Watanganyika wenzetu wanavyoteseka Zanzibar

Zenji labda uwape tahadhari ya makalio yao hao wabara wenzenu lakini hakuna tabia hizo kwa wazanzbari,hatujafika huko kutokana na utamaduni zetu,hakuna asojua.
 
Ni vizuri kujua chanzo cha malalamiko ma kusudio la pande zoote mbili. Nasikitika tu kuona jambo hili limeletwa katika suala la muungano.Kama sheria imevunjwa ni kufuatilia suala kisheria. Wenye akili timamu wanafahamu kinachoendelea.
 

Umenichekesha kweli ingawa huwa wananiudhi sana hawa watu wanaojiita wazazibari
 
Kama mnataka kuwachomea wapemba maduka chomeni tu mnasubiri nini nyie magovi. Tumesema muungano is enough tunamaanisha hivyo haijalishi nani atapoteza mali au roho binafsi niko tayari kupoteza roho kwa kupigania zanzibar yangu niipendayo.

Wewe gaidi tu wala huna lolote. Dawa yenu ipo kwa Obama. Naona umeshituka kumtaja Obama. Si umemsikia kiongozi wako? Yuko wapi sasa? Kwa taarifa yenu hatutawapa uhuru mpaka tutakapopenda sisi. Hamtuwezi kwa vyovyote ila matusi na upuuzi tu. Nyie mtaaendelea kuwa kakoloni ketu tu mpaka mwisho wa dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…