Watangaza nia, Lowassa hakamatiki

Watangaza nia, Lowassa hakamatiki

Yes. Lowassa has the heaviest corruption allegations so far. So heavy that Chenge and Tibaijuka looks squeaky clean!

Mkuu natumia simu, ningekugongeaje maji_like.........salute kwako Kamanda maana umempa ukweli na heavy weight wao hata mic anashindwa kushika.
 
Kama kweli mnataka Lowassa awe rais wa hii nchi basi mshaurini agombee nje ya CCM.

Maana huku ni kupoteza muda na raslimali tu. CCM haiwezi kumpa Lowassa bendera yake. Kuweni serious.

View attachment 257897

hao wapambe sio wa kulaumu wanampiga tu pesa,huyo ----- ni anafweza jombaa!
 
Narudia tena, Ikulu sio wodi ya wagonjwa! Jambazi sugu na fisadi papa lowasa kamwe hawezi kuwa rais wa tz.
Uwezo wake ni kuongoza ng'ombe sio watu!
 
Hakamatiki wakati hata kukimbia hawezi we jamaa wewe,hao wajumbe waliohudhuria kote huko hatufiki wanakula kichwa dk za mwanzo kabisa kabla ya kufika huko.

Hakamatiki sio kwa mbio za kufukuzana kwa miguu;ila ni kwa takwimu hapo juu.
 
Hakamatiki sio kwa mbio za kufukuzana kwa miguu;ila ni kwa takwimu hapo juu.

You still live in a box. Money bought state house in 2005. In 2015, mtashangaa. Mafedha yenu yataisha na magogoni mtakuwa mkiichungulia tu kutokea Ferry
 
Mwaka huu ni mwaka wa kuvuna pesa(kama mtu hukufanya ubadhirifu kipindi chote cha JK), na sasa watu wanajivunia "mapesa" na bado wataendelea kujivunia mapesa hasa kwa huyo wa kwanza, ila mwisho wa usiku mwananchi ndiye mwenye uamuzi.

Nadhani title ingekuwa 'Nguvu ya pesa katika siasa Tanzania'.
 
Wote wliohudhuria kwa Lowassa aliwawezesha kifedha, yaani wengi walihongwa
 
Wanataman mwiz mwenzie aingie magogoni ndo maana..wameenda wengi ..kumshangilia mwiz mwenzie
 
Alafu Lwasa pekee ndo alikuwa anasoma hotuba yake kwa watia nia niliowaona mimi mpaka sasa,yaonyesha ana hitilafu kidogo!
 
Nakubaliana kabisa na wewe mkuu kuwa Lowasa ndo sauti ya Mungu hata Walatini wanasema Vox popula vox dei
* LOWASSA HAKAMATIKI

Ikiwa mchakato wa kuchukua fomu unaedelea, ebu tutumie dakika chache kutafakari nguvu ya kila mgombea... Nguvu ya mgombea au mgombea mtarajiwa tunaweza kuijua kutokana na jinsi anavyoungwa mkono na wananchi, wanachama, wajumbe wa vikao mbalimbali, na viongozi kwa ujumla wao...

Mpaka sasa ni takriban wagombea 9 washatangaza nia, ebu sasa tuangalie idadi ya viongozi/wajumbe waliowasindikiza siku wanatangaza nia (Hasa Wenyeviti wa CCM Mikoa, WaNec, wabunge na wajumbe wa mkutano mkuu)....

1. Edward Lowassa.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~23 kati ya Mikoa 30
. Wajumbe wa Halmashauri Kuu (NEC)~286 kati ya 378
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa~1967/2600's..
. Wabunge wa JMT~168/357

2. Fredrick Sumaye.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa Halmashauri kuu (NEC)~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa~2
. Wabunge~0

3. Prof. Mack Mwandosya.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~2
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~4
. Wabunge~2

4. Mwigullu Nchemba.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~3
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~7
. Wabunge~4

5. Stephene Wassira.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~3
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~7
. Wabunge~3

6. Dr. Titus Kamani.. Waliohudhuria..
. Wenyeviti wa Mikoa~1
. Wajumbe wa NEC~2
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~3
. Wabunge~1

7. Prof. Muhongo... Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~2
. Wabunge~1

8. Makongoro Nyerere.. Waliohudhuria..
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~1
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~3
. Wabunge~2

9. Balozi Karume.. Waliohudhuria
. Wenyeviti wa Mikoa~0
. Wajumbe wa NEC~0
. Wajumbe wa Mkutano Mkuu~2
. Wabunge~0

Mytake:... Sauti ya watu ni sauti ya Mungu.... Hii ndiyo safari ya Matumaini.........
 
You still live in a box. Money bought state house in 2005. In 2015, mtashangaa. Mafedha yenu yataisha na magogoni mtakuwa mkiichungulia tu kutokea Ferry

kikwete aliuzika zat time sababu alikua hana mawaa, huyu pimbi wao hauziki ana mawaa,halafu minamshangaa! kwanini asingefanya kama alivyo mfanyia mkwele,angetafuta mgombea mwingine anaeuzika amwingize mjengoni,kwa makubaliano yaleyale ya uwazili mkuu akapige richmond nyingine,yaani jamaa ni pimbi kweli hajishtukii kama hauziki!
 
Back
Top Bottom