Watangazaji wa idhaa za Kiswahili wa BBC, VOF na DW shame in you!

Ammiii Bila kutaja ufipa makalio yanawasha atiii? Ni kampuni gani ilijenga Chato international airport?inamilikiwa na nani na tenda ilitangazwa wapi amiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni perception zako. Chato ni Tanzania poa kila mmoja anaweza kwenda ishi kule akitaka. Mbona wachaga wako Zanzibar na Pemba walifuata nini huko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nlivyoshindwa kuelewa ulichoandika basi ndivyo ivyo meko alivyoshindwa kueleweka kwenye ivyo vyombo venye utashi wa habar!!

Tbc ndio waimba mapambio wenu wengine wanawasanifugi tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kuhusu mungu,wafrka,wanu,maniger,recorde,maswala,America sio world power na Europe?.ukiambiwa wewe ni mjinga usibishe output yako inadhihirisha ubongo wako umeajaza kitu gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unatumia Jamii Forums Mobile App kama mimi. Sasa sielewi nini kiini cha mada? Mbona unataka kupotasha hoja? Wangapi wanafanya mistakes kama hizo?

Hicho ni kiswanglish. Usi reduce hoja yangu kwenye Syntax Error?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nlivyoshindwa kuelewa ulichoandika basi ndivyo ivyo meko alivyoshindwa kueleweka kwenye ivyo vyombo venye utashi wa habar!!

Tbc ndio waimba mapambio wenu wengine wanawasanifugi tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaki kuku sahihisha bali kama syntax error ni makosa ya kuto eleweka, basi hata kwa makosa yako ni vigumu kukueleza.
Kwa kiswahili tunasema hivyo ndiyo au ndivyo hivyo na sio "ndivyo ivyo"

Kama nlivyoshindwa kuelewa ulichoandika basi ndivyo ivyo meko alivyoshindwa kueleweka kwenye ivyo vyombo venye utashi wa habar!!

Tbc ndio waimba mapambio wenu wengine wanawasanifugi tu!

Nani yuko sawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu we subiri Zitto akitukana tu haraka Sana utaikuta habari iko BBC.

Utakuta wang'ang'ania kutangaza kulazimisha Tanzania kuna EBORA lakini habari yoyote yenye jema kuhusu Tanzania yetu huto iona huko.

Hata habari nyingi zinazo jaa humu ni zile za kusema ndege za ATCL ni mbovu.
 
Jana Rais Magufuli Jembe letu la Tanazania kutoka Chato ameshuhudia historia kubwa ya kutia saini ya mkataba wa makubaliano kati ya Tanzania na Barrick Gold wa kuendesha kampuni ya pamoja ya kuchimba dhahabu nchini, TWIGA MINERALS COOPERATION.

Na juzi tarehe 23 mwezi huu Rais Magufuli amevunja recorde katika Afrika ya kuyafanya mashirika na Taasisi zote za Umma kwa mara ya kwanza kutoa gawiwo serikalini. Hiyo nayo kwenu sio historical sensation.

Lakini nyinyi kwa kuogopa kupoteza kazi zenu mmeamua habari hizo kuzikaushia kwasababu zitampa Rais Magufuli ambaye kwa wengine wenu ni Rais wa nchi mliyotoka umaarufu na hivyo kuondoa kusudio la mabeberu wenu la njama zake za kuendelea kuliangamiza bara la Afrika kwa Propaganda zake ambazo nyie vibaraka wao mnazitoa lila siku ya mungu. Nyie mko tayari kushirikiana na hao mabeberu kuona sisi Maniger tuna baki kuwa chini na wao juu. Kwa sababu wanawalipa pesa nyingi.

Ni aibu kubwa sana kwenu na kwa waswahili ambao tunawasikiliza kwa kushindwa kutoa habari kubwa ambayo inavuka mipaka. Kwa vitendo vyenu hivyo sijui kama watoto wenu na vijukuu vyenu vitakuwa na amani hapo baadae na pia kuwa proud of you?

Mungu awabariki sana maniger katika matendo yenu ya kuwasaliti maniger wenzenu. Kuwaona waafrka wenzenu wakinyanyasika huku kuendelea kuchochea moto wa vurugu. Hivyo nyie ni binadam kweli kama sisi?

Nawaomba mtambue kuwa ulimwengu ni mmoja na sisi sote tu pamoja na tuna vuta hewa hiyo hiyo ambayo nyie na vibaraka wenu huko Amerika na Ulaya mnaivuta.

Nyie watangazaji wa idhaa za kiswahili ndiyo wapiga Propaganda wakubwa tukija katika maswala ya kutetea haki za binadam na "Freedom of Speech". Sasa niwaulize; haki zipi za binadam na Freedom of speech gani mnazitetea wakati tukio kubwa la kihistoria ya haki ya binadam ulimwenguni jana lilitokea?

Udaku wa kutumbuliwa kwa Waziri wa Mambo ya ndani wa Tanzania Mh. Kange Lugola na kamishna wa jeshi la Zimamoto mlikuwa wa kwanza kuwahabarisha waswahili ulimwenguni, lakini tukio la kihistoria ulimwenguni mlijifanya kama haliko. Hamjui kwa vitendo vyenu vya kisaliti kama hivi mna iua credibility yenu ya kuwa ni idhaa ambazo zina toa genuine taarifa za habari?

Hata hivyo msikonde ndugu zetu sisi tunajua kuwa nyie ni vibaraka ambao mnatumiwa tu na hayo mataifa ya kibeberu kutuangamiza sisi maniger wa Afrika. Lakini hata hivyo mkae mkijua kuwa hayo mataifa ya kibeberu mnayo yasaidia kutuangamiza sisi wanyonge, siku zake za kuonyesha makucha yao kwetu sisi siku hadi siku zina tokomea.

Amerika sio world power any more na Europe ndiyo kabisaa! Mziki hivi sasa uko China. Na kama nyie hamtaki kuamini ukweli wa mambo basi nawaomba angalieni hii clip hapa chini.

Huko ndiko mambo makubwa yanatokea. Endeleeni tu kuwasaidia mabeberu wanu. Iko siku mtaumbuka vibaya! Kama sio nyie basi jueni watoto wenu au vijukuu vyenu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Rubbish
 
Wewe unataka VOA, BBC na DW uwapangie watangaze nini?? Hacha ushamba wako wewe.

Pia unasifia china kwa sababu mnanasaba yenu ya pamoja ya udikteta, na kwa taharifa yako china ni mnyonyaji kwetu nchi changa zaidi ya unavyofikilia, ujinga wako ndo unakufanya husijue, refer walichokifanya Zambia, Srilanka.

Pia ukitaja ubeberu unanitia hasira na ukakasi kwani beberu ni dume maanake wewe ni JIKE tena la mbuzi, camon dont use neno beberu ukimpa mwenzako hasa kwa kuwe wewe ni JIKE LA MBUZI, Lol Hacha ushoga wewe.

Mwisho tueleze yale makubaliano ya wakati ule yaliishia wapi yale ya matrillioni ya ela ??
Hacha upoyoyo weeee.
 
Mkuu we subiri Zitto akitukana tu haraka Sana utaikuta habari iko BBC.

Utakuta wang'ang'ania kutangaza kulazimisha Tanzania kuna EBORA lakini habari yoyote yenye jema kuhusu Tanzania yetu huto iona huko.

Hata habari nyingi zinazo jaa humu ni zile za kusema ndege za ATCL ni mbovu.
Ni vibaraka wa mabeberu na wamekubali kutumiwa na mabeberu kutuhujumu sisi waafrika wenzao. Wanasahau kuwa asili yao ni Tanzania na nchi nyingine za Afrika masharaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vibaraka wa mabeberu na wamekubali kutumiwa na mabeberu kutuhujumu sisi waafrika wenzao. Wanasahau kuwa asili yao ni Tanzania na nchi nyingine za Afrika masharaki.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nadhani ni busara sana mtu mzima kuuficha upumbafu wako, ivi TBC inayofanya upendelea na kuussifia ujinga kwako ilo ni sawa?? Camon ndugu si lazima kuchangia hasa kama unachangia upuuzi, better shut up your bic
 
Back
Top Bottom