Kichaka pekee walichobaki nacho ni Dini na Jinsia, ni aibu sana.......nakazia wamejitoa akili kutetea udini na jinsia....wengine chawa pro wamelambishwa asali......hatutaki mkataba mbovu
Mama kayakanyaga aliemponza. Ni Rostam Aziz pekeee....Nilipomuona yuko inner circle ya mama nikajua hapa suala la muda tu. Kweli kamshika kijana wa mama wakapiga Zanzibar solar to grid.Kichaka pekee walichobaki nacho ni Dini na Jinsia, ni aibu sana.
Watu wanakosoa mkataba wao wanaona inayokosolewa ni Dini na Jinsia.
Ni wale waliovuka maji kutoka Kiembembuzi kuja huku, ni sawa na wale wapambe wa "...ukiweka kwenye keusi utaliwa weka kwenye kekundu"Mwaka 2000 nikiwa Malaysia kwenye kongamano la dini ya Buddha pale Malaysia university nilikutana na mhindi mmoja tajiri aliyewahi kuishi na kutajirikia bong...
Wangekuwa na matatizo ya akili wangeonewa huruma, lakini sivyo. Wameamua kuukumbatia ubinafsi kwa hasara ya wengi.Mwaka 2000 nikiwa Malaysia kwenye kongamano la dini ya Buddha pale Malaysia university nilikutana na mhindi mmoja tajiri aliyewahi kuishi na kutajirikia bong...
Mwaka 2000 nikiwa Malaysia kwenye kongamano la dini ya Buddha pale Malaysia university nilikutana na mhindi mmoja tajiri aliyewahi kuishi na kutajirikia bong...
...RA ndio dalali wa DPW....sasa hawaelewani JK team.....Mama awe makini sana ....Mama kayakanyaga aliemponza ...ni Rostam Aziz pekeee....nilipomuona yuko inner circle ya mama nikajua hapa suala la muda tu .....kweli kamshika kijana wa mama wakapiga zbar Solar to Grid...
Ukijua kilicho ndani ya nafsi zao basi umekaribia kujua kilichomo ndani ya black hole.[emoji2827]Mkolononi angelikuwa wa ile Dini wasingelishiriki harakati za kupigania Uhuru. Walishiriki kwasababu tu Mkoloni sio Wallah Fatiq.
Ndiyo maana Okero alipofanya mapinduzi ya zanzibar waliibuka na kusema ilikuwa ni njama ya Nyerere ya kuua uislam na waislamu Zanzibar.
Ukijua kilicho ndani ya nafsi zao basi umekaribia kujua kilichomo ndani ya black hole.
Ndivyo mama anavyokuja kufanya kwenye issue ya DP World.Ha ha ha dogo kaicheza vema sana
Siku nyingi sana niliwahi kukwambia hapahapa JF, usiwe muongo.Mwaka 2000 nikiwa Malaysia kwenye kongamano la dini ya Buddha pale Malaysia university nilikutana na mhindi mmoja tajiri aliyewahi kuishi na kutajirikia bongo
Kwa utani unaouma na kuakisi ukweli akasema usipotajirika Tanzania ni ngumu kutajirika pengine Niliumia sana naye aliyaona maumivu yangu lakini huo ndio ulikuwa ukweli
Mkataba mbovu wa bandari zetu zote na kampuni kubwa ya DPW umeshapigiwa kelele na kila kaliba ndani ya taifa hili lakini bado kuna mazuzu wajinga wachache wanaona unafaa
Kati ya hao kuna wale walioko mamlakani ambao wamepata chochote ili kuutetea.. Hawa kwangu ni wahaini na wasaliti wakubwa na hukumu yao kuna siku itafika
Ninaowahurumia ni hawa wafuata mkumbo kwasababu za kiimani, itikati za kisiasa jinsia na wote wenye fikra finyu kwamba nwafrika hawezi kitu bila msaada wa ngozi nyeupe ama manjano..
Kinachopiganiwa ni kwa maslahi ya watoto, vijukuu, vitukuu na vining'ina vya taifa hili la Tanganyika.. Bila kujali
Imani zao
Rangi zao
Itikadi zao nk
Haya yote hawayaoni.. Inafika mahali unajiuliza je wana matatizo ya akili?