selungo, hiyo ndio bongo...WANA JF!
Hapa nchini Finland mjini Helsinki yapo maonesho ya kimataifa ya kutangaza utalii. Karibu nchi zote duniani zimeleta wawakilishi wa kutangaza vivutio vyao hapa ikiwa ni pamoja na jirani zetu wa Kenya.
Cha kushangaza kama kawaida ya Watanzania, jamaa waliotumwa kuiwakilisha nchi yetu katika maonesho haya ya siku saba, walikuwa kwenye banda lao kwa siku moja na nusu tu. Baada ya hapo jamaa wamepanda boti na ninavyo tuma taarifa hii wapo nchini Sweden watumbua kwa raha zao. Cha ajabu Rais wa nchi ya Finland amepita kuangalia na kujionea shughuli katika maonesho haya na alipo fika banda la Tanzania alishangaa kuona analazimika kujiokotea mwenyewe vipeperushi bila kuona wataalam wa utalii Tanzania ili kupata maelezo ya kina kuhusu vivutio vyetu. Vile vile watu wengi hapa wameonyesha nia ya kutembelea Tanzania kwani walikuwa wamejazana kwenye banda na kushangaa kuona halia watu wa kuwapa maelezo.
Wana jamvi hii imekaa je??????
WANA JF!

yaani habari kama hizi mtu unaweza
pata magonjwa ya ajabu tu mwisho wake..
hii nchi inakufanya uwe depressed.........
yaani kila mtu serikalini
hajui wajibu wake...........
this is where we need to be massive and patriotsWANA JF!
Hapa nchini Finland mjini Helsinki yapo maonesho ya kimataifa ya kutangaza utalii. Karibu nchi zote duniani zimeleta wawakilishi wa kutangaza vivutio vyao hapa ikiwa ni pamoja na jirani zetu wa Kenya.
Cha kushangaza kama kawaida ya Watanzania, jamaa waliotumwa kuiwakilisha nchi yetu katika maonesho haya ya siku saba, walikuwa kwenye banda lao kwa siku moja na nusu tu. Baada ya hapo jamaa wamepanda boti na ninavyo tuma taarifa hii wapo nchini Sweden watumbua kwa raha zao. Cha ajabu Rais wa nchi ya Finland amepita kuangalia na kujionea shughuli katika maonesho haya na alipo fika banda la Tanzania alishangaa kuona analazimika kujiokotea mwenyewe vipeperushi bila kuona wataalam wa utalii Tanzania ili kupata maelezo ya kina kuhusu vivutio vyetu. Vile vile watu wengi hapa wameonyesha nia ya kutembelea Tanzania kwani walikuwa wamejazana kwenye banda na kushangaa kuona halia watu wa kuwapa maelezo.
Wana jamvi hii imekaa je??????
mkuu hili linatapisha kabisa, ni zaidi ya kichefuchefu... hivi sheria yetu inasemaje hapa? kuna namna ya kuwashitaki kudai haki yetu? maana wamekula pesa yetu?
nadhani bado tuna wajibu na wananchi wenzetu hata kama viongozi wetu ni wabovu, we need to change...Hamsemi Ukweli kuwa Nchi haina Viongozi wazuri, nchi imeoza wakumlaumu nani kama sio Viongozi wanao husika wa Wizara ya Utalii?Nchi imejaa Viongozi wala Rushwa na Mafisadi tutaendelea kweli jamani? kila kiongozi anakuwa Mfisadi Mla Rushwa na mwizi wa Mali ya Umma tutaendelea kweli?chaku shangaza hao wahusika wa hilo banda la Maonyesho wamekwenda nchini sweden kujirusha sasa kule walipotumwa kufanya shughuli za Maonyesho hawapo? Kutakuwa na Maendeleo kweli hapo kwetu Tanzania?Ama kweli MIAFRIKA BWANA NDIVYO ILIVYO
WANA JF!
Hapa nchini Finland mjini Helsinki yapo maonesho ya kimataifa ya kutangaza utalii. Karibu nchi zote duniani zimeleta wawakilishi wa kutangaza vivutio vyao hapa ikiwa ni pamoja na jirani zetu wa Kenya.
Cha kushangaza kama kawaida ya Watanzania, jamaa waliotumwa kuiwakilisha nchi yetu katika maonesho haya ya siku saba, walikuwa kwenye banda lao kwa siku moja na nusu tu. Baada ya hapo jamaa wamepanda boti na ninavyo tuma taarifa hii wapo nchini Sweden watumbua kwa raha zao. Cha ajabu Rais wa nchi ya Finland amepita kuangalia na kujionea shughuli katika maonesho haya na alipo fika banda la Tanzania alishangaa kuona analazimika kujiokotea mwenyewe vipeperushi bila kuona wataalam wa utalii Tanzania ili kupata maelezo ya kina kuhusu vivutio vyetu. Vile vile watu wengi hapa wameonyesha nia ya kutembelea Tanzania kwani walikuwa wamejazana kwenye banda na kushangaa kuona halia watu wa kuwapa maelezo.
Wana jamvi hii imekaa je??????
WANA JF!
Hapa nchini Finland mjini Helsinki yapo maonesho ya kimataifa ya kutangaza utalii. Karibu nchi zote duniani zimeleta wawakilishi wa kutangaza vivutio vyao hapa ikiwa ni pamoja na jirani zetu wa Kenya.
Cha kushangaza kama kawaida ya Watanzania, jamaa waliotumwa kuiwakilisha nchi yetu katika maonesho haya ya siku saba, walikuwa kwenye banda lao kwa siku moja na nusu tu. Baada ya hapo jamaa wamepanda boti na ninavyo tuma taarifa hii wapo nchini Sweden watumbua kwa raha zao. Cha ajabu Rais wa nchi ya Finland amepita kuangalia na kujionea shughuli katika maonesho haya na alipo fika banda la Tanzania alishangaa kuona analazimika kujiokotea mwenyewe vipeperushi bila kuona wataalam wa utalii Tanzania ili kupata maelezo ya kina kuhusu vivutio vyetu. Vile vile watu wengi hapa wameonyesha nia ya kutembelea Tanzania kwani walikuwa wamejazana kwenye banda na kushangaa kuona halia watu wa kuwapa maelezo.
Wana jamvi hii imekaa je??????
Ninaumia Moyo sana ninaposikia habari kama hizi......anyway ngoja nimalize masomo yangu ya fani ya UTALII then nije toa mchango wangu mdogo kwenye hii sector.......serious we guys have to change to the maximum but kwa mwendo huu maendeleo tutaishia kuyaona kwa wenzetu tu kila siku.