mtagoma nyie???? Makanjanja mgome mfukuzwe? Nani atawaajiri wakati hata vyeti hamna mmeajiriwa kwa hisani acha mzungushwe ngumbaru pori na kuigaiga kwenu
Nasikia hii ni mali ya Lowassa!!!!!!!!!!Kuna tetesi nazipata hapa nilipo kuwa huenda wafanyakazi wa ile radio inayosemekana ya Mh. Huenda wakagoma baada ya uvumilivu wa kusubiria mshahara wao wa mwezi Nov 2011 kutozaa matunda!
Habari za ndani zinasema Meneja na mhasibu wa Radio hiyo jana waliwaahidi wafanyakazi kuwalipa leo lakini wameshindwa kutekeleza ahadi hiyo kabisa na hadi ss hawapatikani hewani kabisa kitu ambacho kinaweza kupelekea wafanyakazi hao kugomea kazi!
My Take:
Uongozi wa hiyo media wanaanza kudidimiza juhudi za mzee kutakakujisafisha!
Source: chanzo cha ndani huko huko-Radio five!
Nasikia hii ni mali ya Lowassa!!!!!!!!!!
Mheshimiwa huyo ni nani wengine hatumjui mliki wake.Nahisi wakigoma wanamdharirisha sana mkubwa maana nia yake kubwa ni kujikwamua kwenye hili tope analotaka kujisafisha!
Gomeni muone. Wote hapo ni felia, hata cheti hamna. Hayo ndio matunda ya kukimbia shule.
Sisi wenzenu tar 22 tunakula salary. Mwisho wa mwaka ma-bonus kibao. Shule raha sana.
mtagoma nyie???? Makanjanja mgome mfukuzwe? Nani atawaajiri wakati hata vyeti hamna mmeajiriwa kwa hisani acha mzungushwe ngumbaru pori na kuigaiga kwenu