Watangazaji wa idhaa za Kiswahili wa BBC, VOF na DW shame in you!

Nadhani ni busara sana mtu mzima kuuficha upumbafu wako, ivi TBC inayofanya upendelea na kuussifia ujinga kwako ilo ni sawa?? Camon ndugu si lazima kuchangia hasa kama unachangia upuuzi, better shut up your bic
Ukisha anza kujiona tu una akili Sana kuliko wenzako wote ujue tayari unaanza kuwa na tatizo fulani.
 
Jana Rais Magufuli Jembe letu la Tanazania kutoka Chato ameshuhudia historia kubwa ya kutia saini ya mkataba wa makubaliano kati ya Tanzania na Barrick Gold wa kuendesha kampuni ya pamoja ya kuchimba dhahabu nchini, TWIGA MINERALS COOPERATION.

Na juzi tarehe 23 mwezi huu Rais Magufuli amevunja recorde katika Afrika ya kuyafanya mashirika na Taasisi zote za Umma kwa mara ya kwanza kutoa gawiwo serikalini. Hiyo nayo kwenu sio historical sensation.

Lakini nyinyi kwa kuogopa kupoteza kazi zenu mmeamua habari hizo kuzikaushia kwasababu zitampa Rais Magufuli ambaye kwa wengine wenu ni Rais wa nchi mliyotoka umaarufu na hivyo kuondoa kusudio la mabeberu wenu la njama zake za kuendelea kuliangamiza bara la Afrika kwa Propaganda zake ambazo nyie vibaraka wao mnazitoa lila siku ya mungu. Nyie mko tayari kushirikiana na hao mabeberu kuona sisi Maniger tuna baki kuwa chini na wao juu. Kwa sababu wanawalipa pesa nyingi.

Ni aibu kubwa sana kwenu na kwa waswahili ambao tunawasikiliza kwa kushindwa kutoa habari kubwa ambayo inavuka mipaka. Kwa vitendo vyenu hivyo sijui kama watoto wenu na vijukuu vyenu vitakuwa na amani hapo baadae na pia kuwa proud of you?

Mungu awabariki sana maniger katika matendo yenu ya kuwasaliti maniger wenzenu. Kuwaona waafrka wenzenu wakinyanyasika huku kuendelea kuchochea moto wa vurugu. Hivyo nyie ni binadam kweli kama sisi?

Nawaomba mtambue kuwa ulimwengu ni mmoja na sisi sote tu pamoja na tuna vuta hewa hiyo hiyo ambayo nyie na vibaraka wenu huko Amerika na Ulaya mnaivuta.

Nyie watangazaji wa idhaa za kiswahili ndiyo wapiga Propaganda wakubwa tukija katika maswala ya kutetea haki za binadam na "Freedom of Speech". Sasa niwaulize; haki zipi za binadam na Freedom of speech gani mnazitetea wakati tukio kubwa la kihistoria ya haki ya binadam ulimwenguni jana lilitokea?

Udaku wa kutumbuliwa kwa Waziri wa Mambo ya ndani wa Tanzania Mh. Kange Lugola na kamishna wa jeshi la Zimamoto mlikuwa wa kwanza kuwahabarisha waswahili ulimwenguni, lakini tukio la kihistoria ulimwenguni mlijifanya kama haliko. Hamjui kwa vitendo vyenu vya kisaliti kama hivi mna iua credibility yenu ya kuwa ni idhaa ambazo zina toa genuine taarifa za habari?

Hata hivyo msikonde ndugu zetu sisi tunajua kuwa nyie ni vibaraka ambao mnatumiwa tu na hayo mataifa ya kibeberu kutuangamiza sisi maniger wa Afrika. Lakini hata hivyo mkae mkijua kuwa hayo mataifa ya kibeberu mnayo yasaidia kutuangamiza sisi wanyonge, siku zake za kuonyesha makucha yao kwetu sisi siku hadi siku zina tokomea.

Amerika sio world power any more na Europe ndiyo kabisaa! Mziki hivi sasa uko China. Na kama nyie hamtaki kuamini ukweli wa mambo basi nawaomba angalieni hii clip hapa chini.

Huko ndiko mambo makubwa yanatokea. Endeleeni tu kuwasaidia mabeberu wanu. Iko siku mtaumbuka vibaya! Kama sio nyie basi jueni watoto wenu au vijukuu vyenu!

Sent using Jamii Forums mobile app

TBC si wametangaza imetosha au
 
Kilaza ktk ubora wako, ccm wote ni wapigadeal
 
Ukisha anza kujiona tu una akili Sana kuliko wenzako wote ujue tayari unaanza kuwa na tatizo fulani.
Hapana mkuu, unajua wakati taifa letu likipelekwa kibabe na kuonekana kuna watanzania bora zaidi wengine mtu anaanza kuleta maneno ya wazi akibeza na akikejeri as if kinachoendelea ni sawa kabisa wakati manyanyaso kwa kwa upande fulani ukiwa wazi sincerely yanatia sana hasira.
 
Jana Rais Magufuli Jembe letu la Tanazania kutoka Chato ameshuhudia historia kubwa ya kutia saini ya mkataba wa makubaliano kati ya Tanzania na Barrick Gold wa kuendesha kampuni ya pamoja ya kuchimba dhahabu nchini, TWIGA MINERALS COOPERATION.

Na juzi tarehe 23 mwezi huu Rais Magufuli amevunja recorde katika Afrika ya kuyafanya mashirika na Taasisi zote za Umma kwa mara ya kwanza kutoa gawiwo serikalini. Hiyo nayo kwenu sio historical sensation.

Lakini nyinyi kwa kuogopa kupoteza kazi zenu mmeamua habari hizo kuzikaushia kwasababu zitampa Rais Magufuli ambaye kwa wengine wenu ni Rais wa nchi mliyotoka umaarufu na hivyo kuondoa kusudio la mabeberu wenu la njama zake za kuendelea kuliangamiza bara la Afrika kwa Propaganda zake ambazo nyie vibaraka wao mnazitoa lila siku ya mungu. Nyie mko tayari kushirikiana na hao mabeberu kuona sisi Maniger tuna baki kuwa chini na wao juu. Kwa sababu wanawalipa pesa nyingi.

Ni aibu kubwa sana kwenu na kwa waswahili ambao tunawasikiliza kwa kushindwa kutoa habari kubwa ambayo inavuka mipaka. Kwa vitendo vyenu hivyo sijui kama watoto wenu na vijukuu vyenu vitakuwa na amani hapo baadae na pia kuwa proud of you?

Mungu awabariki sana maniger katika matendo yenu ya kuwasaliti maniger wenzenu. Kuwaona waafrka wenzenu wakinyanyasika huku kuendelea kuchochea moto wa vurugu. Hivyo nyie ni binadam kweli kama sisi?

Nawaomba mtambue kuwa ulimwengu ni mmoja na sisi sote tu pamoja na tuna vuta hewa hiyo hiyo ambayo nyie na vibaraka wenu huko Amerika na Ulaya mnaivuta.

Nyie watangazaji wa idhaa za kiswahili ndiyo wapiga Propaganda wakubwa tukija katika maswala ya kutetea haki za binadam na "Freedom of Speech". Sasa niwaulize; haki zipi za binadam na Freedom of speech gani mnazitetea wakati tukio kubwa la kihistoria ya haki ya binadam ulimwenguni jana lilitokea?

Udaku wa kutumbuliwa kwa Waziri wa Mambo ya ndani wa Tanzania Mh. Kange Lugola na kamishna wa jeshi la Zimamoto mlikuwa wa kwanza kuwahabarisha waswahili ulimwenguni, lakini tukio la kihistoria ulimwenguni mlijifanya kama haliko. Hamjui kwa vitendo vyenu vya kisaliti kama hivi mna iua credibility yenu ya kuwa ni idhaa ambazo zina toa genuine taarifa za habari?

Hata hivyo msikonde ndugu zetu sisi tunajua kuwa nyie ni vibaraka ambao mnatumiwa tu na hayo mataifa ya kibeberu kutuangamiza sisi maniger wa Afrika. Lakini hata hivyo mkae mkijua kuwa hayo mataifa ya kibeberu mnayo yasaidia kutuangamiza sisi wanyonge, siku zake za kuonyesha makucha yao kwetu sisi siku hadi siku zina tokomea.

Amerika sio world power any more na Europe ndiyo kabisaa! Mziki hivi sasa uko China. Na kama nyie hamtaki kuamini ukweli wa mambo basi nawaomba angalieni hii clip hapa chini.

Huko ndiko mambo makubwa yanatokea. Endeleeni tu kuwasaidia mabeberu wanu. Iko siku mtaumbuka vibaya! Kama sio nyie basi jueni watoto wenu au vijukuu vyenu!

Sent using Jamii Forums mobile app

“MANENO Meier” Shame In you maanake ni nini? Please expound.
 
Kwa wewe usiye ujua ulimwengu ni blablabla. Lakini kwa sisi tunao jua nini kinaendelea tunajua what is behind the scene.

Sent using Jamii Forums mobile app

Maneno Meir huwa unaongozwa na mihemko kiasi kwamba habari inayokusisimua ww unataka iwasisimue na wengine. Hayo unayoyaona ya maana ww kuna vituo vingi vya habari vimeripoti, huku vituo hivyo hivyo vikikalia kimya uhayawani mwingine usiwafikie watu wote. Humu nchini kuna vituo vingi hutoa habari zake kwa upendeleo, na zikitoa habari ni zile hasi tu kwa watu wenye mlengo tofauti na serikali au chama tawala, mbona hatukuwahi kukuona ukukimea hali hiyo. Sasa kama hukemei upendeleo ulioko hapa nyumbani, unapata wapi nguvu kukemea hao wa nje ya nchi? Jifunze kuvumilia usivyovipenda, na sio kila unachoona cha maana kwako ni cha maana kwa wengine.
 
Jana Rais Magufuli Jembe letu la Tanazania kutoka Chato ameshuhudia historia kubwa ya kutia saini ya mkataba wa makubaliano kati ya Tanzania na Barrick Gold wa kuendesha kampuni ya pamoja ya kuchimba dhahabu nchini, TWIGA MINERALS COOPERATION.

Na juzi tarehe 23 mwezi huu Rais Magufuli amevunja recorde katika Afrika ya kuyafanya mashirika na Taasisi zote za Umma kwa mara ya kwanza kutoa gawiwo serikalini. Hiyo nayo kwenu sio historical sensation.

Lakini nyinyi kwa kuogopa kupoteza kazi zenu mmeamua habari hizo kuzikaushia kwasababu zitampa Rais Magufuli ambaye kwa wengine wenu ni Rais wa nchi mliyotoka umaarufu na hivyo kuondoa kusudio la mabeberu wenu la njama zake za kuendelea kuliangamiza bara la Afrika kwa Propaganda zake ambazo nyie vibaraka wao mnazitoa lila siku ya mungu. Nyie mko tayari kushirikiana na hao mabeberu kuona sisi Maniger tuna baki kuwa chini na wao juu. Kwa sababu wanawalipa pesa nyingi.

Ni aibu kubwa sana kwenu na kwa waswahili ambao tunawasikiliza kwa kushindwa kutoa habari kubwa ambayo inavuka mipaka. Kwa vitendo vyenu hivyo sijui kama watoto wenu na vijukuu vyenu vitakuwa na amani hapo baadae na pia kuwa proud of you?

Mungu awabariki sana maniger katika matendo yenu ya kuwasaliti maniger wenzenu. Kuwaona waafrka wenzenu wakinyanyasika huku kuendelea kuchochea moto wa vurugu. Hivyo nyie ni binadam kweli kama sisi?

Nawaomba mtambue kuwa ulimwengu ni mmoja na sisi sote tu pamoja na tuna vuta hewa hiyo hiyo ambayo nyie na vibaraka wenu huko Amerika na Ulaya mnaivuta.

Nyie watangazaji wa idhaa za kiswahili ndiyo wapiga Propaganda wakubwa tukija katika maswala ya kutetea haki za binadam na "Freedom of Speech". Sasa niwaulize; haki zipi za binadam na Freedom of speech gani mnazitetea wakati tukio kubwa la kihistoria ya haki ya binadam ulimwenguni jana lilitokea?

Udaku wa kutumbuliwa kwa Waziri wa Mambo ya ndani wa Tanzania Mh. Kange Lugola na kamishna wa jeshi la Zimamoto mlikuwa wa kwanza kuwahabarisha waswahili ulimwenguni, lakini tukio la kihistoria ulimwenguni mlijifanya kama haliko. Hamjui kwa vitendo vyenu vya kisaliti kama hivi mna iua credibility yenu ya kuwa ni idhaa ambazo zina toa genuine taarifa za habari?

Hata hivyo msikonde ndugu zetu sisi tunajua kuwa nyie ni vibaraka ambao mnatumiwa tu na hayo mataifa ya kibeberu kutuangamiza sisi maniger wa Afrika. Lakini hata hivyo mkae mkijua kuwa hayo mataifa ya kibeberu mnayo yasaidia kutuangamiza sisi wanyonge, siku zake za kuonyesha makucha yao kwetu sisi siku hadi siku zina tokomea.

Amerika sio world power any more na Europe ndiyo kabisaa! Mziki hivi sasa uko China. Na kama nyie hamtaki kuamini ukweli wa mambo basi nawaomba angalieni hii clip hapa chini.

Huko ndiko mambo makubwa yanatokea. Endeleeni tu kuwasaidia mabeberu wanu. Iko siku mtaumbuka vibaya! Kama sio nyie basi jueni watoto wenu au vijukuu vyenu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Uzi wako una maana na umuhimu sana sema hapo uliposema tu Shame in You ndiyo umeharibu kila Kitu na huenda hao unaowasema hapa wakaamua Kujichangisha Pesa ili ukajifunze vyema Lugha ya hao Mabeberu unaowachukia japo unajisahaulisha kuwa ni kupitia Misaada yao ndiyo maana nchi zetu nyingi za Kiafrika zinapiga hatua kadhaa za Kimaendeleo.

Niwaombe tu Moderators hebu kwa afya ya huu Uzi na umuhimu wake rekebisheni tu haraka hapo Jamaa / Ndugu yetu alipochapia Ung'eng'e wake isomeke Shame on You kisha Wadau tuendelee sasa Kuchangia vinginevyo kuna uwezekano mkubwa mwelekeo wa huu Uzi ukabadilika na Wadau ( Watu ) wakaanza Kujadili Kuchapia kwa Jamaa badala ya Kuwasema hao aliowalenga katika Uzi wake.

Mwisho nitoe tu Ombi kwa baadhi yetu ( hasa wale wasiojua Kiingereza wenzangu ) kuwa kama tumeshajijua kuwa hiyo Lugha labda bado hatujaiweza vizuri basi tusitake Kujitutumua ( Kujimwambafai ) nayo kisha tukajikuta tunaichapia na kuanza Kuaibika hapa. Mbona hata kama ungeandika tu hilo neno kwa Lugha yetu ya Kiswahili bado ungeeleweka tu?
 
CHINA INAJIUNDIA 'BUBBLE' LITAKALOIGHARIMU VIBAYA SIKU CHACHE ZIJAZO! ......JUST A MATTER OF TIME!
HIVI UNAJUA KUWA MENGI YA HAYO MAJUMBA MAPYA HAYANA MPANGAJI? ......YAANI NI MAKAZI YA POPO?
1579951459680.png
1579951483928.png
 
Ila BBC wanatumika vibaya sana habari za Ebola kuingia Tanzania walizitangaza kwa mbwembwe utafikiri walikuwa na uhakika wa asilimia mia moja. Habari zao kwa Tanzania zina walakini mkubwa na wanatoa habari zenye upande mmoja tu. Rushwa katika vyombo vya habari ni janga kubwa.
 
Wewe unataka VOA, BBC na DW uwapangie watangaze nini?? Hacha ushamba wako wewe.

Pia unasifia china kwa sababu mnanasaba yenu ya pamoja ya udikteta, na kwa taharifa yako china ni mnyonyaji kwetu nchi changa zaidi ya unavyofikilia, ujinga wako ndo unakufanya husijue, refer walichokifanya Zambia, Srilanka.

Pia ukitaja ubeberu unanitia hasira na ukakasi kwani beberu ni dume maanake wewe ni JIKE tena la mbuzi, camon dont use neno beberu ukimpa mwenzako hasa kwa kuwe wewe ni JIKE LA MBUZI, Lol Hacha ushoga wewe.

Mwisho tueleze yale makubaliano ya wakati ule yaliishia wapi yale ya matrillioni ya ela ??
Hacha upoyoyo weeee.
Sasa wewe uliona issue ya Kutumbuliwa kwa Waziri Kangi Lugola more sentional kiasi kwamba BBC, VOA na DW wakawatangazia waswahili ulimwenguni kuliko makubaliano ya mkataba wa Kampuni ya TWIGA uliofanywa kati ya serikali ya Tanzania na BARRICK GOLD? Wewe huwezi kuhoji kuwa kuna kitu hapo kinafanyika cha kuto yanadi maendeleo ya nchi za kiafrika?

Brother kama wewe ni mtanzania mweusi kama mimi basi nakuomba amka. Ulimwengu mzima uko katika vita ya uchumi. Wazungu wana jua sisi tukuvuka tu basi Afrika itakuwa imekombolewa. Wanajitahidi kutumia kila mbinu kutu suppress sisi.

Waamerika na wazungu wa Europe idadi yao haifiki watu bilioni moja. Sisi tume wazidi. Tukipata uwezo wa kujiamini watataabika sana.

Bill and Miranda Gaite nafikiri unawajua. Kama ulichukua mda kuiagalia hiyo clip mpaka mwisho ungetambua ya kuwa Warren Buffett, Bill and Miranda Gaite na wengineo walio tajwa humo ndani ni wawekezaji wakubwa sana katika sekta mbalimbali za kiuchumi. Hawa ni waamerika na wana wekeza China. Sasa kama China ingekuwa ni nchi ya kidikteta kama wewe unavyo dai, una uhakika mabepari wakubwa kama hawa kuthubutu kuwekeza katika nchi yenye mfumo huo?

Hicho ndicho ninachonkuambia kuwa hizi idhaa za kiswahili za mabeberu zunatumika kutu brain wash sisi ili tusijiamini. Na hao watangazaji wa spiecies yetu wana watumia kutekeleza malengo yao.

Lakini wao wenyewe wajiulize watakaa kimya mpaka lini? Iko siku hilo jina TWIGA MINERAL COOPERATION itabidi walitangaze, sasa watu wakiwaukiza kwa nini hawakutoa habari zozote zinazo husu huu mkataba ulio wekwa, watawajibu nini watazamaji wao?

Kwa taarifa yako, sio Sri Kanka na Zambia tu wachina wamesha mess hata Kenya na Burundi. SGR ya Kenya, wakenya wameweka rehani kwa wachina bandari yao ya Mombasa. Na isitoshe iko chini ya mamlaka ya wachina. Zaidi ya hapo wachina wako kila kona. Mpaka Ulaya.

Unajua wazungu wa Ulaya hivi sasa wana question ujenzi wa the so called "Silk Route" wachina wanao finance kutoka China mpaka baadhi ya nchi za Europe kama una manufaa kwao? Zaidi ya hayo unaupata mvutano kati ya Amerika na Kampuni ya kichina Huawei kuhusu 5G, upanuzi wa PANAMA Canal huko Mexico na kadhalika? China ya leo sio ya kuilalia mlango wazi. Lazima tuivalie njuga.

Lakini hata hivyo isitukatishe tamaa sisi kufanya nao biashara. Ni kiasi cha kuwa makini na inapo bidi kuwadhitbiti. Mfano umeuona mwenyewe kwenye bandari ya Bagamoyo. Sasa kama nchi isipo kaa vizuri inakula kwako. Hata huu mkataba wa Barrick na serikali ya Tanzania, kama watanzania wasinge kuwa makini tungelaliwa.

Nakuomba utambue kuwa mzungu always hataki tuwe sawa naye. Hataki sisi tuwe na say. Na ndiyo maana wanatumia hela nyingi, by the way, hela wanazotuibia, kutununua sisi ili waendelee kuwa juu. Be careful!

Sasa unataka tu argue kuhusu ubeberu na vibaraka tena mkuu? Sioni haja.

Yale makubaliano yalifanyika ACACIA bado ana hisa na ni mchimbaji mkubwa Tabzania. Sasa hivi ACACIA haipo na badala yake iko TWIGA. Mkuu tujivunie kwa hilo tusitake makubwa zaidi. Hayo yatakuja taratatibu vizazi vyetu vikipata upembuzi. Achana na vizazi hivi vya Mkapa na Kikwete.
SmartSelect_20200125-124311_Google.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana Rais Magufuli Jembe letu la Tanazania kutoka Chato ameshuhudia historia kubwa ya kutia saini ya mkataba wa makubaliano kati ya Tanzania na Barrick Gold wa kuendesha kampuni ya pamoja ya kuchimba dhahabu nchini, TWIGA MINERALS COOPERATION.

Na juzi tarehe 23 mwezi huu Rais Magufuli amevunja recorde katika Afrika ya kuyafanya mashirika na Taasisi zote za Umma kwa mara ya kwanza kutoa gawiwo serikalini. Hiyo nayo kwenu sio historical sensation.

Lakini nyinyi kwa kuogopa kupoteza kazi zenu mmeamua habari hizo kuzikaushia kwasababu zitampa Rais Magufuli ambaye kwa wengine wenu ni Rais wa nchi mliyotoka umaarufu na hivyo kuondoa kusudio la mabeberu wenu la njama zake za kuendelea kuliangamiza bara la Afrika kwa Propaganda zake ambazo nyie vibaraka wao mnazitoa lila siku ya mungu. Nyie mko tayari kushirikiana na hao mabeberu kuona sisi Maniger tuna baki kuwa chini na wao juu. Kwa sababu wanawalipa pesa nyingi.

Ni aibu kubwa sana kwenu na kwa waswahili ambao tunawasikiliza kwa kushindwa kutoa habari kubwa ambayo inavuka mipaka. Kwa vitendo vyenu hivyo sijui kama watoto wenu na vijukuu vyenu vitakuwa na amani hapo baadae na pia kuwa proud of you?

Mungu awabariki sana maniger katika matendo yenu ya kuwasaliti maniger wenzenu. Kuwaona waafrka wenzenu wakinyanyasika huku kuendelea kuchochea moto wa vurugu. Hivyo nyie ni binadam kweli kama sisi?

Nawaomba mtambue kuwa ulimwengu ni mmoja na sisi sote tu pamoja na tuna vuta hewa hiyo hiyo ambayo nyie na vibaraka wenu huko Amerika na Ulaya mnaivuta.

Nyie watangazaji wa idhaa za kiswahili ndiyo wapiga Propaganda wakubwa tukija katika maswala ya kutetea haki za binadam na "Freedom of Speech". Sasa niwaulize; haki zipi za binadam na Freedom of speech gani mnazitetea wakati tukio kubwa la kihistoria ya haki ya binadam ulimwenguni jana lilitokea?

Udaku wa kutumbuliwa kwa Waziri wa Mambo ya ndani wa Tanzania Mh. Kange Lugola na kamishna wa jeshi la Zimamoto mlikuwa wa kwanza kuwahabarisha waswahili ulimwenguni, lakini tukio la kihistoria ulimwenguni mlijifanya kama haliko. Hamjui kwa vitendo vyenu vya kisaliti kama hivi mna iua credibility yenu ya kuwa ni idhaa ambazo zina toa genuine taarifa za habari?

Hata hivyo msikonde ndugu zetu sisi tunajua kuwa nyie ni vibaraka ambao mnatumiwa tu na hayo mataifa ya kibeberu kutuangamiza sisi maniger wa Afrika. Lakini hata hivyo mkae mkijua kuwa hayo mataifa ya kibeberu mnayo yasaidia kutuangamiza sisi wanyonge, siku zake za kuonyesha makucha yao kwetu sisi siku hadi siku zina tokomea.

Amerika sio world power any more na Europe ndiyo kabisaa! Mziki hivi sasa uko China. Na kama nyie hamtaki kuamini ukweli wa mambo basi nawaomba angalieni hii clip hapa chini.

Huko ndiko mambo makubwa yanatokea. Endeleeni tu kuwasaidia mabeberu wanu. Iko siku mtaumbuka vibaya! Kama sio nyie basi jueni watoto wenu au vijukuu vyenu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Praise kwaya ongeza sauti usikike
 
Sasa wewe uliona issue ya Kutumbuliwa kwa Waziri Kangi Lugola more sentional kiasi kwamba BBC, VOA na DW wakawatangazia waswahili ulimwenguni kuliko makubaliano ya mkataba wa Kampuni ya TWIGA uliofanywa kati ya serikali ya Tanzania na BARRICK GOLD? Wewe huwezi kuhoji kuwa kuna kitu hapo kinafanyika cha kuto yanadi maendeleo ya nchi za kiafrika?

Brother kama wewe ni mtanzania mweusi kama mimi basi nakuomba amka. Ulimwengu mzima uko katika vita ya uchumi. Wazungu wana jua sisi tukuvuka tu basi Afrika itakuwa imekombolewa. Wanajitahidi kutumia kila mbinu kutu suppress sisi.

Waamerika na wazungu wa Europe idadi yao haifiki watu bilioni moja. Sisi tume wazidi. Tukipata uwezo wa kujiamini watataabika sana.

Bill and Miranda Gaite nafikiri unawajua. Kama ulichukua mda kuiagalia hiyo clip mpaka mwisho ungetambua ya kuwa Warren Buffett, Bill and Miranda Gaite na wengineo walio tajwa humo ndani ni wawekezaji wakubwa sana katika sekta mbalimbali za kiuchumi. Hawa ni waamerika na wana wekeza China. Sasa kama China ingekuwa ni nchi ya kidikteta kama wewe unavyo dai, una uhakika mabepari wakubwa kama hawa kuthubutu kuwekeza katika nchi yenye mfumo huo?

Hicho ndicho ninachonkuambia kuwa hizi idhaa za kiswahili za mabeberu zunatumika kutu brain wash sisi ili tusijiamini. Na hao watangazaji wa spiecies yetu wana watumia kutekeleza malengo yao.

Lakini wao wenyewe wajiulize watakaa kimya mpaka lini? Iko siku hilo jina TWIGA MINERAL COOPERATION itabidi walitangaze, sasa watu wakiwaukiza kwa nini hawakutoa habari zozote zinazo husu huu mkataba ulio wekwa, watawajibu nini watazamaji wao?

Kwa taarifa yako, sio Sri Kanka na Zambia tu wachina wamesha mess hata Kenya na Burundi. SGR ya Kenya, wakenya wameweka rehani kwa wachina bandari yao ya Mombasa. Na isitoshe iko chini ya mamlaka ya wachina. Zaidi ya hapo wachina wako kila kona. Mpaka Ulaya.

Unajua wazungu wa Ulaya hivi sasa wana question ujenzi wa the so called "Silk Route" wachina wanao finance kutoka China mpaka baadhi ya nchi za Europe kama una manufaa kwao? Zaidi ya hayo unaupata mvutano kati ya Amerika na Kampuni ya kichina Huawei kuhusu 5G, upanuzi wa PANAMA Canal huko Mexico na kadhalika? China ya leo sio ya kuilalia mlango wazi. Lazima tuivalie njuga.

Lakini hata hivyo isitukatishe tamaa sisi kufanya nao biashara. Ni kiasi cha kuwa makini na inapo bidi kuwadhitbiti. Mfano umeuona mwenyewe kwenye bandari ya Bagamoyo. Sasa kama nchi isipo kaa vizuri inakula kwako. Hata huu mkataba wa Barrick na serikali ya Tanzania, kama watanzania wasinge kuwa makini tungelaliwa.

Nakuomba utambue kuwa mzungu always hataki tuwe sawa naye. Hataki sisi tuwe na say. Na ndiyo maana wanatumia hela nyingi, by the way, hela wanazotuibia, kutununua sisi ili waendelee kuwa juu. Be careful!

Sasa unataka tu argue kuhusu ubeberu na vibaraka tena mkuu? Sioni haja.

Yale makubaliano yalifanyika ACACIA bado ana hisa na ni mchimbaji mkubwa Tabzania. Sasa hivi ACACIA haipo na badala yake iko TWIGA. Mkuu tujivunie kwa hilo tusitake makubwa zaidi. Hayo yatakuja taratatibu vizazi vyetu vikipata upembuzi. Achana na vizazi hivi vya Mkapa na Kikwete.View attachment 1334232

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona TBC ilikuwa live unalalamika nini?
 
unajua maana ya HABARI lakin wewe mburura wa LUMUMBA?
habari ni jambo ambalo sio la kawaida. hii sio kwa mujibu wa TBC Wala magazeti ya Musiba.
hii ni kwa wanaojua maana ya habari/news
ukiona hawajatangaza Jua Huyo Raisi wako KAFANYA MAMO YA KAWAIDA
Sorry, imenibidi nicheke sana. Sawa umeshinda mkuu. Hiyo ni habari ya kawaida. Duuh! Hiyo kali mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana Rais Magufuli Jembe letu la Tanazania kutoka Chato ameshuhudia historia kubwa ya kutia saini ya mkataba wa makubaliano kati ya Tanzania na Barrick Gold wa kuendesha kampuni ya pamoja ya kuchimba dhahabu nchini, TWIGA MINERALS COOPERATION.

Na juzi tarehe 23 mwezi huu Rais Magufuli amevunja recorde katika Afrika ya kuyafanya mashirika na Taasisi zote za Umma kwa mara ya kwanza kutoa gawiwo serikalini. Hiyo nayo kwenu sio historical sensation.

Lakini nyinyi kwa kuogopa kupoteza kazi zenu mmeamua habari hizo kuzikaushia kwasababu zitampa Rais Magufuli ambaye kwa wengine wenu ni Rais wa nchi mliyotoka umaarufu na hivyo kuondoa kusudio la mabeberu wenu la njama zake za kuendelea kuliangamiza bara la Afrika kwa Propaganda zake ambazo nyie vibaraka wao mnazitoa lila siku ya mungu. Nyie mko tayari kushirikiana na hao mabeberu kuona sisi Maniger tuna baki kuwa chini na wao juu. Kwa sababu wanawalipa pesa nyingi.

Ni aibu kubwa sana kwenu na kwa waswahili ambao tunawasikiliza kwa kushindwa kutoa habari kubwa ambayo inavuka mipaka. Kwa vitendo vyenu hivyo sijui kama watoto wenu na vijukuu vyenu vitakuwa na amani hapo baadae na pia kuwa proud of you?

Mungu awabariki sana maniger katika matendo yenu ya kuwasaliti maniger wenzenu. Kuwaona waafrka wenzenu wakinyanyasika huku kuendelea kuchochea moto wa vurugu. Hivyo nyie ni binadam kweli kama sisi?

Nawaomba mtambue kuwa ulimwengu ni mmoja na sisi sote tu pamoja na tuna vuta hewa hiyo hiyo ambayo nyie na vibaraka wenu huko Amerika na Ulaya mnaivuta.

Nyie watangazaji wa idhaa za kiswahili ndiyo wapiga Propaganda wakubwa tukija katika maswala ya kutetea haki za binadam na "Freedom of Speech". Sasa niwaulize; haki zipi za binadam na Freedom of speech gani mnazitetea wakati tukio kubwa la kihistoria ya haki ya binadam ulimwenguni jana lilitokea?

Udaku wa kutumbuliwa kwa Waziri wa Mambo ya ndani wa Tanzania Mh. Kange Lugola na kamishna wa jeshi la Zimamoto mlikuwa wa kwanza kuwahabarisha waswahili ulimwenguni, lakini tukio la kihistoria ulimwenguni mlijifanya kama haliko. Hamjui kwa vitendo vyenu vya kisaliti kama hivi mna iua credibility yenu ya kuwa ni idhaa ambazo zina toa genuine taarifa za habari?

Hata hivyo msikonde ndugu zetu sisi tunajua kuwa nyie ni vibaraka ambao mnatumiwa tu na hayo mataifa ya kibeberu kutuangamiza sisi maniger wa Afrika. Lakini hata hivyo mkae mkijua kuwa hayo mataifa ya kibeberu mnayo yasaidia kutuangamiza sisi wanyonge, siku zake za kuonyesha makucha yao kwetu sisi siku hadi siku zina tokomea.

Amerika sio world power any more na Europe ndiyo kabisaa! Mziki hivi sasa uko China. Na kama nyie hamtaki kuamini ukweli wa mambo basi nawaomba angalieni hii clip hapa chini.

Huko ndiko mambo makubwa yanatokea. Endeleeni tu kuwasaidia mabeberu wanu. Iko siku mtaumbuka vibaya! Kama sio nyie basi jueni watoto wenu au vijukuu vyenu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Keshasema mwenyewe, "ameamua nchi iende mbele na itaenda lazima" Business as usual Ni mtindo zilipendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom