Wewe ni wasafi FM toka hapaSifa ya mtangazaji mwenye weledi na taaluma yake ni ku balance habari,clouds uwezo wao umebakia kwenye festivals,hawana tofauti na eFM
Sent using Jamii Forums mobile app

Wasafi mnapata shidaGeah Habibu, Mussa Husein halafu unalalamika mkuu
Ingawa sishabikii vifo vilivyotokea
Sio wote wamesoma chief...hasa hao waliotajwa hapo...Wote hao wamesoma,labda kasoro Jose..kuwa na diploma au degree ya journalism sio guarantee ya wao kuwa 100% professional..
Shida ya Watangazaji wengi bongo ni kujifanya kila kitu wanaweza au wanakijua,mfano,kuchambua habari iwe ni ya kisiasa,uchumi,kijamii,kiimani n.k kitu ambacho ni wrong
hapa naongea ukweli, clouds wako vizuri kiburudani lakini kureport habari serious hawawezi kabisa
Una uhakika kuwa hawana taaluma ya utangazaji??
Na wewe ni mfuasi wa mwamposa huna lolote kwahiyo watu waendelee kuteketea na kuibiwa?makanisa mengi niwapigaji lazima lisemwe.Hakuna baya lolote waliloliongea labda kama unachuki zako binafsi na hao watangazajiKwenye kipindi cha leo tena, wakiwa wanaongelea suala la vifo vilivyotokea Moshi kwa Mwamposa, Maoni ya watangazaji Geah Habibu na Mussa Hussein yamenishangaza sana, wameshindwa kuficha hisia zao za kuonyesha wapo upande gani wa kidini na kutoa maoni ya kishabiki.
Geah Habibu na Mussa Husseni wanadai eti Serikali iingilie kati madhehebu yote ya kikristo yaliyoibuka hivi karibuni yafungwe, yabaki madhehebu ya zamani tu (Roma na Lutheran), hawakuishia hapo wakadai pia Babu wa Loliondo naye aliwahi kuwa kiongozi wa dini ya Kikristo hapo sijui anamaanisha nini.
Watangazaji wengi wa bongo hawana uweledi wanaongozwa na mihemko sana, wanavyosema hakuna mafuta ya upako huko wanaingilia masuala ya kidini, yapo au yasiwepo ilitakiwa waongee kiuweledi sio kiushabiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo n maoni yao hii n nchi ya kidemokrasia kila MTU ana haki ya kutoa maoni kuna sehemu wamevunja katiba?
Pia wewe toa maoni yako sio unalalamika tu au umefurah ndugu zetu kukatishwa maisha kizembe na huyo nabii feki
kweli kabisa mkuuHivi ingetokea mtangazaji aseme kinyume chake yaani hii dini ya waislamu ilikuwa zamani sasa hivi inabidi serikali ifute hii misikiti inayojengwa kila kona kwa sababu hawa jamaa hawaaminiki wanaweza kuwa wanafundisha ugaidi.
Naamini mpaka sasa hivi magari ya fire yangekuwa yamelizingira jengo kuzima moto huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wote wenye taaluma ya utangazaji...tena kuna wengine hata hyo diploma hawanaUna uhakika kuwa hawana taaluma ya utangazaji??
Au wewe una maanisha other diplomas or degrees??
Mussa kasoma wapi??Wote hao wamesoma,labda kasoro Jose..kuwa na diploma au degree ya journalism sio guarantee ya wao kuwa 100% professional..
Shida ya Watangazaji wengi bongo ni kujifanya kila kitu wanaweza au wanakijua,mfano,kuchambua habari iwe ni ya kisiasa,uchumi,kijamii,kiimani n.k kitu ambacho ni wrong
mbona wao hufa wakiwa wameenda kuhiji macca baada ya lile tukio la kumrushia mawe shetani?kilichotokea moshi n sawa tu na kinachotokea kwa waislam wakiwa macca kuhiji.Kwenye kipindi cha leo tena, wakiwa wanaongelea suala la vifo vilivyotokea Moshi kwa Mwamposa, Maoni ya watangazaji Geah Habibu na Mussa Hussein yamenishangaza sana, wameshindwa kuficha hisia zao za kuonyesha wapo upande gani wa kidini na kutoa maoni ya kishabiki.