Watangaza nia, Lowassa hakamatiki

Watangaza nia, Lowassa hakamatiki

Mpaka sasa katika waliochukua form huko MCC mwenye influence ni ENL Tu,kelele za hawa wengine ni kujibeba mgongoni kwake wapate umaarufu
 
"Hapa hatuchagui mtu maarufu, tunachagua mtu safi na huyu si safi. Kama unapenda sura yake basi nenda kanywe naye chai. Wengine mnasema aaah ni tuhuma tu. Samuel (Sitta)! Yusuf (Makamba)! Mnasimama hapa mnasema ni tuhuma tuhuma tu! Lakini mtakumbuka mke wa Kaisari alipotuhumiwa kwa ugoni Kaisari akaagiza uchunguzi ufanyike. Uchunguzi ukafanyika na ikabainika kwamba sio kweli. Lakini Kaisari bado akamuacha, akasema mke wa Kaisari hapaswi hata kutuhumiwa. Na sisi hapa Mgombea wetu hapaswi hata kutuhumiwa wakati wapo wengine safi ambao hawana tuhuma. Kama mkimteua huyo mimi sitapiga kampeni. Siko tayari kumsafisha mtu matope halafu ndio nimuombee kura. Hapana kabisa. Huyu mimi najua si msafi na nchi nzima inajua si msafi. Hafai kuwa mgombea wetu."
 
Povu limeshakutoka
 
Na wewe ulipewa??

Mkuu mimi sikupata ndugu yangu.we ulipata?ila kama ningepewa singekataa.safari ya bure kwenda arusha na kurudi ulikotoka,malazi,makazi na posho juu ofcourse ningechukua..who wont?????ila kura yangu hawezi ipata..
 
Pole mimi nilipata aisee
 
Hao wote walinunuliwa! CCM wakimpitisha Lowasa basi watakuwa wapinzani wa UKAWA baada ya kuchukua nchi mwaka huu.
 
Edward Lowassa.. Waliohudhuria. Wenyeviti wa Mikoa~23 kati ya Mikoa 30. Wajumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)~286 kati ya 378. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa~1967/2600's... Wabunge wa JMT~168/357

Hakuna sehemu nimeandika wamasai sijui wananchi
Acha kukurupuka
Na wew ulihongwa???

katika wajinga wote dunia ww unashka NAMBA MOJA ametoa takwimu ya watu muhimu ambao ndo kioo kwa mgombea. watu ambao wanaweza kumfanya m2 awe mgombea kuptia kupgiwa kura,xaxa je wap hujaelewa we kilaza? mmmh... alo leo nmeona mjinga wa kwanza dunian anaeshndwa kufkria kilicho andikwa badala yake anakurupuka, kaa tulia jenga hoja acha kukurupuka na kuchangia au kuandka ilmrad UJAZE NAFAS AU upo h...zi?
 
Pumbavu nini
 
kwa mtazamo wangu ulichojalibu kuainisha ni tofauti kati ya nguvu ya pesa kati ya watangaza nia; kwa maana hiyo mtazamo wako ni wakidhanifu (sio yakinifu)
 
Hili halina ubishi kabisa!

Hadi sasa wametia nia wengi sana. Wapo zaidi ya kumi. Bado kuna wengine pia wataendelea kutia nia muda si mrefu.

Hadi ninavyooandika huu uzi hapa, ipo wazi kuwa hadi sasa hivi Lowassa ndio 'the heavy weight'. Kila alietia nia anasema 'Lowassa is the man to watch'

Sioni wa kushindana nae katika mizani ya usawa na haki, labda katika mizani ile waliozoea CCM ile ya parakachumba mwenye kukosa kakosa mwenye kupata kapata na maisha yanaendelea!
 
Last edited by a moderator:

Yes. Lowassa has the heaviest corruption allegations so far. So heavy that Chenge and Tibaijuka looks squeaky clean!
 
Hili halina ubishi kabisa!

Hadi sasa wametia nia wengi sana. Wapo zaidi ya kumi. Bado kuna wengine pia wataendelea kutia nia muda si mrefu.

Hadi ninavyooandika huu uzi hapa, ipo wazi kuwa hadi sasa hivi Lowassa ndio 'the heavy weight'. Kila alietia nia anasema 'Lowassa is the man to watch'

Sioni wa kushindana nae katika mizani ya usawa na haki, labda katika mizani ile waliozoea CCM ile ya parakachumba mwenye kukosa kakosa mwenye kupata kapata na maisha yanaendelea!

Heavy weight wa kufanya maigizo
 
naona kumbukumbu huna. Nakushauri mtafute yule anayejibu maswali ya raisi kwenye email atakwamabia vizuri.
 
Kama kweli mnataka Lowassa awe rais wa hii nchi basi mshaurini agombee nje ya CCM.

Maana huku ni kupoteza muda na raslimali tu. CCM haiwezi kumpa Lowassa bendera yake. Kuweni serious.

View attachment 257897
 
pole sasa.....panya anapumua kwa shinda ndani ya mtungi
 
Back
Top Bottom