunawasikiliza kwa kushindwa kutoa habari kubwa ambayo inavuka mipaka. Kwa vitendo vyenu hivyo sijui kama watoto wenu na vijukuu vyenu vitakuwa na amani hapo baadae na pia kuwa proud of you?

Mungu awabariki sana maniger katika matendo yenu ya kuwasaliti maniger wenzenu. Kuwaona waafrka wenzenu wakinyanyasika huku kuendelea kuchochea moto wa vurugu. Hivyo nyie ni binadam kweli kama sisi?

Nawaomba mtambue kuwa ulimwengu ni mmoja na sisi sote tu pamoja na tuna vuta hewa hiyo hiyo ambayo nyie na vibaraka wenu huko Amerika na Ulaya mnaivuta.

Nyie watangazaji wa idhaa za kiswahili ndiyo wapiga Propaganda wakubwa tukija katika maswala ya kutetea haki za binadam na "Freedom of Speech". Sasa niwaulize; haki zipi za binadam na Freedom of speech gani mnazitetea wakati tukio kubwa la kihistoria ya haki ya binadam ulimwenguni jana lilitokea?

Udaku wa kutumbuliwa kwa Waziri wa Mambo ya ndani wa Tanzania Mh. Kange Lugola na kamishna wa jeshi la Zimamoto mlikuwa wa kwanza kuwahabarisha waswahili ulimwenguni, lakini tukio la kihistoria ulimwenguni mlijifanya kama haliko. Hamjui kwa vitendo vyenu vya kisaliti kama hivi mna iua credibility yenu ya kuwa ni idhaa ambazo zina toa genuine taarifa za habari?

Hata hivyo msikonde ndugu zetu sisi tunajua kuwa nyie ni vibaraka ambao mnatumiwa tu na hayo mataifa ya kibeberu kutuangamiza sisi maniger wa Afrika. Lakini hata hivyo mkae mkijua kuwa hayo mataifa ya kibeberu mnayo yasaidia kutuangamiza sisi wanyonge, siku zake za kuonyesha makucha yao kwetu sisi siku hadi siku zina tokomea.

Amerika sio world power any more na Europe ndiyo kabisaa! Mziki hivi sasa uko China. Na kama nyie hamtaki kuamini ukweli wa mambo basi nawaomba angalieni hii clip hapa chini.

Huko ndiko mambo makubwa yanatokea. Endeleeni tu kuwasaidia mabeberu wanu. Iko siku mtaumbuka vibaya! Kama sio nyie basi jueni watoto wenu au vijukuu vyenu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Crap!
 
Interesting! Aisee, umejitahidi sana. Hongera kwa hilo. Kwa hiyo unajivunia kwa hilo tu la
Kujua history ya Hitler na vita vya World War II. peke yake au kuna jingine ambalo unataka kunikoga nalo?

Je, ya Napoleon Bonaparte wa Korzika huyajui? Wala ya vita vya waingereza chini ya Queen Elizabeth I., Virgin Queen, na King Philip's wa Spain huyajui? Na Queen Victoria je? Asili ya King George III na pia mliisoma shuleni? Je tukija kwa akina Alexander The Great wa Ugiriki na wengine wote kama King Leopold II, King Henry VIII., Queen Cleopatra wa Egypt na wengineo wote?

Sikiliza msomi wetu wa history ya mabeberu, historia kama hizi hata wenyewe wazungu hawasomi mashuleni mwao, wanazita kupitia TV zao. Naomba nikuulize, hivi unafanya kazi gani sasa?

Kwa haya naomba acha ku debate na mimi kuhusu mambo ya historia ya mabeberu wako. Sikiliza mkuu mimi hata kama sijasoma mambo ya Auschwitz kwenye history ya A-Level na kuiandikia mtihani naweza kukuthibitishia kuwa ninayajua mengi kuhusu Hitler na World War II. pengine kuliko hata wewe unavyo dhani. Na kwa bahati mbaya au nzuri jana wakati unarusha hoja yako jamii Forums kuhusu Auschwitz, nilikuwa naangalia documentary moja kuhusu mambo hayo hayo ya Auschwitz kwenye Station moja ya TV ya wajerumani ijulikanayo kwa jina la Phoenix kwenye Ghetto langu. (Angalia picha)

Mimi sina mpango mkubwa wa ku debate na wewe kuhusu Auschwitz wala Hitler na maovu aliyo yafanya na mengineyo. Ila kama unataka naweza kukudokeza kitu kidigo kuhusu Hitler na world War II.

Naomba utambue kuwa mimi nimesoma na kuishi Ujerumani zaidi ya miaka 33. Nimeishi Berlin kwenye mtaa mmoja unaitwa Leipziger Strasse katikati ya Potsdamer Platz na Alexander Platz kama mita 500 hivi kutoka sehemu moja maarufu sana katika hiyo historia yako ya World War II. kwa jina la Checkpoint Charlie. Potsdamer Platz na Alexander Platz ni maeneo kama huko kwetu Mnazimoja au Kariakoo. Eneo ambalo mimi nilikuwa naishi na ambako hiyo sehemu Checkpoint Charlie iko ni Berlin Mitte. Kwa maneno mengine tuna weza tafsiri "Berlin Center." au "Berlin City Center."

Kwa hiyo mkuu ninaijua historia hiyo ya Hitler kiundani zaidi na kwa lugha yao na hata mwanzo wake na kadhalika. Madudu kama hayo ambayo wewe mwenyewe unayaita history, kwenye mitandao ya kijerumani yana rusha karibu karibu kila siku ya mungu mpaka yana tia kichefuchefu. Isitoshe kwenye live stream na social Media kama YouTube na kadhalika yamejaa kibao.

Kitu kingine ambacho inabidi ukizingatie ni kuwa Hitler hakushindwa vita baada ya yeye kuwawavamia Warusi, bali Hitler alishindwa vita na majeshi ya nchi ambazo zili form alliance wakiwemo Warusi. Nchi za Ulaya karibu zote isipokuwa Switzerland, Amerika, Canada na Australia zili participate kwenye hiyo vita against Hittler. Waitaly chini ya Rais wao Mussolini mwanzoni walikuwa upande wa Hitler, lakini baada ya Mussolini kuuawa na watu wake nao wakawa against Hitler na wajapan nao hivyo hivyo mpaka Waamerika walipo angusha Atomic Bomb huko Hiroshima na Nagasaki na kumlazimisha Emperor Akihito ku surrender.

Waamerika infact mwanzoni hawakutaka ku participate kwenye hiyo vita Kuu ya Pili ya Dunia, lakini baada ya wajapan kuvamia na kuharibu bandari na manowari zao za kijeshi kwenye kisiwa cha Pearl Harbor ndiyo nao wakaona umuhimu wa kujiunga kwenye hiyo vita against Hinler na Marafiki zake.

Kama mlisoma kwenye hiyo history yenu, waingereza, wafaransa, warusi, waitaly na baadhi ya nchi nyingine za Ulaya hawakutaka ujerumani iwe nchi tena. Walitaka hiyo nchi isi exist tena. Wajerumani wawashukuru waamerika. Waliweka kifua kwa sababu ya ukubwa wake wa majeshi.

Warusi na nchi za Ulaya peke yao bila Amerika wasinge mshinda Mjerumani. Mjerumani alikuwa na dhana za kijeshi kali sio mchezo.

Kitu kingine cha kuzingatia katika hiyo historia yako ya Hitler na World War II, pia ni kuwa Hitler hakutaka kuivamia England wala ku destroy England. Hitler aliipenda England. Angetaka, kwa dhana alizo kuwa nazo ingekuwa just a Matter of second angekwisha ichukua. Mpaka sasa haieleweki kwanini Hitler alistopisha majeshi yake yasichuke Starlingrad, kwani nako ilibakia kidogo tu waichukue.

Na kama haitoshi Hitler alikuwa ni Symptoms tu, asili ya vita kuu ya pili ya Dunia ilikuwa matokeo ya ya vita kuu ya kwanza ya dunia.

Kwa kifupi tu wajerumani walikuwa na Concentration camps nyingi sana za kuwasulubu na kuwa ua watu; Aushwitz peke yake zilikuwa tatu nyingine ni Buchenwald, Dakau, Lebenau, Sachsenhausen na kadhalika na kadhalika.

Kwa hiyo naomba tuachane na hayo na turudi kwenye mada yetu nisije nikakuchosha bure na somo la history paper II.

Mkuu ina niwia vigumu sana kuamini kuwa historia ya bibi mzee ya mwaka 1945 ina weza ikawa top News siku hiyo kuliko kutia saini mikataba ya makubaliona kati Serikali ya Tanzania na BARRICK GOLD, wakati waswahili ulimwenguni walikuwa wanasubiri kujua the outcome yake?

Je, mlitakiwa history hiyo lazima mwiirushe hewani alhamisi ya tarehe 24 mwezi wa kwanza wakati kulikuwepo na top News ya historical Moment ya kutia saini ya mikataba kati ya serikali ya Tanzania na Kampuni namba two ulimwenguni ya kuchimbaji dhahabu ya BARRUCK GOLD? Haukuwepo uwezekano wa Story hiyo kuirusha siku nyingine?

Sasa ngoja nikupe picha kamili ya jinsi nyie watu wa BBC mnavyo jaribu kutumanipulate sisi. Msikilize kwenyie hii clip jinsi gani Zuhura Yunus anavyo wapotosha watazamaji na wasikilizaji.

Zuhura Yunus mtangazaji wa BBC Swahili News ana tilia mashaka ya ugawanyaji wa profit wa nusu kwa nusu kwa share ya 16/84%. Badala ya kumwuliza mwuhusika yeyote yule katika government au participant yeyote wa BARRICK GOLD kwenye mjadala huo ili tukapata ukweli wa mambo, yeye ana divert deliberately mahojiano na kumwuliza mtu ambaye hajui lolote kuhusu makubaliano ya huo mkataba ambaye kwa maelezo yake ni mtaalam wa uchimbaji wa madini huko Denemack na kwa wakati huo akiwa London.

Katika mahojiano hayo unaona dhahiri jinsi gani Zuhura Yunus anavyo mdirect huyo mtu anaye jiita mtaalam wa utafiti na ushauri wa uchimbaji wa madini na rasilimali za mafuta na gas wa chuo kikuu kimoja huko Denmark ambaye kwa kipindi hicho alikuwa katika chuo kikuu cha Sheffield mjini London.

Katika uulizaji wa maswali yake ili apate kusikia kile anachontaka kutoka kwa mwalikwa. Ana mwuuliza maswali ambayo yeye majibu yake tayari anayajua.
Hiki ni kitu cha kushangaza sana. Sidhani kama kweli huo ni u-journalism mnaouita.
Ninavyo jua mimi ni kwamba ma journalist wanauliza taff questions ili ukweli ujulikane na sio kuwababaisha wasililizaji.

Swali lake la kwanza ni kuhusu madai ambayo serikali ya Tanzania yalikadiria kuidai kampuni ya ACACIA mwaka 2017, Mr Jacob mtaalam wake alijaribu kumpa jibu ambalo yeye mwenyewe asingeweza lijibu kwani hajui walitumia Methodes gani mpaka kuja na amount hiyo ya $190 bilioni. Hili swali Mr thabiti asingeweza lijibu kisahi kwani hajui serikali na BARRICK GOLD wamekubaliana vipi? Maswali kama haya yana direct kwenye "Absurdum," kwani hakuna ambaye angeweza litolea jibu sahihi. Simply hawakuhusika

Swali la pili kuhusu haki ya watanzania kupata $ 300 milioni, hilo nalo kwa mtazamo wangu sio justifiable question. Huyo mtaalam hakuwa na jibu wala hakujua hiyo amount imetokana na majadiliano yepi? Matokeo yake ana conclude kuwa gawio la 50/50 kwa share ya 16/84 haiwezekani. Yeye ndiyo mhusika katika makubaliano hayo? Kina principle yoyote ya magawio ya share?

Swali la tatu la kuhusu wahusika au washiriki wa kampuni ya BARRICK GOLD kuwa ni wale wale. Come on Zuhura! Maswali kama haya yana lengo moja tu, la kuwafanya watanzania wawe na hasira na chuki na serikali yao ili wasiwe na imani nayo. Yaani utaona jinsi gani hawa majournalist wanauliza maswali ya uchochezi.

Ni kitu cha kushangaza sana; wa East African wanachochea vurugu itokee kwenye jamii yao iliyo walea na kuwasomesha? Watakuwa binadam kweli hawa kama sisi? I doubt!

View attachment 1337529

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe Maneno Meier ni mwathirika wa kupiga box Ulaya. Makosa uliyoyafanya ni kukaa miaka 33 Ulaya ukifanya odd jobs. Haujui kinachoendelea nchini kabisa. Hata kujibishana na wewe ni wastage of time. Yale maswali aliyouliza Zuhra Yunus ndiyo maswali ya msingi. Hizo USD 190 Billion ndiyo chanzo cha kubadili Sheria za madini na structure ya shares za Barrick as well na kushambuliwa kwa Tundu Lissu. JPM alidhani tunaibiwa sana madini kupitia makinikia. Akadhani kila container la 20 ft linakuwa na Kilo 7 za dhahabu wakati kiukweli lina Kilo 0.7 tu. Na hapo ndipo denominator iliyotumika kupata USD 190 B kama kodi ambayo ACACIA/Barrick wamekwepa over a period of 17 years or so. Kama mwandishi hatauliza maswali hayo atakuwa hajawatendea haki Watanzania na fani yake ya habari.

Anyway asante kwa kuchangia kwenye history ya WWII japo hakuna jipya ambalo sikulisoma kabla.
 
Duuh! Yaani unajaji mada yangu nzima kwa kukosa la herufi? Hiyo inaonyesha wewe ni mtu wa akilingani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo herufi tu hata mada yenyewe inakosa akili. Hujui mkataba huo tumeliwa? Tuliambiwa kishika uchumba cha kila mtu kununua NOAH ziko wapi? Tuliambiwa makanikia ya mchanga yana madini ndani yake kulingana na ripoti ya Profesa, kuuzwa hayo makinikia ya mchanga Tanzania tutapata nini? Sheria ya sasa inasema mikataba yote ya madini lazima iwe wazi na ipitie Bungeni, ili la sasa unalokenulia meno yote limesainiwaje na lina baraka za Bunge au ndiyo yale yale ya mikataba itakayokuja kutuliza baadae na sijui utakenulia wapi tena? Huoni sheria namba 14 ya Madini ya mwaka 2010, bado suala la kukosekana kwa uwazi kunaonekana kuwa ni changamoto?
 
Yani mmefanya wengine tumeacha kabisa kusikiliza redio za ndani, kuangalia TV za ndani kutokana na ujinga wenu na bado mnataka hata vyombo vichache vya nje vilivyobaki ambavyo haviogopi kutekana na kufungiana navyo mnataka kuviingilia?

Tuacheni tupumue kidogo jamani
 
Angalia CNN International, BBC World na DW Internatinal, lakini sio idhaa hizi za kiswahili vya akina Zuhra Yunus, Mery Mgawe, Salim Kikeke na wengineo. Hayo yote ni majasusi tu hayo. Wewe unafikiri mzungu ana usamalia gani mwema wa kutuwekea sisi idha za kiswahili bure? Mzungu sio mjinga kiasi hicho. Kuta kuwa kuna kitu anakusudia.

Ebu jaribu mwenyewe kutumia akili yako. Wazungu mda wote kwenye mazungumzo yao ya ndani na ya nje katika familia na kadhali kila mara wanapendelea kusema maneno kama; waafrika ni masikini, Afrika kuna njaa na hatuwezi kujilisha sisi wenyewe, hatujui kusoma na kuandika, tuna magonjwa na ni wachafu, tunanuka na hatujui hiki wala kile. Haya sio maneno tu bali ni tabia ambayo wamezaliwa nayo. Wana amini hivyo kuwa sisi kweli ni masokwe na hatuwezi kitu aidha unataka au hutaki kusikia hayo!

Kwa hili naomba nikupe mfano; kuna siku mimi na mke wangu mzungu wakati tuko vijana bado, tulikaa sebuleni na mtoto wetu wa miaka matatu, kama ilivyo kawaida ya wazungu kuangalia vipindi vya wanyama kwenye TV au nyie wenyewe siku hizi mnaziita Runinga. Kuna scene moja kwenye hicho kipindi sokwe mkubwa yanatokea kweye screen. Mke wangu bila kufikiri akanyosha kidole kuelekea TV na kuniuliza mimi kwa sauti kubwa "Maneno unafanya nini kwenye TV?" Any way, sikuchukulia maanani sana kwa action hiyo. Niliona wife a anafanya utani na tukacheka kwa pamoja.

Baada ya mda tukio kama hilo lilitokea tena. Na mtoto wangu wa akawa wa kwanza kumwambia mama yake angalie kwenye Runinga na hapo hapo akamwuuliza mama yake, nina quote; "Mami mami guck mal im Fernsehen ... Was macht der Papa denn dar? Akimaanisha "Mama mama angalia kwenye Runinga... Baba ana fanya nini humo? Mimi na wife tulibaki kuangaliana tu. Lakini mesage was sent. Mtoto wangu ambaye hata mwenyewe hakuwa mweupe sana kama wazungu walivyo, aliniona mimi mtu mweusi ni sokwe.

Nilimwambia wife awe careful! Asifanye tena vitu kama hivyo. Kwa hiyo utaona vitu kama hivi hutokea mara kwa mara kwa wazungu. Sasa unafikiri mtoto anaye kua katika mazingira kama haya atawa-respect watu weusi kweli? Sidhani!
Naomba angalilia hii clip ya

Tukirudi kwenye mada, sasa kama sisi ni masikini na hatuwezi kusoma na kuandika inakuwaje tena wanatumia gharamia kubwa kuturushia sisi matangazo kwa lugha yetu bure? Wanafaidika na nini?

Nikuulize wewe mwenyewe kama unaweza kupoteza hela nyingi kumsomesha mtoto ambaye hawezi kusoma? Au unaweza ukampigia mbuzi Gita akakusikiliza? Ukiweza pata majibu ya maswali yangu hayo ndipo hapo utagundua mchezo wanao ucheza wazungu kwetu wa kutu manipulate sisi tusiwe na mawazo ya kuangalia au kusikiliza ya kwetu bali ni yao tu. Yakwetu wakiyarusha ni yale mabaya ya kutu discourage sisi. Lakini yote yanayo toka kwao ni mazuri.

Umesha msikia Zuhra Yunus au Salim Kikeke siku ameelezea mambo mabaya ya UK au ya Waziri wao kichaa Boris Johnson? Thubutu! Wajaribu kufanya hivyo kama hujawaona wakitoweka kwenye jukwaa la utangazaji.

Hata kwenye mitandao yao huko Ulaya, hasa hasa wajerumani, wakiwa wanazungumzia maswala yanayo husu waafrika utawaona watu wanaojiita ma-expertise wa Afrka kibao, ambao ni wenyewe, humwoni mwafrika hata mmoja. Unajua kwa nini? Kwa sababu wao wanataka kuwajaza watu wao uwongo wa Afrika, hawata ruhusu msemaji wa kiafrika ambaye ataeleza ukweli na kukosoa au kuweka bayana matendo yao ya unafiki.
BBC World kidogo wanajitahidi latika baadhi ya vipindi, japokuwa sio sana.

Hii miradi yetu ya SGR na Stieglers Gorge kwa mfano, sijawahi sikia kwenye TV za wajerumani wakatoa habari yeyote yakinifu jinsi miradi hiyo inavyoendelea. Nachokumbuka tu ni mwaka juzi kabla ya mradi wa Umeme kuanzishwa, wali debate kidogo kwenye Bunge lao na wakatoa kwenye TV zao kama News na baada ya hapo husikii kutoa chochote kutoka Tanzania, Isipo kuwa mambo ya Makonda na Mashoga, hiyo ilikuwa Story kubwa kwao.

Mambo ya utwala bora wa Rais Magufuli au kudhibiti Rushwa hiyo huwezi kabisaa kusikia wakizungumzia. Habari kamanhii ita divert perception yao ya kuwa Afrika ni rushwa tu. Bila rushwa hakuna kinaendelea.
Hawawezi wakasifu juhudi na jitihada za Rais Magufuli za kuleta maendeleo kwa wananchi wake. Hiyo sahau. Wanajaribu kuzuia kila kitu kizuri kinacho husu Afrika!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo herufi tu hata mada yenyewe inakosa akili. Hujui mkataba huo tumeliwa? Tuliambiwa kishika uchumba cha kila mtu kununua NOAH ziko wapi? Tuliambiwa makanikia ya mchanga yana madini ndani yake kulingana na ripoti ya Profesa, kuuzwa hayo makinikia ya mchanga Tanzania tutapata nini? Sheria ya sasa inasema mikataba yote ya madini lazima iwe wazi na ipitie Bungeni, ili la sasa unalokenulia meno yote limesainiwaje na lina baraka za Bunge au ndiyo yale yale ya mikataba itakayokuja kutuliza baadae na sijui utakenulia wapi tena? Huoni sheria namba 14 ya Madini ya mwaka 2010, bado suala la kukosekana kwa uwazi kunaonekana kuwa ni changamoto?
Vitu vingapi ulihaidiwa na serikali za awamu ya tatu na ya nne kutekelezwa na havikutekelezwa. Ulikuwa wapi kulaumu? Mbona hukusikika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe Maneno Meier ni mwathirika wa kupiga box Ulaya. Makosa uliyoyafanya ni kukaa miaka 33 Ulaya ukifanya odd jobs. Haujui kinachoendelea nchini kabisa. Hata kujibishana na wewe ni wastage of time. Yale maswali aliyouliza Zuhra Yunus ndiyo maswali ya msingi. Hizo USD 190 Billion ndiyo chanzo cha kubadili Sheria za madini na structure ya shares za Barrick as well na kushambuliwa kwa Tundu Lissu. JPM alidhani tunaibiwa sana madini kupitia makinikia. Akadhani kila container la 20 ft linakuwa na Kilo 7 za dhahabu wakati kiukweli lina Kilo 0.7 tu. Na hapo ndipo denominator iliyotumika kupata USD 190 B kama kodi ambayo ACACIA/Barrick wamekwepa over a period of 17 years or so. Kama mwandishi hatauliza maswali hayo atakuwa hajawatendea haki Watanzania na fani yake ya habari.

Anyway asante kwa kuchangia kwenye history ya WWII japo hakuna jipya ambalo sikulisoma kabla.
Mimi ningekushauri kwanza kupiga mahesbu ya kusafirisha Container moja kutoka Tanzania kwenda ughaibuni kwa meli na linganisha na bei ya gram 7 za madini wanayo safirisha, hapo nafikiri utatambua ukweli wa mambo uko wapi na nani anaongopa na sio vice versa!

Pili naomba utambue Ulaya kazi ni kazi tu, iwe ya kubeba mabox au kupangusa mavi ya wazee wao. Mshahara wa kutosha na kukuwezesha wewe kuishi utaupata. Na isitoshe hizo ndiyo hela ambazo tukija Tanzania tunajitanua. Wewe hapo ulipo hata senti ya kwenda Visiwa vya Commoro kupiga tour huna. Magufuli amekudhibiti ile kishenzi.

Mimi na piga tour na hizo hizo hela za kubwa mabox kwenda Ibiza, Istanbul, Mayoca na hata Las Vegas kucheza kamari.

Utajijua mwenyewe kuhusu WWll. Yaana unapata habari za kukariri kwenye vitabu.
Aisee! Wewe ni masikini sana wa maarifa ma akili. Story zenyewe mnavyo jazwa ni zile zilizo andikwa na mabeberu wako na zimepitwa na wakati. Unasoma history hiyo hiyo toka enzi za Marehemu Samweli Sitta?

Kwao wenyewe kila wakati wanapata Updates. Wewe umebakiwa na mambo ambayo huwezi hata kuyafanyia kazi. Wewe ni masikini sana. Afadhali uende Ulaya ukabebe hata hayo mabox utapata hela ya kujitanua Bongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom