Watangaza nia, Lowassa hakamatiki

Watangaza nia, Lowassa hakamatiki

Kweli njaa ni kitu kibaya sana ndg, umeaidiwa nini mpaka unashabikia kundi la wanyang'anyi wa nchi hii. Watu wa aina yako kipindi cha Yesu alisema wafungwe jiwe na watoswe, baharini ili wasiibuke tena.
 
hiyo p.buku tushaikamata mkia aendi shimoni tena kilichobaki ni kuvunja mtungi kuigonga kichwa ukawa ndiyo imepewa lungu kumaliza ukoo wa panya

Endelea kuishi kwa matumaini kama mgonjwa wa ukimwi
Ipo siku utapona
 
Tatizo hamwataki kwenye mitandao tuu nendeni kwenye box la kura.

Kwenye mitandao ukawa ndio hamkatiki
cyber law imetungwa maalumu kuikomesha midomo yenu iliyojaa maneno ya uongo na chuki
Endeleeni kujifariji JF
 
Kama huwezi kufanya reflection and linkage, subiri mwezi wa 10 tarehe ishirini na tano. Utaelewa kama maharage ni mboga ya serikali au kiungo cha kande.


Edward Lowassa.. Waliohudhuria. Wenyeviti wa Mikoa~23 kati ya Mikoa 30. Wajumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)~286 kati ya 378. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa~1967/2600's... Wabunge wa JMT~168/357

Hakuna sehemu nimeandika wamasai sijui wananchi
Acha kukurupuka
Na wew ulihongwa???
 
Lowassa siyo wa kukamata ni wakupigwa ngwara kama kibaka anae taka kuwazidi speed wenye mali baada ya kupora.
 
Mwanaume akiwa na pesa sana alafu anawanawake wengi wasiokuwa sawa upstairs huwa wanadhani anapendwa but kiuhalisia wanapenda pesa yake. Ndivyo ilivyo kwa lowasa!!!!
 
Hata Obama mngempa mpunga wa kutosha angehudhuria.hakuna anayempenda hapo..wanapenda mpunga wake
 
* LOWASSA HAKAMATIKI

Ikiwa mchakato wa kuchukua fomu unaedelea, ebu tutumie dakika chache kutafakari nguvu ya kila mgombea... Nguvu ya mgombea au mgombea mtarajiwa tunaweza kuijua kutokana na jinsi anavyoungwa mkono na wananchi, wanachama, wajumbe wa vikao mbalimbali, na viongozi kwa ujumla wao...

Mpaka sasa ni takriban wagombea 9 washatangaza nia, ebu sasa tuangalie idadi ya viongozi/wajumbe waliowasindikiza siku wanatangaza nia (Hasa Wenyeviti wa CCM Mikoa, WaNec, wabunge na wajumbe wa mkutano mkuu)....

1. Edward Lowassa.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~23 kati ya Mikoa 30
. Wajumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)~286 kati ya 378
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa~1967/2600's..
. Wabunge wa JMT~168/357

2. Fredrick Sumaye.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa Halmashauri kuu (NEC)~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa~2
. Wabunge~0

3. Prof. Mack Mwandosya.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~2
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~4
. Wabunge~2

4. Mwigullu Nchemba.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~3
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~7
. Wabunge~4

5. Stephene Wassira.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~3
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~7
. Wabunge~3

6. Dr. Titus Kamani.. Waliohudhuria..
. Wenyeviti wa Mikoa~1
. Wajumbe wa NEC~2
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~3
. Wabunge~1

7. Prof. Muhongo... Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~2
. Wabunge~1

8. Makongoro Nyerere.. Waliohudhuria..
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~1
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~3
. Wabunge~2

9. Balozi Karume.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~2
. Wabunge~0

Mytake:... Sauti ya watu ni sauti ya Mungu.... Hii ndiyo safari ya Matumaini.........
Lowassa siyo wa kukamatwa ni wakuchapwa risasi ya mgongo ili tuokoe mali zetu.
 
Tatizo lake ni wale walioko nyuma yake wote mashaka matupu
 
Kweli njaa ni kitu kibaya sana ndg, umeaidiwa nini mpaka unashabikia kundi la wanyang'anyi wa nchi hii. Watu wa aina yako kipindi cha Yesu alisema wafungwe jiwe na watoswe, baharini ili wasiibuke tena.

Nmeahidiwa hela ndugu
 
ukweli utabaki kweli! Lowasa ana nguvu sana,nawambieni atakuwa rais japo anapigwa vita sana
nasema tena enl atakuwa rais!,; hii ndo safari ya matumaini

Ana nguvu ya pesa, lkn sio yakupendwa.
 
Mwanaume akiwa na pesa sana alafu anawanawake wengi wasiokuwa sawa upstairs huwa wanadhani anapendwa but kiuhalisia wanapenda pesa yake. Ndivyo ilivyo kwa lowasa!!!!

Story za vijiweni hzo
 
Sauti ya Watu wa CCM, sauti ya Mungu wa CCM, na si huyu Mungu wetu Mkarimu
 
Back
Top Bottom